Wana chama wengi wa chadema,
pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa.
Na,
kwa mvurugano wa chini kwa chini...
baraza
chadema
fedha
hali
kuu
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mwenendo
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
taifa
tuhuma
tuhuma za ufisadi
uchangiaji
ufisadi
John Wegese Heche akiwa bado ananuka Ufisadi wa pesa za Tone kwa Tone uliofanywa akiwa makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati, Aquilin Claud ameshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aunde tume ya kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa chama...
baraza
baraza la wazee chadema
chadema
chama
kanda
kanda ya kati
kati
makamu
makamu mwenyekiti
mnyika
mwenyekiti
mwenyekiti wa chama
tume
ufisadi
wazee
Yaani Kuna watu wamekoshwa au wameopendezwa na msimamio au maelezo ya kiongozi fulani wakisiasa, Wakaona ngoja wamwekee mafuta kwenye gari yake na wampe na hela ya kula njiani yeye na wenzake ili na wenzao kutoka sehemu nyingine wapate huo ujumbe je juzitumia hizo fedha ni ufisadi?
Kumbuka...
Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
Kwa sasa naona kila mtu anajichukulia chake mapema before 2030.
Takukuru kama mngekuwa na matokeo chanya kwenye kazi zenu
ningewaamini na kuwapa taarifa juu ya kinachoendelea huko shirika la Nyumba la taifa (NHC).
Kwa sasa limekuwa siyo shirika la nyumba la taifa bali ni ni shirika la nyumba...
Je,
anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili?
Kwa maoni yangu,
licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
baada
chadema
gani
hali
kisaikolojia
kutrend
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mitandaoni
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
sana
taifa
tuhuma
ufisadi
zake
Mnatuhumiwa kwa tuhuma nzito sana za mauaji ya kimbari yaliyofanyika Oktoba 29 na mkakaa madarakani bila ridhaa ya wananchi.
Mnatuhumiwa kuteka na kuua raia wema akiwemo Humphrey Polepole na wengine wengi.
Kuleta hoja kuwa Heche amekula michango ya Chadema ni ushamba na upuuzi wa kisiasa.
ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
Dar es Salaam.
Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania
Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
Huu ndo ukweli mchungu watanzania 90% tuna toka kwenye familia zilizo jaa umaskini wa kupindukia. Ndugu zetu vijijini wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha ndo maana zikitokea chance watu wanazitumia vizuri hakuna tuzo ya Utesekaji bora ...
Tanzania ina changamoto za ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa mali za umma, kama zilivyo nchi nyingi duniani. Hata hivyo, ukubwa na aina ya matatizo hayo hutofautiana kati ya sekta na kipindi husika.
Baadhi ya viashiria na taarifa zinazothibitisha uwepo wa changamoto hizi ni:
Prevention and...
Kama ukiweza kuipata na kuisoma KATIBA YA KENYA utagundua kuwa ni moja ya KATIBA makini zinazojitosheleza kwenye kila nyanja za KITAIFA katika zama hizi.
Tatizo la Afrika Mashariki, hususan Kenya, mara nyingi limekuwa likihusishwa na ufisadi. Wazo la Katiba Mpya lilionekana kama suluhisho la...
Hizi tuhuma zilivuma na kuwachafua sana hawa jamaa wawili wakati wa u-Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2015). Cha ajabu ni kuwa, huwa wamo tu serikalini. Ama kweli wachawi na waganga wao wana nguvu sana basi...!
1. Paul Christian Makonda (jina halisi la kuzaliwa la asili ya ukoo wake ni...
Naona wanaChadema wameanza kukubaliana na mimi juu namna hayati Magufuli alivyokuwa shujaa na mpambanaji kuzuia uzembe na ufisadi.
Kwanza asingeweza kwenda Urusi na na mtoto wake au delegation kubwa namna ile na kuharibu pesa za Watanganyika.
Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him
Huyu ni next to Lisu!
Msikilize
Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati.
Harakati hizo ni zipi?
Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki?
Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
Nakubaliana asilimia na Zitto wa Kigoma kuwa Chademq 8nq wafuasai na wanachama wengi na chama kikubwa cha upinzani.
Sisi wafuasi wa Lissu na Chadema tunajisika vipi kiongozi wetu ambae ana uchungu na taifa lake kuwekwa gerezani kwa kesi ya kisiasa ?
Halafu kuna mpuuzi kama Wenje anahamasisha...
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Anita Annet Among, anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kutoka kwa baadhi ya wabunge kufuatia madai ya ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma.
Baadhi ya Wabunge wameanza mchakato wa kukusanya saini za kumtimua yeye na wajumbe wengine wa Kamisheni ya...
Huu mkeka wa ufisadi umepamba moto miaka ya karibuni bila kuchukuliwa hatua,
TAKUKURU ina fuatilia vidagaa, na ni kwa vile wakubwa wanahusika katika hii grand corruption.
Ujenzi sasa hivi ni sekta inakaribia kubomoka kabisa kutokana na corruption inayowahusu Wachina, Taasisi za ujenzi, hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.