uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu +256785 ni code ya mtandao gani Uganda?

    Nahitaji kujua +256785 ni code ya mtandao gani nchini Uganda.
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yapata hasara ya matrilioni ya pesa kibiashara kutokana na mizozo yake na nchi jirani

    Sekta ya biashara nchini Uganda imepata pigo kubwa sana mwaka huu kwa kuandikisha upungufu wa shilingi trilioni 3.4. Hii inatokana na mizozo ya kibiashara na mataifa jirani. Kwa mujibu wa ripoti ya ufanisi wa kibiashara ya mwaka 2018/2019, shughuli za kibiashara kati ya Uganda na mataifa...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Yaliyokutwa Uganda kwenye safe houses za Iddi Amin

    Basement ya safe house iliyotumika kama interrogation house wakati wa utawala wa Idd Amin.
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raia wa Uganda auawa na kundi la watu wa Kongo

    Inaelezwa kuwa Mganda mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na raia wa Kongo kwa watu wa Uganda. Shambulio hilo lilitokea katika Soko la Nziapande, ambalo lipo takribani kilomita tano kutoka mpaka wa Uganda-DR Kongo ya Busunga wilayani Bundibugyo. Taarifa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars vs Uganda

    Hivi timu yetu,SI inacheza Leo huko Kampala ,mbona kimyaaa!
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda, Rwanda officials meet in Kampala over border tension

    A meeting between Uganda and Rwanda that should have taken place on October 17 as a follow up to the September 16 one in Kigali to ease tension between the neighbouring countries is scheduled to take place today. “Uganda and Rwanda will tomorrow (Friday) hold a follow-up meeting at Speke Resort...
  7. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kiswahili kufundishwa rasmi Uganda Januari

    SHULE zote za msingi nchini Uganda, Januari mwakani zitaanza kufundisha lugha ya Kiswahili na baadae kufanya mitihani kwa lugha hiyo. Hatua hiyo imeelezwa ni mkakati wa nchi hiyo, kutaka kujitanua katika Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kuona nchi nyingine wanachama wa jumuiya hiyo na nje ya...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Four suspected armed robbers killed in Mutundwe

    Security officials inspect the vehicle in which the suspected armed robbers were travelling. NTV photo. Security operatives Tuesday shot dead four men who were reportedly on a robbery mission in Mutundwe, Rubaga Division in Kampala. According to police spokesman, Mr Fred Enanga, UPDF...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu 36 wafariki, wengi hawajulikani walipo huku maelfu wakiwa bila makazi kutokana na mafuriko

    Shirika la Uokoaji la Msalaba Mwekundu Nchini humo linaloendelea na uokoaji katika Wilaya ya Bundibugyo limesema kuwa watu wengi bado hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Mashariki mwa Uganda Waziri wa Kujikinga na Majanga na Kushughulikia Wakimbizi, Musa Echweru amesema...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa mpakani kati ya Rwanda na Uganda wazidi kufukuta

    Wananchi wa Rwanda kwenye mpaka wa Gatuna wanasema kwamba mikakati hiyo ni pamoja na kuwapiga risasi wanaojaribu kuvuka na kujihusisha na biashara haramu (LUKE DRAY) Uhusiano baina ya Rwanda na Uganda unaendelea kuwa mbaya huku upande wa Rwanda katika maeneo ya mpakani na Uganda mikakati ya...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Zaidi ya watu 30 hawajulikani waliko kufuatia mkasa wa maporomoko ya udongo Uganda

    Watu sita wamefariki na watu wengine zaidi ya 30 wanahofiwa kufa baada ya makazi yao kusombwa na maporomoko ya matope katika wilaya ya Bududa, Mashariki mwa Uganda. Karibu kila mwaka, watu wengi hupoteza maisha baada ya makazi yao kusombwa na maporomoko ya matope katika wilaya ya Bududa...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nine arrested over UPDF soldier's death

    Watuhumiwa tisa wa mauaji ya mwanajeshi wa UPDP Jinja wakamatwa. Miongoni mwa watuhumiwa hao ni pamoja na wanajeshi sita wa UPDP pamoja na wananchi watatu. === Nine people who are suspected of participating in the murder of a UPDF soldier in Jinja, have been arrested. Capt George Musinguzi...
  13. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Uganda na Rwanda zinaongoza Afrika Mashariki katika Teknolojia ya Magari ya Umeme

    Habari! Uganda na Rwanda ziko mbioni zaidi ya mataifa mengine ya Afrika Mashariki katika mabadiliko ya kiteknolojia kuelekea magari yatumiayo nishati ya umeme ingawa mapungufu ya miundombinu yanazuia uwekezaji katika sekta hiyo inayoibukia. Mataifa hayo mawili tayari yamezindua viwanda maalumu...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hongera Uganda kwa kufanikiwa kutengeneza simu na pia kompyuta mpakato nitaagiza ya kwangu nione fahari

    Nchi ya Uganda imefikia hatua nzuri sana inayostahili pongezi kwa kuweza kutengeneza simu na kuziingiza sokoni. Uzalishaji unaonekana kuwa simu 2000 za kawaida, smartphone 1500 na kompyuta mpakato 800. Watanzania tujifunze hapo napo
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni launches Uganda’s first mobile phone, computer assembling plant

    President Museveni Friday launched Uganda's first ICT manufacturing and assembling plant in Namanve. This comes into force after government signed an agreement with SIMI technologies to promote the manufacturing of ICT electronics in Uganda. At full capacity, the factory will run three...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nakalema awataka viongozi wa dini wasaidie katika mapambano dhidi ya rushwa Uganda

    Kiongozi mkuu wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Uganda Bi. Edith Nakalema amewaomba viongozi wa dini kusaidia katika harakati za kukemea rushwa nchini Uganda. Kiongozi huyo akiwa amehudhuria ibada ya Jumapili katika kanisa la Mtakatifu Paulo lililopo Mulango Jijini Kampala, amesisitiza kuwa...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wananchi wa Uganda wasaini waraka ili Rais Museveni afikishwe kwenye Mahakama ya ICC

    ZAIDI ya wananchi 800 wa Uganda wamesaini waraka wa kushinikiza kufikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo. Kampeni hiyo inayokusudia kukusanya kwa takriban saini milioni mbili inaongozwa na kinara wa upinzani nchini humo Dakta Kizza Besigye...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda na Jamhuri ya Demokrasia Kongo zafikia makubaliano ya kuboresha miundombinu baina ya nchi zao ili kurahisisha biashara

    Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo zimesaini mkataba wa kufanya maboresho ya miundombinu hasa barabara zinazounganisha nchi hizo mbili katika kipindi cha ndani ya miezi 24 kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji ndani ya nchi hizo mbili. Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museven na Rais wa...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Report: Uganda has worst roads in East Africa

    The Inspectorate of Vehicles has said Ugandan roads are the worst in East Africa in terms of carnage, killing at least 3,500 people per year. While opening a joint smart drivers’ training workshop at Namboole stadium yesterday, Mr Suleiman Kirungi, the commissioner for Inspectorate of Motor...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 120 wakiwemo wapenzi wa jinsia moja wakamatwa kwenye kilabu cha usiku Uganda

    Polisi nchini Uganda wamesema wamewakamata watu 120 katika Baa moja mjini Kampala na kukamata dawa za kulevya katika operesheni hiyo. Baa hiyo inaruhusu wapenzi wa jinsia moja kuburudika katika sherehe maarufu usiku wa kila jumapili. Lakini polisi wamekana kuwa walikuwa wamewakusudia watu wa...
Back
Top Bottom