uhai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema na ulinzi wake wa daima

    Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu. Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kudhibiti matukio ya watu kujitoa uhai nchini

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya kikatili lakini pia kumekuwa na matukio mengi ya watu kujitoa uhai, kitu ambacho kinaleta taharuki kubwa katika jamii na nchi kiujumla. Katika hili andiko nitaongelea zaidi upande wa kujitoa uhai na afya ya akili. Afya ya akili...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kenya: Safari ya saluni ilivyokatisha uhai wa mwanafunzi Chuo Kikuu

    Familia moja katika Kijiji cha Kabuboni, Kaunti ya Tharaka-Nithi, inapambana kutafuta haki ya binti yao mwenye umri wa miaka 21, aliyeuawa kikatili. Mwili wa Ann Kambura ulikutwa umetupwa kisimani huku mikono yake ikiwa imefungwa kwa nyuma wakati blauzi na sidiria yake vikiwa vimefungwa kwa...
  4. mangosongoo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

    Ndugu zanguni, maisha yanakwenda kwa kasi sana, na hatujui ya mbele yetu ni nini, yanaweza yakawa mazuri au mabaya japo katika kanuni ya maisha hatutakiwi kujitabiria mabaya. Katika mazuri kunakufanikiwa kimaisha, kiuchumi, kifamilia, elimu na afya njema lakini katika mabaya nayakusikitisha kwa...
  5. Mabula marko

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu

    Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu Utangulizi Tunapozungumzia kilimo na mifugo katika nchi yetu ya Tanzania tunagusa Nyanja ambazo kwa muda mwingi zimebaki kuwa mihimili ya vyanzo vya mapato kwa jamii nying sana za kitanzani shughuli hizi mbili daima zimekuwa na mchango mkubwa...
  6. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Dereva wa gari okoa uhai kwa kufuata sheria za barabarani

    Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
  7. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

    Heri ya Pasaka! Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa...
  8. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kabla hujafa/kupoteza uhai katika ulimwengu huu wa mwili na roho

    1. Usingizi 2. Ndoto 3. Mateso 4. Ridhiki 5. Afya 6. Uhuru • Ushawai kuota ndoto yenye mateso,haya unatambua kuwa usingizi ni nusu kifo? na ushawai kuota umeumwa na unapelekwa hospitalin ila gafla ukashutuka na ukajikuta uko na (Afya njema kabisa🙏) ukaamka na kwenda kutafuta Ridhiki, unapata...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali pitia huku uokoe maisha ya mwananchi wako anaepambana kuokoa uhai wake

    Rais wetu, kwa heshima na taadhima napenda kutanguliza salam zangu za dhati kwako na kwa Watanzania wote, waliopo humu na wale wasiokuwepo humu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia leo katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao yetu ya kijamii ili kupata habari mbali...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Inaweza kukugharimu pesa nyingi Hadi uhai kwa kujifanya unapesa.

    Nilichogundua kukaa kimya ndo akili za kitajiri maana huwezi muomba pesa au kumdhuru kirahisi mtu ambaye huna background yake ya kipato Kama anacho au Hana Sisi masikini %kubwa tunapenda kujionesha tuna pesa na mwisho wa siku inatugharimu pesa nyingi Hadi uhai Nimefatilia visa vingi vya mauaji...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lowassa anapigania uhai wake nchini Afrika Kusini

    Hali ya kiafya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, inaelezwa kuwa ya kutoridhisha katika siku za karibuni na kwamba sasa “anapigania uhai wake”, Gazeti la Dunia linaweza kuthibitisha. Lowassa anayetarajiwa kutimiza umri wa miaka 70 Agosti 26 mwaka huu, amelazwa nchini Afrika Kusini...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kunywa madafu kwa wingi ni hatari kwa uhai wako

    Habari ndugu zangu. Nimekuja kuwatisha tena. Maji ya nazi/madafu yana madini ya potasium kwa wingi sana. Matunda kama machungwa na ndizi yana potasium kwa wingi lakini hayagusi hata kidogo kwa madafu. Sasa basi. Potasium kazi yake kubwa ndani ya mwili ni kujihusisha na masuala ya umeme. Mishipa...
  13. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania CHUNGA KUTOA UHAI MTU KISA PESA

    KAMA UNATAFUTA PESA TAFUTA PESA, MAOMBI OMBA AFYA NJEMA NA UONGOFU 1. PAMBANA UWEZAVYO PESA HAINA MWENYEWE NAWE UNAWEZA KUWA MILLIONEA. 2. MATAJIRI WANAUSISHWA NA USHIRIKINA KWA KUWA PESA IKO NA MAMBO MENGI, HII INAFIKIRISHA LAKINI SIO KILA TAJIRI ANAJIHUSISHA NA MAMBO YA KISHIRIKINA HAPANA. 👉...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uhai ulianzaje?

    Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Uhai ulianzaje?

    Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  17. Tango73

    JamiiForums Tanzania Yanga: Zizi lisilo na ndama halina uhai!

    Timu isiyokuwa na academy ya kufundisha soka vijana uhai wake uko mashakani. Yanga punguza gharama za usajili nje na ndani ya nchi kwa kulea vijana wenye vipaji vya soka. Kusajili mchezaji kwa mabilion ya pesa toka nje ya nchi ambapo uchezaji wake hautishi kuliko wazawa ni kupoteza pesa tuu...
  18. MINESOPOTAMIA

    JamiiForums Tanzania Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale. Mchezo uliisha 3 - 3! Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
  19. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mjini fm ni redio ya nani?naona inatishia uhai wa redio nyingi hapa jijini kwa sasa

    Hawa jamaa kwa sasa ni noma Naona wanakasi nzuri naomba kujua mmiliki wake
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania CPR: Huduma muhimu inayookoa uhai wa watu walio kifoni

    CPR, ama Cardiopulmonary Resuscitation ni njia ya dharura na haraka, inayotolewa kwa mtu aliyepatwa na changamoto ya mshtuko wa moyo (Cardiac arrest). Huhusisha kubonyeza kifua pamoja na kutoa hewa mbadala kwa mhusika ili kutunza mzunguko wa damu kwenye viungo muhimu vya mwili ikiwemo ubongo...
Back
Top Bottom