uhuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji. Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze...
  2. JamiiForums Tanzania CAF wasifumbie macho uhuni wa waarabu ule sio mpira ni fujo

    kwa tuliyoyaona jana kwenye mechi ile kubwa kabisa ya fainali africa zima imeshuhudia na rais mwenyewe wa CAF ameshuhudia ule haukuwa mpira zile ni fujo. Lazima waarabu waadhibiwe kwa upumbavu ule, mpira ulisimama mara mbili sababu ya moshi wa baruti kutoka kwa washabiki wao. Mpira ulikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Clouds Media acheni uhuni, mahojiano yenu na Feisal Salum siyo professional!

    Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu. Kuna video ambayo imekuwa inasambaa ambayo inasikika Feisal akizungumza na Wakili wake pamoja na watangazaji wa Clouds...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi binti niliekutana nae kwa miezi mitatu alivyotaka kunibambikizia mimba ya miezi 4, Teknolojia ilimuumbua kwa uhuni wake wa kienyeji.

    Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu. Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe: Kilichofanyika kwa kina Mdee ni Uhuni. Rais wasitishie mishahara

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kilichofanyika kwa wabunge 19 waliopelekwa bungeni bila idhini ya chama ilikuwa ni uhuni, na ni kuvunja Katiba. Amesema wabunge hao walikuwa ni viongozi wao, hata hivyo mchakato wa kuwapeleka bungeni haukuwa mchakato wenye baraka za chama. Wale...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu, unafahamu uhuni na danadana za kituo cha JKCI?

    Wananchi wanateseka sana wanagungushwa sana hope wanataka rushwa, ndio kama sio rushwa nini? Huyu mgonjwa ni moja ya wagonjwa wanaoteseka sana ingawa tukiwa pale nimeona kundi kubwa, ipo hivi? Kwanza Jack alipima vipimo mwaka jana kuelekea Krismas, then tukaambiwa vipimo vimepotea anatakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

    Ninapenda kutoa huu mkasa kama ifuatavyo. Tarehe 12/1/2023 nimetuma mzigo kutoka DSM kwenda Mbeya kama inavyoonekana kwenye risiti. Nimekabidhi ofisi ya Mbezi imeandikwa Golden Deer na Newforce ipo flow ya pili mwisho kabisa jirani na sehemu ya chakula. Mzigo nilitwgemea tarehe 13 Januari ufike...
  8. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

    Hawa watu niliwakataa 1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo. 2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
  9. JamiiForums Tanzania Tigo acheni wizi kwenye huduma ya PostPaid

    Watu tunaamua basi angalau tujiunge bundle ya mwezi mzima kwa Huduma ya Post Paid. Ninyi mnaiba data. Sielewi yaani ku browse JF tu na Whatsapp ambako sijadownload kitu kwa siku inakatika 2+GB? C'mon guys watanzania si wajinga kihivyo. Tuheshimiane please mimi siyo layman wa matumizi ya simu...
  10. JamiiForums Tanzania SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Hello habari wadau wa jukwaa la teknolojia na wanajamiiforum kwa ujumla. Kutoka na kasi ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia si ajabu tena kwa mtu kufanya manunuzi mitandaoni . Vivyo hivo hata Tanzania kwa sasa idadi ya watu wanaofanya manunuzi hayo imeongezeka maradufu, hasa masoko ya...
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC kwa mlichokifanya kwa Gadiel Michael ni Udhalilishaji, Uhuni na Tusi Kwake muombeni Radhi

    Na kilichoniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba yaani mlimchagua Mchezaji ambaye mnajua hana Nafasi Kikosini na ambaye mnamuacha Dirisha hili Dogo lijalo ili mumvalishe hili Bomu hata kama atapewa Adhabu haitokuwa na Athari kwa Kikosi kizima. Na najua kuwa mlitumia Akili Kubwa ya Kumshawishi Beki (...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa Mrisho Ngassa ni uhuni, TFF, TPLB mnawajibika

    Nimeona mahali kwamba eti nyota wa zamani wa Yanga, Azam, Simba, Ndanda, Mbeya City na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Khalfani Ngassa, juzi alizuiwa kuingia uwanjani kushuhudia mechi ya Ligi Kuu. Ngassa alizuiwa na walinzi wa milangoni maarufu Steward, ambao walimfanyia kitendo...
  13. JamiiForums Tanzania Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

    Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
  14. JamiiForums Tanzania Uhuni wa Zelensky waonekana wazi na kumuumbua yeye na rafiki zake

    Salama wandugu, Kwanza nianze kwa kuwapa pole wananchi wa Ukraine kumchagua mhuni kuongoza nchi kihuni huni. Alianza kwa kupanga kulipua dirty Bomb wakamshitukia kama kelele zisingepigwa angelipua . Ionekane Russia katumia nuclear lengo lake analijua yeye mhuni huyu. Ameua RAIA wa jirani...
  15. JamiiForums Tanzania Kumi bora ya maeneo yaliyowahi kuogopeka Dar kwa uhalifu, uhuni na tabia za kishenzi

    1. Manzese enzi hizo ikijulikana kama mji wa Soweto, tabia zote za kishenzi za wizi, uporaji na umalaya katika maeneo ya uwanja wa fisi, rambo bar n.k. 2. Tandale iliogopeka kwa tabia za ukabaji, uporaji lakini pia ushenzi. 3. Mwananyamala kisiwani kwa kopa. 4. Mburahati madoto hadi festini...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: UHUNI: Yadaiwa Kambole yuko Kigamboni anarejea Januari, dili lilichezwa na TFF

    Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa! "Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
  17. JamiiForums Tanzania Uhuni: Korosho sasa kusafirishwa kwa malori kwenda bandari ya Dar es Salaam

    Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara. Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi: 1. Mkulima atavuna korosho na kuzipeleka ghalani kungoja wanunuzi ambao hupatikana kwa njia ya mnada. 2. Baada ya Korosho kununuliwa...
  18. JamiiForums Tanzania Pole Mzee Kikwete, hii dharau wanayo hata black Americans kwa waafrika ndugu zao. Hawaangalii hata wa kuwafanyia Uhuni

    Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni. Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
  19. JamiiForums Tanzania Mnajifanya kusikitika Kifo cha Katibu wa Masanja, ila hamkemei 'Uhuni' wake 'Wanafiki' wakubwa nyie

    Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa. Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu...
  20. JamiiForums Tanzania Ushuru wa Maegesho: Sitaki kuamini kama uhuni huu wa TARURA una baraka ya Serikali

    Suala la Parking fee kwa kweli naanza kuamini kuna upigaji mkubwa! Kitendo cha kutokuweka karatasi kwenye gari mara baada ya kupiga picha si kitendo cha uu gwana kabisa! tunaibiwa sana sana sana kupitia uhuni huu. Hebu fikiria mtu anakupiga picha ukiwa kwenye FOLENI! kwenye foleni jamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…