uhai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bams

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tujue Thamani ya Uhai wa Mwanadamu

    Shetani ameingia kwenye nchi yetu, anayetaka kutuaminisha kuwa uhai wa mwanadamu si chochote, unaweza ukauondoa wakati wowote unaoutaka, tena kwa sababu za kipuuzi kabisa, eti wanakosoa Serikali. Vyeo na madaraka hupewa mtu yeyote ambaye wanadamu wameamua, lakini tujue kuwa hata katika umoja...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatutamchagua kiongozi yeyote kwa sababu ya kujenga madaraja na mashule ama mahospitali ,tutamchagua kwa ajili ya kulinda uhai wetu na watoto wetu ,

    Hali inakoelekea tunakosa mtu sahihi wa kusimama nasisi ikiwa kiongozi anasema hajui chochote hata wakati ambao raia wake wanauwawa hafai kuchaguliwa hata kama atafanya maendeleo makubwa namna gani! Kiongozi aliyetayari kulinda cheo chake kulikoni kulinda uhai wa raia wake si tu kwamba...
  3. Undava King

    JamiiForums Tanzania Ijue dhana ya uhai na kifo kama mizania ya fumbo la imani

    Hapo kabla NGUVU KUU iliyokuwa mahali pamoja ilipata kugawanyika katika sehemu kuu tatu. Japo chanzo cha kugawanyika kwa nguvu hizo hakijawahi kuwa bayana. Nazo nguvu hizo ni nguvu ya UHAI, KIFO na MIZANIA YA UHAI NA KIFO. Ghafla ikatokea kuyumba kwa mizania ambapo KIFO nguvu yake ikazidi ile...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uhai wa asasi zisizo za kiraia: Wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo

    Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa endelevu katika kutatua matatizo yanayokabili maendeleo. Udhaifu huu unazidishwa na ukosefu wa njia za...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Lissu asema Mbowe anatishia uhai wake

    Habari Wakuu! Nimekutana na picha ya habari toka Voice of Amerika Swahili (VoA Swahili) ikidai kuwa Tundu Lissu amethibitisha kupokea vitisho kutokea kwa Freeman Mbowe. Je ni kweli? Picha hii hapa Chini
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Gaidi la HAMAS lajaribu kutijoa uhai kwenye gereza Israel

    Magaidi yaliyokamatwa lazima yapata cha moto na show kali kali hadi hili liliamua kujitoa uhai likawahi mabikira.... Hamas Nukhba terrorist who took part in the October 7 massacre attempted to end his own life in an Israeli prison, Israeli media reported on Thursday afternoon. The terrorist...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE. Leo sukari...
  9. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Siku Atheists wakiweza kutengeneza pumzi ya uhai na ku-escape death basi ntaungana nao

    Kama kinavyosema kichwa cha habari siku wakiweza kufanya hayo mambo mawili basi ntaungana nao kwenye msimamo wao tofauti na hapo ni porojo tu. Hivyo vitu viwili ndo mafumbo makubwa yaliyomfanya mwanadamu na ujanja wake wote aufyate.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania panapotokea majanga tujali sana kuokoa nafsi zetu kuliko mali; uhai haitafutwi ila Mali zinatafutwa. Poleni kwa mafuriko

    Nimeangalia clip mbalimbali zinazosambaa kuhusu hali ya majanga yanayotokana na mvua nchini Ukiangalia clip na kuangalia maneno yanayotolewa na wahanga yanalenga zaidi kuzifuatilia mali na kusahau uhai wao. Nimeona watu wanasikitika kupoteza nyumba lakini wanaporekodiwa wanakuwa bado wapo...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina waonesha uhai wa China

    Wizara ya Uchukuzi ya China hivi karibuni inakadiria kuwa idadi ya watu watakaosafiri wakati wa Chunyun itafikia bilioni 9, kiwango ambacho kitakuwa rekodi mpya katika historia. Chunyun, maana yake ni kilele cha usafiri wa abiria wakati wa Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina. Kipindi cha...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Sheikh Issa Ponda, amuomba Rais Samia kushughulikia uhai wa Bakari na Juma waliotekwa

    Rais wetu shughulikia Uhai wa Raia. Trh. 27.12.23, Polisi wamewauwa Bakari Ismail na Shomari Kacheuka. Trh. 28.12.23 kikosi cha Utekaji kimewateka Juma Idd na Haruna Idd. Matukio haya na hukumu za kunyongwa watu yanakithiri katika Serikali yako. Siasa sawa lakini Uhai ndio Na.1.
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe: Uhai & Kilimanjaro

    2024 uwe na ujasiri kama Hill water. 1. Usiogope yoyote, 2. Weka mipango, 3. Tekeleza, 4. Sacrifice. Utatoboa NB: Mangi hatumii hirizi wala mazonge-zonge bali Biblia na bidii.
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pumzi inakata na hakuna mapumziko: Magaidi wengi zaidi wa Hamas wanaendelea kujisalimisha kunusuru uhai wao

    Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo. Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar. Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya pombe safarini ni hatari kwa uhai wako mwenyewe

    Maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu, lazima tutuinze na kuithamini zawadi hii muhimu kwetu sote. Tufurahie uhai na mema mengi ya Mungu alieyoyajaza katika ulimwengu huu. Imeibuka kasumba kwa wanywaji pombe hasa vijana, mathalani, anasafiri kutoka mkoa moja kuelekea mkoa mwingine, kutumia vilevi...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

    Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote). Hata...
  18. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Maisha na uhai hujitengeneza vyenyewe kulingana na mazingira (supernatural power ipo lakini dini ni ulaghai)

    Supernatural power ni nguvu ya asili ambayo ni matokeo ya ukamilifu wa mifumo na vitu vinavyounda mazingira. (Mazingira hai na mazingira mfu). Nakubaliana na uwepo wa Supernatural power lakini kwenye dini bado sijashawishika. Kila kiumbe hai hujitengeneza chenyewe automatically huku mchakato...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” laonesha uhai mkubwa barani Afrika

    Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika hivi karibuni mjini Beijing, na kuwashirikisha takriban wajumbe 10,000 kutoka nchi 151 na mashirika 41 ya kimataifa, wakiwemo viongozi wa nchi na mashirika 20 ya kimataifa. Ikiwa mmoja wa washiriki...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Michezo inaleta uhai kwa maendeleo ya vijijini China na Kenya

    Michezo ya 19 ya Asia ilifunguliwa tarehe 23 mjini Hangzhou, China. Katika miaka 15 iliyopita, toka Michezo ya Olimpiki ya Beijing, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing hadi Michezo ya Asia ya Hangzhou inayoendelea sasa, China imekuwa mwenyeji wa michezo kadhaa muhimu ya kimataifa...
Back
Top Bottom