uhuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile na Serikali ya CCM tafadhali kama mmebariki Uhuni huu unaofanywa na Makampuni ya Simu nchini mtuambie

    Haiwezekani naacha Kuungana na Binadamu Wenzangu wote duniani Kusheherekea mwaka huu mpya wa 2021 badala yake naupokea huku nikiwa na Hasira na Uhuni kama siyo Utapeli tunaofanyiwa na Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hapa binafsi nauongelea sana huu wangu wa Morocco Smartphone Network...
  2. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Niwashitaki wapi Airtel Money kwa uhuni walionifanyia?

    Leo tarehe 28.10.2020 Airtel kwa kupitia huduma yao ya Airtel Money wamenisababishia usumbufu mkubwa sana, fedheha na kudharaulika kwa hali ya juu. Nilikuwa nimeenda shambani Bagamoyo kupiga kura kwani ndiko nilikojiandikishia. Niliweza kupiga kura yangu vizuri, nikaingia shambani KUENDELEA na...
  3. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania GE2020 TRA Acheni Uhuni huu kipindi hiki cha kampeni

    Mamlaka ya Mapato Tanzania imeamua kumfanyia kampeni Magufuli kwa style ya aina yake. Kuna gari ya matangazo ambayo sasa hivi iko kariakoo ikiwatangazia wafanyabiashara kulipa kodi. Gari hiyo imepigwa stika za matangazo ya mgombea wa urais Magufuli. TRA acheni uhuni huu mara moja kwani nyie ni...
  4. G

    JamiiForums Tanzania TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

    Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi. Hili nililitegemea.
  5. Kipapatiro

    JamiiForums Tanzania TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

    TBC Mungu anawaona na kwakweli hamtutendei haki kabisa. Mmeonyesha live wagombea wote 35 wa vyama vingine, imefika zamu ya CHADEMA mmejitoa na kuleta kipindi cha ZINAZOKIKI. You guys what you are doing is very unfair. Hii ndio sababu wananchi wameamua kuwaweka kando.
  6. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

    UTEKAJI UMERUDI NCHINI TAARIFA KWA UMMA TUMECHOSHWA NA UNYAMA HUU Chama cha ACT-Wazalendo kimepokea kwa mshutuko taarifa za kuvamiwa, kutekwa akiwa nyumbani kwake na baadaye kupelekwa kusikojulikana mwanachama wetu, Joackim Gerion Ng’ombo na watu ambao hawajafahamika. Ng’ombo ambaye alishika...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga tukatae Uhuni wa GSM huko mbeleni tutajuta

    GSM Waliokuwa Home Shopping Centre ni wahuni toka Serikali ya Kikwete. Hawa tunawafahamu walikuwa wakifanya uhuni kukwepa kodi, baadaye alipoingia Magufuli madarakani walijifanya wamefilisika na kubadili jina luwa GSM. Ni wahuni toka zamani na wezi wakubwa. Hawa wamekuja ichukua team yetu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Je, Morrison angeweza mfanyia Zahera uhuni anaomfanyia mzungu na viongozi wa Yanga na bado akapata namba?

    Habari wadau Swali la kizushi.. je Morisson angeweza kumfanyia Mwinyi Zahera mambo anayowafanyia viongozi msimu huu. Hapo ndipo nawaelewa watu wakali kama Zahera au Magufuli.. Ukali unasaidia sana kuleta nidhamu.. Yanga ya Zahera hata hela ilikuwa haina za mishahara ila bado kocha alikuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Al-Saedy Dar- Iringa: uhuni, dharau na kunyanyasa abiria vimekithiri

    Kampuni ya mabasi ya Al-Saedy yanayofanya safari zake Dar-Iringa wanafanya uhuni na dharau kwa abiria bila kufikiri madhara yake. Abiria wanakatiwa tiketi gari ya saa moja na nusu, mnafika stend ratiba inabadilishwa mnaondoka saa tatu. Nyingine ratiba inaonyesha kuondoka saa tatu, wao wanaondoka...
  10. tyc

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa TFF juu ya uhuni wa Lamine Moro

    Jana katika mechi ya JKT Tanzania vs Yanga, mchezaji wa Yanga Lamine Moro alimpiga kiunoni kwa style ya Taekwondo mchezaji wa JKT Mwinyi Kazimoto na kumrusha mita kadhaa mbele, na kuzua taharuki baina ya Kazimoto na Lamine ambapo mwamuzi akaamua kuwalambisha red card. Kiukweli kile kitendo cha...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta lifutwe, limejaa uhuni

    Habari waungwana! Naomba kuelezea kwa ufupi juu ya hujuma/ uhuni unaofanywa na wahudumu wa posta baadhi ya matawi. - Wahudumu wanawalazimisha watu watume barua kwa njia ya EMS. Ninaposema kulazimisha namaanisha hawakushikii bunduki bali wanakwambia hii ndio njia ya haraka, wakikuona unajua...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Uongo Wa Vipimo Vya Corona Tanzania: Kwanini Waziri Mkuu Na Waziri Wa Afya wasijiuzulu?

    Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
Back
Top Bottom