ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa hoja kwamba Hamza alitekeleza mauaji kwa sababu alidhulumiwa na polisi

    Kuna watu mitandaoni wanadai ya kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu ya kulipa kisasi baada ya kudhulumiwa madini yenye thamani kubwa siku Chache kabla ya tukio... Kwa wafanya biashara ya madini wanajua kwamba mfanya biashara ya madini anapo enda kuuza madini yenye thamani kubwa iwe...
  2. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
  3. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, Bunge mmeliheshimisha Taifa

    Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru wa kujieleza kwa kila raia wake bila tashishwi ili mradi tu, uhuru huo hauingilii, kuvunja kutweza na kufanya dhalili haki ya watu wengine kutumia uhuru wao kama ulivyotolewa na katiba yetu. Ibara hiyo inatanabahisha wazi...
  4. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Haki iliyocheleweshwa inamuumiza Mbowe

    Wapenzi na mashabiki wa soka, wanajua ikitokea timu imeshinda huku timu pinzani ikicheza kwa kasi na kiu ya kubadili matokeo, delaying tactic hutumiwa na timu inayofaidika na matokeo ya wakati huo, na huwa kawaida mwamuzi hutoa adhabu kwa wanaochelewesha mchezo. Ikitokea wachezaji wa timu iliyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe bado inadaiwa haijafikishwa katika mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi ya ugaidi

    Mim si Mwanasheria na sijui sharia na siamini kama sheria inaweza kutenda haki hasa hizi sheria za kigeni tulizorithi kutoka kwa wakoloni. Nilishanga malumbano ya jana mahakamani mimi sikuyaelewa ila nilielewa jambo moja tu kuwa kesi ya mwenyekiti wa taifa Mbowe bado haijapelekwa katika mahakama...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi kesi ya Ugaidi

    Mawakili wa Freeman Mbowe ambaye ni Mwamba wa siasa za Tanzania, anayeshitakiwa na serikali ya Tanzania kwa makosa ya Ugaidi wa thamani ya hela za madafu shilingi laki 6, Wameiwekea pingamizi kesi hiyo kwa madai kwamba Mahakama ya Uhujumu uchumi na Rushwa, ambako kesi hiyo imepelekwa haina uwezo...
  7. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya Mbowe leo imeishaje pale Mahakama Kuu

    Nimefungua thread nyingi za wana CHADEMA na tangu asubuhi zilikuwa ni taarifa za kuwepo kesi hii. Baada ya hapo nikatarajia thread nyingi kuhusu mahakama ilichosema. Sijaona chochote badala yake kuna taarifa nyingi za vituko na matukio ya yaliyotokea mahakamani. Mara wamekuja mabalozi tele...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kinachochunguzwa ktk ugaidi wa juzi?

    Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa: 1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule? 2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi? 3. Ni je kuchunguza uwezekano wa ugaidi ule kutokea tena? 4. Ni je kuchunguza ule ugaidi wa mchana...
  10. Duplicate_90

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi wanalichukulia poa sana Neno ugaidi.. kwa akili yao finyu hawajui km wanaichafua nchi!

    Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
  11. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mauaji Dar, ni Ujambazi, Kisasi au Ugaidi? Tujifunze kitu

    Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
  12. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania Kweli aombae hupewa: viongozi wameomba ugaidi, wameupata!

    Bandugu, Wahenga walisema, "Aombae hupewa". Juzi tu viongozi wetu wa juu kabisa waliiombea Tanzania ugaidi kwa kusingizia wapinzani wao wa kisiasa kuwa ni magaidi. Na kuwakamata na kuwasweka jela. Na kweli maneno yana nguvu ya kuumba. Uongo na ufedhuli wao umemuumba gaidi wa kweli. Bahati nzuri...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news? Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic. ======== Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Shoo: Mbowe alikuwa mbunge wangu na nimekuwa naye karibu sijawahi kuona tabia ya ugaidi kwake, nitashangaa sana!

    Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lusubilo Mwakabibi pamoja na kushitakiwa kwa uhujumu uchumi lakini ameachiwa kwa dhamana?

    Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania, kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana. Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Tuache kabisa kuchezea sheria za nchi kukomoana. Ugaidi si jambo dogo

    Wasalaam wanajukwaa, Naweza kudiriki kusema kwamba kuna mahali kama taifa tumeshiba sana tuna la amani na ulivyo na amani tuliyonayo ndiyo maana kikundi kidogo cha watu wachache wasiofikiria mbali hakioni aibu kumbambikia kiongozi mkubwa kesi mbaya ya ugaidi ilimradi tu akose dhamana akae...
  17. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Maoni ya Wakili Peter Madeleka baada ya "commital proceeding" ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake

  18. MWALLA

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

    Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali. UPDATE: Mashtaka Mwenyekiti wa...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Salamu za Rambirambi za Freeman Mbowe kutoka Gerezani zasomwa Kwenye msiba wa Mkwe wake, waombolezaji wabubujikwa na machozi

    Freeman Mbowe aliyeko gerezani kwa tuhuma za uongo amepoteza Mama Mkwe ambaye ni mke wa Mzee Edwin Mtei, hata hivyo hakukata tamaa, amefanikiwa kutuma salamu zake za rambirambi kupitia kwa mwakilishi wake ambapo ameonyesha masikitiko yake makubwa sana kwa kuondokewa na MZAA CHEMA katika kipindi...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kesi dhidi ya Mbowe kuanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua za awali Agosti 23, 2021

Back
Top Bottom