uhuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TANESCO ya Rais Samia , Iache Uhuni , Watanzania walifunuliwa Macho na Hayati Magufuli!!

    Et Mgao wa Umeme kuanzia 15--18/9 . Sababu , Kupungua Kiwango Cha maji pale Kihansi na Pangani .......... Niwaulize, Kwa hiyo kuanzia tarehe 19 , Maji hapo Kihansi na Pangani yatakua yamejaa ?????? ACHENI UHUNI.!!. Mbona wakazi wanaozunguka maeneo hayo wanakiri kutokupungua Kwa maji ...
  2. Tunzo

    JamiiForums Tanzania TTCL mnachofanya ni uhuni, GB 1 kwa 2500

    Kila siku naona mnabadilisha vifurushi, Eti kifurushi kinaitwa bure, jana kilikua 1500 leo 2500, hopeless kabisa.
  3. Adriel Vin

    JamiiForums Tanzania Tigo Bima wananifanyia huu uhuni

    Miezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik) Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to...
  4. N

    JamiiForums Tanzania FCC mmebariki uhuni, wizi na utapeli wa makampuni ya simu?

    Haya majitu ni matapeli na majizi yasiyo na aibu wala huruma, kwa bahati mbaya pale pia watu.vyombo vilivyotakiwa kuwasaidia WANUKA JASHO wa nchi hii wal hawana habari kabisa Wamekaa meza kuu na majizi hayo wanakula na kusaza , wanukajasho watatjijua wenyewe Miaka 3 /4 iliyopita hata 2...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Share za Vodacom hazijapanda bei tangu ziuzwe kwenye IPO

    Hivi inaingia akilini mtu akikuambia VODACOM hawapati faida? Tangia wauze IPO kwa shilingi TSH 800/, Share zao hazijawai kupanda tena mpaka leo zimesimama kwa TSH 770/ na haziuziki. Hakuna mtu anazitaka hata kwa Tsh 600. Hii maanaake ni nini? Ni kwamba hazina Value sokoni kwa kuwa azipandi...
  6. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania NBS mlichofanya kwa nafasi za watu wa maudhui ni uhuni

    Hauwezi tangaza nafasi ujatoa vigezo watu wakaomba siku ya majibu ndio utoe vigezo huo ni uhuni waiteni hao watu wakafanye usaili nafasi za UKARANI kwa sababu usaili upo ngazi ya kata na form zao zilipelekwa katani na nyie majina mnayo waiteni hao watu kwani kama ni mkataba nyie ndio mmeuvunja...
  7. aise

    JamiiForums Tanzania Waislamu wametufanyia uhuni mtaani kwetu kwenye hii sikukuu yao

    Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa? Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure? Huo si uhuni?
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mbona mnahangaika sana? Mlikuwa hamtaki wafungue kesi upya? Mnaingilia haki za akina halima. Acheni uhuni.

    Mbona mnakuwa na roho za ajabu ninyi wanaChadema? Hiii nini? Hamtaki wafungue kesi upya?
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

    Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua. Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter...
  10. Fukua

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna, Wamasai lazima wakubali kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao

    Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote. Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini ni lazima waondoke ili nia njema ya serikali ya kuilinda na kuhifadhi ngorongoro yafanikiwe...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mgogoro NCCR Mageuzi: Timu Mbatia wachukua ofisi, wasema umefanyika uhaini ndani ya chama, Mbatia bado ni mwenyekiti

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya chama hicho mapema leo ni uhaini. Awali ilitolewa taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
  13. May Day

    JamiiForums Tanzania Mamlaka simamieni vizuri huduma za usafiri, kuna 'uhuni' mwingi sana kule

    Siku chache zilizopita nimetumia muda mwingi barabarani nikitumia usafiri wa Mabasi yanayofanya safari kati ya Dar Es Salaama na Arusha. Hakika kuna mengi nimeshuhudia yanayokera mpaka unajiuliza ziko wapi Mamlaka zinazotakiwa kusimamia na kutoa miongozo, ina mana hawaoni haya? Kati ya mambo...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Ili kukomesha uhuni kwenye manunuzi ya umma tuwawajibishe/ blacklist wafanyabiashara waliohusika

    Wakati Waziri Mkuu anapoenda kuwawajibisha maafisa manunuzi waliopandisha bei za bidhaa za tiba asisahau kiini cha tatizo yaani wafanyabiashara walioonesha bei za bidhaa hizo kuwa juu. Mfano haematological blood analyser ya mil 7 kuuzwa kwa milioni 15!! hapa msumeno lazima ukate kotekote yaani...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

    Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani. Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma...
  16. koba lee

    JamiiForums Tanzania Washindi wa Mchongo Pesa ni halali au uhuni unafanyika?

    Wakuu habari za majukumu, Nisiwachoshe nidumbukie kwenye mada. Najua wengi hamko tayari kukiri ila ni ukweli kua wengi huwa tunacheza hii michezo ya kubahatisha ukiwemo huu wa mchongo pesa. Sasa tatizo ni kua mbona wanashinda wengine? Mimi nina entries zaidi ya 120 lakini kushinda sishindi...
  17. Optimists

    JamiiForums Tanzania Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania 'Uhuni' unaofanywa na Mawakala wa Kampuni za Bia unashangaza

    Wadau, salaam Kuna Mawakala wa kutangaza (promotion) bia za kampuni za bia nchini kama Tanzania Breweries Ltd na Serengeti Breweries. Yaani iko hivi, hawa Mawakala wao kazi yao ni kutafuta wasichana warembo na kwenda nao kwenye baa kubwa ambapo huwapa bia ili wazitembeze kwa wateja wa baa...
  19. Capital

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kukomesha uhuni wa Halotel

    Wakuu, Niende kwenye hoja moja kwa moja. Wiki mbili zilizopita nilikosea kutoa muamala wa pesa kwa wakala wa halopesa kutoka kwenye line yangu ya halotel na dakika hiyo hiyo nikawapigia huduma kwa wateja na wakaisimamisha na kisha wakanitumia namba ya uthibitisho. Na maelezo niliyopewa ni...
  20. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufilisika kwa sababu ya mapenzi?

    Miaka michache iliyopita nilipata kazi ya mkataba, nikawa nakunja milioni moja kwa mwezi, nikaona maisha si ndio haya. Bahati mbaya nikaangukia kwenye mikono ya watoto wa mjini, laki laki zilikuwa zinatoka kama vile njugu, mara ohoo nikasuke, mara nimeichoka hii Tecno nataka samsung, mara...
Back
Top Bottom