ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeonesha picha kamili CHADEMA sio chama makini, kimejaa wapiga kelele

    Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama wanajumuia wa Chadema tulitalajia watupe mrejesho kuwa Mbowe kama chairman na mfanyabiashara mahiri...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sijashangaa wala kushtuka Mbowe kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi

    TUHUMA ZA UGAIDI ZA MBOWE ZINAWEZA KUWA NA UKWELI WOWOTE? Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu yangu Freeman Mbowe ametiwa hatiani na polisi kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama za kutaka kuua na kudhuru viongozi wa Serikali. Mbowe alitiwa mbaroni akiwa Jijini Mwanza. Toka namfahamu Mbowe amekuwa na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumshitaki Mbowe ni ngumu kuungwa mkono wa watu

    Watanzania tuna utamaduni wa kujuana hivyo kama unamjua mtu ni vigumu sana kubadilisha msimamo wako Mbowe kwa wakazi wengi wa Dar-es-Salaam wanajua na ni kati ya wale watu ambao wamejulikana kabla hata ya siasa. Mbowe tofauti na wanasiasa wengi kasoma Dar es-salaam, wazazi wake walikuwa...
  4. Informer

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Freeman Mbowe (CHADEMA) afungua shauri kupinga mashtaka dhidi yake

  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

    Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo. Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
  6. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  7. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Wanaodai katiba mpya wasikilizwe, wasiitwe magaidi

    Wasalaam. Kama taifa tutafakari ugaidi uliotokea Tanzania ukiongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe ambae yupo jela kwa tuhuma zinazomkabili za ugaidi. Ni vema kujua maana halisi ya ugaidi wakati tunaendelea kutafakari maana inaoyesha hata police wetu hawajui ugaidi ni nini...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa ugaidi na nchi zao

    Kama tunatamani nchi hii iwe na magaidi, basi Mungu atatupatia tunachokiomba na ikiwezekana iwe soon ili tuone ubaya wa kamanda Mbowe kwa vitendo. Wenzetu walionja gharama za magaidi na ugaidi, hawataki hata kusikia habari zao ila sisi siasa zimetufanye tutamani ugaidi basi Mungu atupatie kile...
  9. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz" Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
  11. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

    Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, naomba mtujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe

    Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi. Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe. 1. Ni kwanini wamempeleka mahakamani Kisutu kisirisiri, bila kumuarifu yeye mtuhumiwa, ili aweze kutumia...
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima ni wa kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uchochezi, Uhaini na Ugaidi

    Napenda kutoa Rai kwa Vyombo vya Ulinzi na usalama kumkamata mara moja Mh Gwajima, kumuhoji na kumshitaki kwa counts tatu za msingi.Sitaki kuzungumzi hotuba ya Mch Gwajima kanisani kwake juzi, kwani si jambo geni humu na litaunganisha uzi na nyuzi zingine kama hizo. Mods Nakimbilia moja kwa moja...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakutegemewa kuwa kiongozi wa kukumbukwa Tanzania

    Ni vigumu sasa kwenda sehemu yoyote ya Tanzania na kuuliza kama wananchi wa eneo hilo wanamjuwa kiongozi aitwae Freeman Mbowe, au chama chake cha CHADEMA. Niseme binafsi yangu, tangu nimsikie Mbowe kuwa kiongozi wa CHADEMA, sikuwahi kumpa nafasi kubwa kwenye viongozi ambao ningesema nawatambua...
  15. Recipient

    JamiiForums Tanzania Tozo ya miamala, Ugaidi wa Mbowe na Ujio wa Chanjo ya Corona

    Wanabodi, Kama watanzania tunapitia katika changamoto nyingi lakini kubwa tatu. Wakati bado serikali halijapatia ufumbuzi malalamiko kuhusu Tozo ya Miamala ambayo bado imekuwa kero kwa wananchi, likaibuka suala la kukamatwa Mbowe anayetuhumiwa kwa makosa ya kupanga ugaidi. Wakati hili la...
  16. onjwayo

    JamiiForums Tanzania Tunatamani ugaidi au tunatengeneza propaganda? Kwa faida ya nani?

    Kitendo cha kumkamata Mbowe na kumtuhumu kuwa ni gaidi tunajaribu kutengeneza dhana mbaya sana mioyoni mwa watanzania masikini wapenda amani. Tanzania miaka yote haijawahi kufikia hatua hii Wala kuwa na kikundi cha watu wenye kuwaza kuwa magaidi. Sana sana tulichoshuhudia ni utekaji...
  17. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Dai la katiba mpya linaweza kuwa ni ugaidi kwa maana hii

    Nimewaza mengi. Nikagundua kwamba kudai katiba mpya italeta hofu ya kupokwa madaraka miongoni mwa viongozi walioko madarakani , hofu hupelekea presha (hypertension) na visukari (diabetes) kupanda, na hatimaye kifo. Hivo basi kudai katiba mpya kunako fanywa na wanaharakati na vyama pinzani ni...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je! Kesho Mbowe kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za UGAIDI kuhadaa Dunia?

    Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta yupo kwenye Nyumba ya wasiojulikana ili kesho afikishwe mahakamani kwa tuhuma za ugaidi Mama SASHA...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali amtaka Freeman Mbowe kutoogopa yanayomkabili

    Huu hapa ndio ujumbe wenyewe
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Askofu Bagonza: Tuhuma za Ugaidi ni silaha ya mtawala dhidi ya mtawaliwa

    Askofu Benson Lwakalinda Bagonza (PhD) Ameandika KABLA YA KATIBA MPYA... 1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi. 2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi aliyekuwa nje ya gereza kwa kulipa faini. 3. Kabla ya...
Back
Top Bottom