Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,330
33,958
Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.

Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.

Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
 
Kwanamna ulivyokua una mtetea Feitoto aondoke Yanga ki mchongo sikutegemea leo uta mdisi.
Alichokua anafanya Fei ni sawa na alichofanya Ally Salim kipa wa Simba ili aipatie matokeo ya mchongo timu yake.
Cha kumshauri Fei toto ni kufanya mazoezi binafsi mengi tena atafute mtu wa kumsimamia.
Kulingana na mwiliwake ulivyo kwasasa hana uwezo wa kucheza mech taff zaidi ya dk 60.
 
Hii hapana Kaka, kajadili mieleka soka limekushinda.
 
Ujanja kwenye soka upo ila usiufanye kifalafala. Hapa Diouf alijirusha na timu yake ikanufaika!

Kwanamna ulivyokua una mtetea Feitoto aondoke Yanga ki mchongo sikutegemea leo uta mdisi.
Alichokua anafanya Fei ni sawa na alichofanya Ally Salim kipa wa Simba ili aipatie matokeo ya mchongo timu yake.
Cha kumshauri Fei toto ni kufanya mazoezi binafsi mengi tena atafute mtu wa kumsimamia.
Kulingana na mwiliwake ulivyo kwasasa hana uwezo wa kucheza mech taff zaidi ya dk 60.
Tutafuta zile penalties na kuipasua ngao ile maana mtatuua.Na mngetufunga tungedai penalties zetu tulizonyimwa.
 
Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.

Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.

Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
Pia uhuni hauwezi kuisadia Yanga kua timu kubwa barani Africa.....
 
Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.

Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.

Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
Huo uhuni ni upi
 
Watu wanataka maokoto hizo tuzo za wachezaji bora na huo ushauri mpeni aziz ki.
 
Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.

Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.

Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
Jinsi ulivyomuelezzea iinanesha wazi huyo kijana "conduct" yake ina "reflect" malezi yake.
 
Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.

Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.

Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
Acha chuki masikini ww
 
Back
Top Bottom