uhuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Bashe kemea uhuni unaotaka kufanywa na TCJE, kuwanyima neema wakulima wanaolima kupitia vyama vya msingi mbolea ya ruzuku

    Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada Bashe kupitia wizara yako ulituhaidi wakulima tunaolima kupitia vyama vya msingi kunufaika na mboleo ya ruzuku Kweli mwaka huu tumepokea mbolea zilizo na vifungashio vyenye nembo ya ruzuku, tukakubali kwamba ahadi ya kumuinua mkulima kunufaika na ruzuku...
  2. B

    Wanasiasa wengi hawajawekeza kwenye sekta ya Afya ndo maana wanaruhusu huu uhuni wa NHIF!

    Asalaam Aleykum. Ama baada ya salamu hizo, niangukie kwenye mada moja kwa moja. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taharuki kwa wanufaika wa mfuko wa NHIF mara baada ya watoa huduma za Afya upande wa hospitali binafsi na zile zinazomilikiwa na Taasisi za dini na mashirika yasiyo ya...
  3. A

    Shirika la reli (trc) acheni uhuni

    Treni ya shirika la reli tanzania imekwama eneo la same toka jana asubuhi. Treni hiyo iliyoondoka dar juzi kwenda mikoa ya kilimanjaro na arusha ilitegemewa kuwasili kilimanjaro jana alfajiri ila imekwama maeneo ya same pasipo shirika la reli kutoa taarifa kwa uma au abiria huku wananchi...
  4. Tamthilia ya Huba haiendani na jina lake. Kinachoendelea ni upotoshaji na uhuni

    TAMTHILIA YA HUBA HAIENDANI NA JINA LAKE. KINACHOENDELEA NI UPOTOSHAJI NA UHUNI TUU. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanafilamu wengi walikuwa wakilalamika hakuna wawekezaji katika tasnia ya filamu ndio maana kazi zinazotoka ni mbofumbofu. Miaka ya hivi karibuni kumetokea mabadiliko kidogo...
  5. Kumbukizi ya Dkt. Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme

    Kumbukizi ya Dr Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme.. unaniamsha unajua nimelala vipi uhuni huo.
  6. 2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

    Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila kukicha na serikali ,mama yake pekee alikuwa na kesi kama 50 zs uchochezi, kalelewa na ndugu tofauti...
  7. Traffic Kanda Maalumu Dar es Salaam mlichowafanyia bodaboda leo ni uhuni mtupu

    Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie. Nyinyi askari mnachangia...
  8. Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo .. Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
  9. Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

    Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele. Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
  10. Serikali imkamate na kumuhoji Felix Simbu kwa hujuma aliyoifanya kwenye mashindano

    "Leo nimegundua kuwa kumbe Mazoezi niliyoyafanya hayakuwa sahihi kwangu na nilipofika Kilomita ya 30; kuelekea ya 35 sikuona haja ya kuendelea hadi Kilomita 42 tulizokuwa tunakimbia, hivyo naomba radhi na asitafutwe mchawi, nitajitahidi katika mashindano yajayo," amesema Mwanariadha aliyejivunja...
  11. Simba acheni uhuni mlipeni Phiri pesa yake

    Wakuu Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba. Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.! Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai...
  12. Q

    Kitendo cha Uhuni cha UVCCM Chato kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi yetu

    Sielewi kwa nini hadi sasa jeshi la polisi halijachukua hatua zozote zile kuhusiana na kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, na sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea. Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani...
  13. Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

    Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa Tundu...
  14. Uhuni wa benki: Nimekatwa elfu 10 kutuma pesa benki moja kwenda nyingine

    Nimetuma 15k from my CRDB to NMB😡😡😡 yaliyonikuta najuta; nimekatwa 10k uwiii napiga simu naambiwa bank to bank hata kama 500 to 500M cost 10k Jaman huu uhuni wa wapi mwe? Kuna haja ya kufungua international bank tu
  15. I

    Halotel waache uhuni wa kuwaibia wateja

    Wasalam wadau wote. Nachukua fursa hii kuitahadharisha kampuni ya simu za mikononi ya Halotel kuacha kabisa hii tabia ya hovyo wanayofanya ya kuwaibia wateja wake. Kampuni hii ina tabia moja ya hovyo sana kwamba wakiona una GB nyingi kwenye simu yako na unataka kuongeza tena salio kwa kuongeza...
  16. Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji. Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze...
  17. CAF wasifumbie macho uhuni wa waarabu ule sio mpira ni fujo

    kwa tuliyoyaona jana kwenye mechi ile kubwa kabisa ya fainali africa zima imeshuhudia na rais mwenyewe wa CAF ameshuhudia ule haukuwa mpira zile ni fujo. Lazima waarabu waadhibiwe kwa upumbavu ule, mpira ulisimama mara mbili sababu ya moshi wa baruti kutoka kwa washabiki wao. Mpira ulikuwa...
  18. Clouds Media acheni uhuni, mahojiano yenu na Feisal Salum siyo professional!

    Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu. Kuna video ambayo imekuwa inasambaa ambayo inasikika Feisal akizungumza na Wakili wake pamoja na watangazaji wa Clouds...
  19. Jinsi binti niliekutana nae kwa miezi mitatu alivyotaka kunibambikizia mimba ya miezi 4, Teknolojia ilimuumbua kwa uhuni wake wa kienyeji.

    Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu. Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...
  20. Mbowe: Kilichofanyika kwa kina Mdee ni Uhuni. Rais wasitishie mishahara

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kilichofanyika kwa wabunge 19 waliopelekwa bungeni bila idhini ya chama ilikuwa ni uhuni, na ni kuvunja Katiba. Amesema wabunge hao walikuwa ni viongozi wao, hata hivyo mchakato wa kuwapeleka bungeni haukuwa mchakato wenye baraka za chama. Wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…