uhai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Fahamu sababu zinazopeleka Watu kujiua au kujaribu kujitoa uhai

    Matatizo ya Afya ya Akili: Watu wengi hufanya maamuzi ya kujaribu kujiua baada ya kupatwa na Msongo wa Mawazo au Sonona. Msongo wa mawazo unaweza kuleta maumivu makali ya kihisia Kupitia Matukio mabaya: Mtu ambaye amepitia matukio mabaya ikiwemo Ukatili Utotoni, Ubakaji, Unyanyasaji wa kimwili...
  2. B

    Katiba yetu inatishia usalama na uhai wa Rais aliyepo madarakani, tuiangalie kwa jicho la Vita ya madaraka

    Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais. Mimi naona haya kama mapungufu makubwa ya katiba hii hasa ikizingatiwa miyoyo ya binadamu Ina Siri kubwa. Mtu mwenye...
  3. Niache Nteseke

    Huyu Jamaa Kabakiza Siku Chache Kupoteza Uhai. Hatari Sana...!

  4. N

    Ni ipi kozi nzuri kati ya hizi?

    Kwa wataalamu wa IT Na ICT, na masoko jinsi yalivyo. Course ipi ni nzuri? 1 . Web designing 2. Vfx and animation 3. Software and programming languages 4. Tally 5. Cyber security 6. Computer hardware and maintainance 7. Computer hardware anda networking 8. 9. 10. Ongeza chaguo jingine ikibidi...
  5. Frumence M Kyauke

    Mtumba Man afichua alivyotaka kujitoa uhai baada ya kuwa maarufu

    Tunapozungumzia Mtumba Man, wengi wanamfahamu kama mwanamume ambaye anauza mitumba akiwa anaimba na kuvalia mavazi ya wanawake nchini Kenya Je uewahi jiuliza kwa nini watu mashuhuri au vijana mashuhuri ujitoa uhai au kupatwa na msongo wa mawazo licha yao kuwa maarufu nchini? Mtumba Man akiwa...
  6. Sijali

    Sidhani kama Tanzania itaendelea katika uhai wetu

    Maendeleo ni ya watu, na si vitu. Maana hiyo ni mpaka hapo asilimia 80+ ya Watanzania watakapomudu kula milo mitatu ya wastani, kuwa na makazi yanayofaa binadamu kuishi, kuwa na huduma za elimu bora, afya, maji na usafiri wa kukidhi kwa wastani. Zaidi ya hayo, kuwa na uhuru wa kutonyanyaswa na...
  7. mugah di matheo

    Vurumai, Mabomu ya machozi vya rindima Singida kufuatia ajali iliondoa uhai wa mwanafunzi

    Mwanafunzi moja wa shule ya msingi Kibaoni Manispaa ya Singida amefariki dunia jioni ya Leo baada ya kugongwa na Gari iliosemekana ni ya kusafirishia hela za benki. Mwanafunzi huyo aligongwa akiwa sehemu salama kabisa inayoruhusu waenda kwa miguu kuvuka barabara yani zebra, lakini kwa kutojali...
  8. Erythrocyte

    Hivi mbona maji ya Uhai, Afya au Pangani hayanywewi kwenye hafla kubwa? Maji ya Kilimanjaro yana nini?

    Leo nilikuwa nafuatilia Tuzo za TFF, pamoja na mambo mengine nimefuatilia maji yaliyokuwa yananywewa na wadau, hakuna zaidi ya Maji ya Kilimanjaro. Haya maji ya Uhai, Pangani au Afya yanayouzwa sana kwa mama lishe kule Tandika na Kariakoo imekuwaje huko kwa wakubwa?
  9. Pascal Mayalla

    Wito RC Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo na Waziri wa Mifugo, Kufuatia Umuhimu wa Chakula, Baada ya Mungu na Pumzi ya Uhai, P'se Mpitisheni Uwanja Pasua

    Wanabodi, Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa haraka zaidi na kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe...
  10. Genius jack

    SoC01 Nitaishije Maisha Yenye Faida

    Hivi ulishajiuliza kwanini upo hai mpaka leo? Hili ni swali gumu sana lakini sio kila mmoja anaweza kutoa majibu sahihi, kwa ufasaha wa swali hili ni lazima mtu awe alishajiuliza ni kwanini kwanza anaishi. Ndipo aje ajiulize juu ya ukomo wa maisha. Lazima tukubali hakuna kitu kinaweza kutokea...
  11. Shujaa Mwendazake

