ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ufisadi wa kutisha nchini zinazoibuliwa na Mange Kimambi katika vyombo vyetu vya Usalama zinahitaji ufafanuzi

    Hivi karibuni zimekuwepo tuhuma za ufisadi wa kutisha nchini. Mange kimambi, mwanadada aliyeko marekani kwenye channel yake ya Instagram ameibua tuhuma nzito sana zinazomgusa mtoto wa Rais Abdul, mwanamama mmoja aitwaye Anjela, na Wafanyabiashara wenye asili ya Asia. Mange amezungumzia tuhuma...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kila siku zinavyoenda naona kama RAIS Wa MAWE ni mbeba lawama tu, mizigo yote ilikuwa inaguswa na BIG 3

    Nasamehe janja, ila kupiga ulikuwa unapiga ila sio kivile tulivyokuwa tunaaminishana kitaani. Siamini ulikuwa unagusa hata 1%. Huu ni msimamo wangu mwenyewe sio wa chama. No reforms no election. Unataka team moja tu na odds za kushiba??? Man U mpe goal 3 game uniyofuata, nimeona kapewa Odds...
  3. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha ccm: bilion 100 zimeshaliwa na kwisha

    Wasalaam. Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo. Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena...
  4. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli aliwahi kumfunga Mkurugenzi yoyote kwa ufisadi? Serikali ya Samia yamfunga miaka 22 Mkurugenzi kwa ufisadi

    Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa, Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Kigoma Jela miaka 22 kwa ufisadi

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha. Hukumu hiyo...
  6. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Assad: Ufisadi umeshamiri kwasababu Mafisadi Hawaadhibiwi

    Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo. Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad, amehusisha kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma na aina nyingine za ufisadi...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa waziri mkuu wa Mali Choguel Kokalla ashitakiwa kwa ufisadi

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga ameshitakiwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma, kughushi na kutumia nyaraka za uongo. Maiga aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya mapinduzi ya pili ya kijeshi mwaka 2021, lakini alifutwa kazi baada ya kuikosoa serikali ya kijeshi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Watuhumiwa wa ufisadi na ubadhilifu wa fedha za umma hawachukuliwi hatua badale yake wanapandishwa vyeo na kuteuliwa nafasi kubwa za maamuzi

    Mgombea na nafasi ya Urais ACT wazalendo na alieyekua mwanachama wa CCM, Luhaga Mpina akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam ameeleza kuhusu uwajibikaji wake kwa Taifa kwa kufichua vitendo vya ufisadi na rushwa kuwa kosa la yeye kuenguliwa kugombea Ubunge kupitia CCM...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina adai kuenguliwa kwa baadhi ya Wabunge kura za maoni CCM kunalenga kulea ufisadi

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bundi ameweka kiota CCM: Mpasuko, Visasi, Tamaa ya Madaraka na Ufisadi vinaimong'onyoa

    Rasmi, Haya matukio yanayojiri ndani cha CCM ni kiashirio dhahiri kuwa jambo kubwa linaenda kutokea kwa manufaa ya Nchi. Jakaya aliwahi kusema kuwa makundi ndani ya CCM ni afya. Lakini ukweli unadhihiri kuwa makundi yaliyopo ndani ya CCM yameendelea kuwa kitanzi dhidi ya lichama hilo. Kwa mfano...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mama katika vitu alivyofanikiwa ni mawaziri wake na wakurugenzi wa mashirika ya serikali kuwa mabilionea

    Mama katika vitu alivyofanikiwa ni mawaziri wake na wakurugenzi wa mashirika ya serikali kuwa mabilionea. Siku hizi mawaziri ambao sio manilionea wanachekwa . Wakina Mwigulu wanashindana na wachina kununua nyumba masaki. Tenda kubwa kama za reli siku hizi hakuna ushindani wa tender Mama...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kutakatisha fedha inakuja, ila ipo siku ufisadi wao na matumizi mabaya ya madaraka vitawekwa wazi

    Sina maneno mengi, ila niseme waacheni waendelee na maagizo yao ila wajue ipo siku kila kitu kitawekwa wazi. Pia, baadhi yao wanaweza kuja kufungwa baada ya uchunguzi kufanyika kama sio kulazimika kuomba radhi umma wa watanzania. Tuombe uzima tu kuja kuyashuhufia haya ambayo huko mbeleni...
  13. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli Tumefika Mwisho wa Mapambano ya Ufisadi na Utawala Mbovu?

    Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi wagombea wa nafasi za juu katika siasa za leo wanavyonyamazishwa au kwa Maksudi kabida kutoonyesha msimamo dhahiri kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi na utawala mbovu. Hoja hii muhimu inapuuzwa, hakuna Mgombea yoyote mwenye kuonyesha hatua atakazo fanya...
  14. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha ngumu ni kwamba: MFUMO UMEKUWA MALAYA WA UFISADI KUPINDUKIA NA KUKOSA CHEMBE YA HAKI

    Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana. MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE. BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mh Polepole yupo Sahihi, Bararabara ya Mwanza -Musoma , tangu 2021 inajengwa na Kufumuliwa ! TANROAD Kwa Ufisadi imekithiri ! Serikali imelala

    Wakuu mnaweza dhania ni maajabu au ndoto ila huo ndio Ukweli. Labda nianze Kwa kuwaliza, Huko kwenu, Bararabara za kwenu zinaweza Kukaa miaka mingapi bila Kufumuliwa na kujengwa Upya?. Sasa hao ndio CCM, na hiyo ndio Serikali ya Awamu ya Tano ya Samia alowaambia watu wale Kwa urefu wa kamba...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ule ufisadi wa Richmomd,Escrow, EPA hakutakuwa na kuibua tena, mambo ni chini kwa chini

    Nchi ya Tanzania kwa sasa haina bunge, wala mahakama, Bali tuna Rais ambaye ndio Mungu wa Tanzania na Ikulu yake pendwa. Ufisadi uliofanywa kipindi cha pili cha awamu ya tano inawezekana na Mkubwa kuliko fisadi zote zilizowahi kuibuliwa na CCM wenyewe au Chadema hususani Wabunge. Mpina...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mtanzania wa hali ya chini jihoji. Kama Polepole ameacha mshahara mnono kwa sababu ya CCM iliyojaa ufisadi. Wewe unafaidika na nini?

    Unafaidika na kanga? Baiskeli na Tisheti? CCM imekosa muelekeo. Tumuunge mkono shujaa wa Tanganyika Tundu Lissu Antipass tupate mabadiliko ambayo yataleta ustawi wa taifa letu
  18. M

    JamiiForums Tanzania Dalilinya ufisadi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya: vituo vya mabasi ni vikubwa/virefu mno na viko karibukaribu

    Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania fisadi wa pesa na mali za umma anaishi kwa amani zaidi ya mtu anayekosoa viongozi

    Fisadi anaweza kulala muda wowote anaoutaka, anaweza kulala mahali popote, anaweza kutembea hadharani muda wowote bila bughuza. Ila wazee wa NO REFORMS NO ELECTION lazima watembee kwa machale makali.
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Zambia: Naibu Mkuu wa Polisi wa zamani, Charity Katanga ahukumiwa miaka mitatu jela kwa makosa ya ufisadi

    Imetokea Zambia kama ilivyoripotiwa na gazeti la Kalemba. Naibu Mkuu wa Polisi wa zamani, Charity Katanga, anatarajiwa kuanza kutumikia kifungo cha miaka mitatu leo kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu ya Lusaka – Kitengo cha Uhalifu wa Kiuchumi na Kifedha – wa kuidhinisha hukumu na adhabu aliyopewa...
Back
Top Bottom