ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Ndugu wana JamiiForums, Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi. Karibuni sana. MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa...
  2. M

    Ujenzi Mkubwa unaoendelea Kigamboni(Dege Eco Village), ni mradi wa nani?

    Wana jamvi, Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village". Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili ya Kituruki. Kazi inafanyika usiku na mchana. Wenye ukweli kuhusu mradi huo mtujuze. Karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…