uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Maandamano siyo uhaini bali ni ututusa!

    Sijui kwanini sisiemu wanaikana sera yao penzi ya ubinafsishaji na hata kudiriki kujigamba kwenye mikutano yao bandari haziuzwi wala hazibinafsishwi wakati wamebinafsisha. Kama wapinzani wameshindwa kitu kidogo kama kulinda kura wataweza kuongoza maandamano na kuwang'oa watawala? Ukweli ni...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania UHAINI: Tafsiri sahihi ya kosa na adhabu yake kwa mujibu wa Sheria za Tanzania

    Uhaini ni kosa la jinai, kwa tafsiri nyepesi ina maana kwamba ni kosa kubwa ambalo mtu analifanya dhidi ya nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti, mfano wa watu wasaliti wanaojulikana duniani ni Yuda ambaye kidini alimsaliti Yesu, mwingine ni Benedict Anold huyu jamaa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema. Pamoja na serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu kupongezwa na wadau mbali mbali wa haki za binadamu katika maeneo mengi ikiwemo kutoa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni uhuru, sakata la...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa tuhuma za uhaini, Mamlaka zimvue Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi

    Kwa kuwa mamlaka zina ushahidi kwamba Dk. Slaa amefanya uhaini, ili kulinda hadhi ya cheo na utambulisho wa "balozi" nashauri Dk. Slaa avuliwe hadhi hiyo ambayo Ina heshma sana katika nchi hii. Akivuliwa hadhi hiyo, aendelee kuchangamana na akina Mdude kwa kuwa ndio level ya akili zake kwa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wakuu wa Ulinzi na Usalama: Ni halali kwa Raia wanaopinga uhaini dhidi ya Jamhuri kupewa tuhuma za uhaini dhidi ya Rais wa Jamhuri?

    Ndg. Said Hussein Nassoro, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Leo tunalo swali makini kwa wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama: Ni sawa kwa Raia wanaopinga uhaini uliofanywa wa Rais dhidi ya Jamhuri kunyamazishwa kwa kufunguliwa mashtaka ya uhaini dhidi ya Rais anayetuhumiwa kwa...
  7. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Naiuliza Serikali, huu 'uhaini' hautawatisha wawekezaji wakiwemo DP World?

    Hili jambo la 'uhaini' lililoanzishwa na IJP Wambura na kuafuatia kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Nyagali na Dr. Slaa linanitafakarisha sana. Inaripotiwa humu na kwingineko kuwa akina Wakili Mwabukusi wamehojiwa kwa kosa la uhaini. Kosa la kutaka kuipindua Serikali au kumuua/kumdhuru Rais. Kosa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu adhabu ya Uhaini

    Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini hivyo huadhibiwa kulingana na ukubwa wa kosa hilo. Kifungu cha 39 (1) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya uhaini imegoma; mbinu gani inafuata kuwanyamazisha waliotumwa na MABEBERU?

    Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono...
  10. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Baraza la Maaskofu na BAKWATA dhidi ya Watuhumiwa wa Uhaini unashangaza

    Friends and Our Enemies, Nashindwa kabisa kuvielewa hivi vyombo viwili vya dini ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa mstari wa mbele kuikemea serikali kwa niaba ya jamii ya watanzania iliyogawanyika katika kiwango kikubwa katika iman hizo kubwa mbili za Uislam na Ukristo. Nasema,nashindwa...
  11. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Je, Uhaini unaweza fanywa na muomba Mungu?

    Uhaini( treason)the offense of attempting by overt acts to overthrow the government of the state to which the offender owes allegiance or to kill or personally injure the sovereign or the sovereign's family. Nimejaribu kufikiri kidogo, na nimekumbuka baadhi ya vitabu nilivyosoma vile mwl. J.k...
  12. Leak

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

    Toka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii? Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa...
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Ken Saro-Wiwa aliuwa kwa Uhaini, msichukulie poa, its evil!

    Kule Nigeria kosa lake kubwa ni kuwatetea wananchi dhidi ya dhuluma waliofanyiwa na Kampuni za Mafuta kama Shell matokeo yake akapewa kesi ya uhaini na kuishia kunyongwa na Sani Abacha, msichukulie poa, kuweni makini sana, Bandari haichukuliwi na Waarabu, Waarabu wa Emirate hawawezi...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Lengo la Serikali ni kuwaua wakosoaji? Kesi ya Uhaini ni eneo la kujifunza

    Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu. Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
  15. Neter

    JamiiForums Tanzania Niger: Mohamed Bazoum, Rais aliyeondolewa madarakani kushitakiwa kwa Uhaini

    ========== Wanajeshi walionyakua mamlaka nchini Niger katika mapinduzi ya Julai 26 wamesema jana Jumapili jioni kwamba Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum anaweza kufunguliwa mashitaka kwa uhaini. Viongozi hao wa mapinduzi wamemfunga Bazoum na kuvunja serikali iliyochaguliwa, kitendo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa adaiwa kubadilishiwa mashtaka kutoka ya uchochezi na kuwa ya uhaini

    Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter: Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kupinga bandari zetu kubinafsishwa si uhaini ni Uzalendo. Waachieni huru Manabii wetu

    Jibuni HOJA zao. Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba. Waachieni Manabii wetu tafadhali.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kesi za uhaini ni mpango wa kuwanyamazisha wapinzani mpaka 2025 ipite

    Huu ni mpango kabambe, umeshasukwa umesukika. Kuhusu kudakwa mmoja mmoja, si tetesi tena kwa sababu tayari wapo huko kusikojulikana. Ishu ni hii, wapewe kesi ya uhaini ambayo hawatotoka kamwe. Tayari mashtaka yameshaandaliwa, wote watakao dakwa imepangwa, ni sarakasi hadi 2025 ipite. List yao...
  19. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Kudai haki mahakamani ni Uhaini?

    Kwa wanaoijua sheria naomba watusaidie, je kwenda mahakamani kudai mwongozp wa kimahakama ni kosa la jinai? Nailiza hivyokwa sababu hapa nchini yanaiyo endelea ni kama vile mtu akiikosoa serikali au akiwa na mawazo kinyume na serikali iliyopo madarakani aiaonekana kama muhaini. Hapa naona...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

    Ndugu zangu Watanzania, Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini. Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa...
Back
Top Bottom