uhuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Dola isiruhusu uhuni wa mtu kujipitisha kugombea Urais CCM , Mwaka 2030 kuna Muhuni atamptisha Kijana wake na hakuna atakayehoji, Tupige vita mapema

    Mpaka Sasa hamna Mahali Ambapo RAIS SAMIA kachukua Fomu, na kuijaza, na kuirejesha , yaaan Uhuni MTUPU Mtu kaamua kujipitisha Mwenyewe kavunja Katiba ya CCM ,kavunja Katiba ya Nchi Licha ya uvunjifu huo, Hata kuchukua Fomu, hajachukua Wakuuu !! Nitoe Rai, kama Vyombo vya Usalama Nchini...
  2. R

    Polepole, POWER is invariably personal; there is no group power! Ilibidi umtaje anayeamrisha/anayebariki UHUNI kwenye CCM

    HAKUNA GROUP POWER , hasa kwenye nchi zetu hizi za kishenzi! CCM inapokuwa kweye vikao, kuna mtu yuko juu. Kila member humo, particularly vinavyoendeshwa na Samia, kila mshiriki anaangali mdomo wa rais unacheza vipi, naye anafuatisha humo humo. Au anamtuma mtu aweke agenda inayomhusu na...
  3. JanguKamaJangu

    Polepole: Kiongozi wa Umma ukificha last seen ya WhatsApp, ukiwa ‘online’ hauonekani huo ni uhuni

    Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole aliwahi kutoa kauli kali kuhusu tabia ya baadhi ya viongozi wa umma kujificha kwenye mitandao ya kijamii, hususan WhatsApp. Akizungumzia suala hilo, Polepole alisema “Wewe ni kiongozi wa umma, lakini simu yako kwenye WhatsApp ukiwa umetumiwa...
  4. Wakusoma 12

    Kwenye hili la mechi ya Simba kuchezewa Zanzibar Kuna uhuni ndani yake, nani aliyeruhusu awali mechi ichezewe Zanzibar bila TFF na Simba kujua?

    Taifa limefikia hatua ya kuwa na matapeli Kila mahali, hivi kwa akili za kawaida tu CAF walijisemea tu wenyewe mechi iwe Zanzibar bila watu wetu kuwaandikia barua? Haiwezekani na haipo viwanja vipi vingi Afrika na kama maofisa wa CAF lazima walifika benja kukagua na kusema hapana basi hata...
  5. ngara23

    Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

    Yanga ndo Giant football in Tanzania Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa, tunaomba tu Simba wafuzu tukutane final Chonde chonde 5imba msije kukimbia kama mlivokumbia derby...
  6. mdukuzi

    Kuna bundi ametua Jangwani?GSM apunguze uhuni ataharibu brand ya timu

    CAS wameona hamna hoja Hamjakaa sawa FIFA wanachunguza udhamini wa GSM na TFF Kuna brand inaenda kuharibika soon
  7. Carlos The Jackal

    CHADEMA wafukuzeni G-55 mara moja, kama ambavyo CCM walimfukuza Mzee Malisa kwa kuhoji úhuni wa Dodoma, halafu tuone Mahakamani watakakokimbilia.

    Mzee Malissa alifukuzw CCM bila hata kuitwa na kujitetea, na Alifukuzwa sababu tu kahoji Uhuni ulotokea DODOMA. Hawa G-55 wanachofanya ni kutafuta Kufukuzwa, ili WAKIMBILIE Mahakaman, Cha kiwe na Kesi mara Kwa mara. Kwa Bahati Mbaya, mshauri wao ni kakikundi kadogo ka Dola na CCM na ambao...
  8. Dr Matola PhD

    Uongozi wa Shule za Baobab mnatukosea sana Wazazi, tumewavumilia sasa mmevuka mipaka komesheni huu uhuni.

