Dunia ya Mungu ina mengi. Ndiyo maana waungwana walisema ukiyastaajabu ya Mussa jiandae kuyaona ya Firauni.
Inasemekana Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa mtoto wa ubatizo kwa hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyempa jina Freeman, akimhusisha na siku aliyobatizwa:
Kwamba pia Makongoro Nyerere...
Ukiacha kelele zinazopigwa kwa nguvu Sana hapa nchini Tanzania za kutakiwa, Freeman Mbowe aachiwe huru, kutokana na makosa yanayoonekana wazi kuwa Jeshi la Polisi nchini limeamua "kubambika" ya ugaidi, lakini vyombo mbalimbali vya dunia navyo vimeungana na wapigania haki wa hapa nchini, kama...
Naona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho walihusishwa waislam na Sasa kuonyesha kubalance story Basi mbowe naye atapelekwa Magereza kwa Ugaidi...
Ugaidi kwa maana nyepesi ni kitendo kinacholenga kusababisha hofu kwa raia, serikali au jamii ya kimataifa na vyombo vyake.
Sheria yakudhibiti na kupambana na ugaidi Tanzania imetoa maana pana ya ugaidi katika kifungu cha nne.
Kosa la ugaidi linajumuisha watendaji, wasaidizi na wadhamini...
Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake.
Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi?
Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza...
Najiuliza tu polisi wa Tanzania wameutangazia ulimwengu kwamba Tanzania kuna ugaidi na magaidi Tanzania.
Sasa najiuliza Rais alikuwa anaita wawekezaji juzi hapa waje kuwekeza Tanzania?
Je mwekezaji gani ataleta mitaji kwenye nchi ambayo ina hatari ki kiusalama?
Hivi tuna mfumo wa ulinzi...
Nchi zetu za Afrika nani katuroga sisi? Hivi tunaweza je kufika huku?
Barikiwa sana Mh. Tundu Antiphas Lissu. Mshangao wako ndiyo ulio mshangao wetu na pia kwa kila mpenda haki.
Barikiwa sana beberu, kwa maana makwetu kusikokuwa na mihimili ya uongozi iliyo huru, utamu wa madaraka...
Hizi ni kesi zisizokwepeka kwa Wapinzani Tanzania
1. Ugaidi
2. Uhujumu Uchumi
3. Uhaini
Ukikoswakoswa na hizo basi utakutana na namba nne
4. Sio Raia wa Nchi.
Safari bado ndefu.
Naliomba jeshi la polisi likamilishe uchunguzi wa nani alimpa Mangula Sumu na ni nani aliemshambulia Lisu kwa risasi ili wote wajumuishe kwenye mashtaka ya kuua viongozi na ugaidi kama mnavotaka kufanya Kwa Mbowe!
Huku mtaani kuna tetesi zinazagaa kuwa Mama umesimamishwa Uongozi wako na Jeshi...
Masheikh wa uamsho waliofanya matendo yenye viashiria vyote vya ugaidi wanaachiwa huru lakini raia mwema ambaye kosa lake ni kutamka tamka “katiba Mpya” anakamatwa na kuuziwa kesi ya Masheikh wa Uamsho. Ugaidi wa Mbowe ni mkubwa kiasi gani ukilinganisha na Masheikh walioachiwa huru.
Mtu...
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
====
UPDATES;
=====...
Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetoa ripoti inayoangazia madhara ya mapigano katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria, likikadiria kuwa athari za mgogoro huo ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya athari yaliyotolewa awali.
Awali, Shirika hilo lilikadiria kuwa takriban watu...
Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la Kaskazini la Cabo Delgado.
Hatua ya SADC inakuja baada ya vifo vya zaidi ya watu 3,000 huku wengine...
Asema Meya Mstaafu,Bonifasi Jacob....Leo ni Siku yenye Furaha sana Kwangu*Huku Dar polisi Oysterbay wamenifutia Tuhuma za Ugaidi na Kupanga Vurugu baada ya Uchaguzi Mwaka Jana,Na Leo wamenikabidhi Simu zangu zote Baada ya Uchunguzi wa Miezi 6
Weekend tamu hii. Huku kicheko kule vilio
Wasalaam,
Naomba kujua tofauti Kati Ugaidi na Uajsusi,hasa kwenye vitendo.
Kwa mfano watu wa nchi moja wakie da nchi nyingine na kumuua mtu Fulani wa nchi nyingine,nchini kwake
ama akiwa nchi nyingine ambaee kimsingi hao wauaji wamemuona kua mtu huyo kweli Ni hatari kwa maslahi au Usalama wa...
Habari zenu humu ndani
naomba kuleta mada tujadili kuhusu suala zima la ugaidi
Kwanza tupate maana ya ugaidi ugaidi ni kitendo au vitendo vya mauaji au haribu mali kinachofanywa na kikundi cha watu au mtu kwa lengo la kushikiza jambo fulani au kutaka kitu flan, ugaidi wa mtu dhidi ya mtu ugaidi...
Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu wengi na uharibifu mkubwa, na huenda nusu ya ardhi katika kaunti hiyo inadhibitiwa na kundi hilo...
Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu wengi na uharibifu mkubwa, na huenda nusu ya ardhi katika kaunti hiyo inadhibitiwa na kundi hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.