    RC Mtaka: Usifanye siasa kwenye chanjo; uhai wako sio mali ya Kanisa, Serikali au Msikiti

    "Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali yako mwenyewe, nenda kachanjwe”———RC Mtaka
  12. American Ninja

    Kukamatwa Ugoni kulivyotaka kukatisha uhai wangu

    Siku hiyo kidume cha mbegu nilikuwa nakula mzigo wa mke wa mtu kwake, Mumewe alikuwa Safari. Baada ya kumaliza kula mzigo mzee nikawa nimejilaza pale kitandani huku mikono yangu nikiwa nimeiweka kwenye kakitambi kangu, nikiangalia feni juu, lililokuwa linanipa upepo. Mpango ulikuwa ni kulala...
  13. kavulata

    Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

    Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest" Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake Mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? Mo ana maji ya masafi na Azam ana maji ya Uhai. Mo ana timu ya Simba na Azam ana timu ya Azam. Hii imekaaje kikanuni?
  14. LellozWho

    Kuchagua kifo, ni sawa iwe sheria na haki kwa watu hawa?

    Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu. Lakini Nina swali moja nakosaga jibu. Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua. Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
  15. MamaSamia2025

    Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA

    BADO MBOWE NI KIONGOZI SAHIHI KWENYE HIZI NYAKATI ZA MWISHO WA UHAI WA CHADEMA. Najua mtashangaa sana kwa huu uzi wa leo. Ni kwamba kama akili kubwa nimeona niliweke hili suala la uenyekiti wa Mbowe. Kuna wanaoona ni sahihi yeye kuendelea kuwa mwenyekiti kwa maisha ya CHADEMA yaliyobakia na...
  16. J

    CHADEMA, Tusitumie madai ya Katiba Mpya kumrudishia uhai wa Chama sio Matakwa ya Watanzania kwa sasa

    Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutufikisha katika hatua ya Katiba pendekezwa. Lakini kwa Sasa linaonekana Jambo jimpya kwa Chama Cha...
  17. Da Vinci XV

    Huyu Malaika anayetenganisha Dunia ya Uhai na Dunia ya Wafu (Kuzimu)

    Wasaalaam Kipindi kile tungali wadogo ,tuliishi kwa ngano na hekaya za kutisha kutoka kwa wazee wetu , hadithi kedekede katika mjumuiko mmoja wa wajukuu na watoto kadha wa kadha, wakimsikiliza mzee mmoja aidha awe na sharafa zenye mchanganyiko wa Weusi na weupe unaoleta ukamilifu wa Rangi ya...
  18. P

    Nguvu yetu ipo katika umoja wetu, tukumbushane hili tunapoikaribia miaka 60 ya uhai wa taifa letu

    Tarehe 9 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu inatimia miaka 60 ya uhuru wetu. Itakuwa ni siku maalum yenye kila sababu ya kupambwa na nyimbo za furaha na zenye kukumbusha maana pana ya uhuru wetu. Ni lazima tukumbushane kuwa umri huu tunaoufikia mwaka huu haujaweza tu kwa bahati kuweza kufikiwa...
  19. fantastic philip

    Wasafiri tuwe makini na wanatudhulumu uhai wetu

    SOMO KWA WASAFIRI (PART 1) 1/Ili ni somo kwa ajili ya kusaidia mamlaka husika au wadau mbalimbali kutambua haki zao. 2/Leo tutaanza na somo la kampuni husika za mabasi kwenda na muda, hapa lazima tuweke sawa kuna tofauti kubwa kati ya kwenda na muda na kwenda mwendo kasi. 3/Kuna wimbi kubwa...
  20. Mshana Jr

    Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawi

    Nywele mojawapo ya 'viungo' vya mwili ama mazao ya mwili ni mojawapo ya malighafi muhimu kiroho na kimwili pia.... Nywele hizi za kichwani huota toka kwenye ngozi ya kichwa ambapo ndani yake ndio kumebeba software ya ufahamu na utambuzi wa kiumbehai... Nywele nyingine zimeota juu ya ngozi ambayo...
Back
Top Bottom