    Jana jumamosi tarehe 5 ilikuwa ni graduation kwa wanafunzi wa form Six Baobab high school Bagamoyo. Kuna tatizo Sugu kuhusu huduma ya vyakula siku ya visiting day au mahafali huruhusiwi kwenda na chakula chako au bites zozote kutoka nje, ili swala tumelijadili muda mrefu kwenye vikao rasmi...
  9. Stuxnet

    Kuigawa Mbeya mjini na kuiacha Mbeya Vijijini ni uhuni wa Tume Huru ya Uchaguzi

    Angalia ramani, hicho kidogo cha rangi ya kijani katikati ndiyo Mbeya Mjini. Na hiyo yellow ni ndiyo Mbeya Vijijini Halafu Tume Huru ya Uchaguzi imefanya yafuatayo:- Yote haya ni KUMRIDHISHA Betina aendelee kuwa Mbunge na kisha Spika wa Bunge la JMT. ANGALIA. MLINGANISHO:- 1) Mbeya Mjini:-...
  10. A

    KERO Kariakoo ni kitovu cha nchi ya Tanzania kibiashara lakini uhuni ni mwingi bado

    Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka.. Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia kubwa sasa, hela inakuwa ktk eneo salama Ila dosari ipo kwenye utumaji wa mzigo hasa watu wa mikoani...
  11. Just Pray

    Wasira: Wengine ni vibaraka wakubwa, waache uhuni na nchi yetu, sisi tunaongoza dola kwa idhini ya watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza...
  12. kingito

    Sekretariet ya ajira kunani matokeo ya Walimu? Yamenikatisha tamaa baada ya walimu wakongwe kufeli mtihani wa Kiswahili

    Mimi ni mwalimu tarajali mwenzenu wa level ya IIIA, ila kwa matokeo ya kiswahili yamenikatisha tamaa sana, hasa baada ya kuona waalimu wanaofundisha secondary somo la kiswahili kwa miaka zaidi ya mitatu wamefeli. Hii ikanifanya nifanye utafiti mdogo usio rasmi na nipo tayari kukosolewa kama...
  13. Genius Man

    PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  14. Pascal Mayalla

    Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

    Wanabodi, Hii ni barua ya wazi ya mtu akimuandikia Dada yake. Japo Dada yake huyo ni mtu mzima, ameolewa na ana watoto, hivyo kwa watoto wake wanamwita Mama na ana wajukuu ambao wanamwita Bibi, lakini kwa sisi wa rika lake, wale watu wa 60s, huyu kwetu ni dada yetu mkubwa!, hivyo hili ni...
  15. Ngongo

    Lema punguza uhuni !

    Heshima kwenu wanajamvi. Lema kafanya press conference 3 ndani ya week hoja zake ni zile zile hana jipya. Uhuni wa Lema ni pale alipowaburuza wenyeviti wa mikoa wasiozidi wanne na kuwachanganya na wahuni wa Mbarahati na kudai ni Wenyeviti wa Mikoa 25. Tunajua Lema amevuta mpunga mrefu...
  16. N

    Uelewa wangu mimi wa maana ya neno uhuni

    Neno uhuni linamaanisha tabia ya kufanya mambo yasiyofaa au kukubalika katika jamii,hii ni pamoja na matendo ya udharirishaji, uvunjaji wa sheria au kuonyesha ukosefu wa maadili,kwa ufupi ni tabia ya kuishi bila hofu ya sheria au maadili ya jamii. Wahuni,ni watu wanaojihusisha na vitendo vya...
  17. M

    Wana CCM kataeni UHUNI uliofanyika Dodoma

    Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii. Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama. Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama...
  18. Melancholic

    Uhuni katika mahusiano

    Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha. Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya...
  19. D

    Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili? Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T...
  20. Pdidy

    Azam Ferry huu uhuni uliiofanyika sio mzuri kabisa, kataeni wateja kabla ya kukata tiketi

    Leo nimewapeleka wateja wanne toka Mozambique kwenda Zanzibar Jana wakati nakata tiketi zao wakasema wanahitaji abcd, Tukapeleka zote Leo wamepanda boti kwenda Zanzibar wanafika wanazuiwa hawana insurance Huu ni uhuni sijawahi kuuona, kwanini mkate tiketi walipe hela zao Mpaka baadae...
Back
Top Bottom