ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aomba kuhairishwa kwa kesi yake ya ufisadi.

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameomba kuahirisha kutoa ushahidi katika kesi yake ya ufisadi ya muda mrefu ambayo ilipangwa kuendelea wiki ijayo, akitoa sababu ya hali ya usalama inayoendelea katika eneo hilo, wakili wa Netanyahu alisema katika kesi iliyowasilishwa mahakamani Ijumaa. Kesi ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ripoti ya CAG: Watekelezaji wanapata madaraka kwa wizi, leo eti tuwaamini kutekeleza

    Mama Samia anaona kama anapotezewa muda tu kwasababu anachofikiria ni makusanyo ya pesa ili wapige deal na marafiki na ndugu zake! Mfano deal ya Kia na miradi mingi. Hakuna hata nia ya kupambana na rushwa. Wizi wa kura, utekaji, uzuiaji wa wapinzani yote haya yanaonyesha hatuna wazalendo...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Patrice Motsepe kupigwa chini CAF kwa sababu ya kujihusisha na ufisadi

    Ni suala la muda tu. Rais wa CAF bilionea Patrice Motsepe yupo kikaangoni baada ya kuhusishwa na ufisadi wa kutisha ndani ya CAF. Wafuatiliaji wa kiintelejensia waliotega mitambo yao ndani ya shirikisho hilo wamegundua ufisadi wa kutisha unaomhusisha Motsepe moja kwa moja, akishirikiana na ofisa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Roman Catholic inajitahidi kwenye nidhamu ya fedha na usimamizi wa miradi. Kwingine kuanzia BAKWATA, Wasabato, KKKT, walokole, n.k. kunanuka ufisadi

    Imekuwa kawaida sana kusikia migogoro, ubadhilifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya taasisi za kidini. Lakini ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema hadharani ni kwamba baadhi ya taasisi hizi zimegeuka kuwa vijiwe vya kunufaisha wachache chini ya mwavuli wa imani. Kwa upande wa...
  5. kanjuki

    JamiiForums Tanzania Kwenye hii michango ya shule za umma kuna harusi ya ufisadi

    Habari ndugu watanzania wenzangu, sera ya elimu kwa sasa katika shule za umma ni elimu bure yani wewe mzazi jukumu lako mzazi ni kumuandaa mtoto na kuhakikisha mtoto anafika shule, lakini katika uhalisia ulivyo kwa uchunguzi wangu unakuta michango ambayo unatoa ili mtoto apokelewe shule ukipiga...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote

    Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote . Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
  7. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ulinzi wa Dola uliotumika Desemba 9, 2025 kwanini usitumike katika kulinda Rasilimali za Nchi na ufisadi usitokee?

    Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo. Kwanini ulinzi wa kuilinda Dola, usitumike kulinda Rasilimali za Nchi na kuzuia ufisadi na mafisadi. Nafikiri Kuna haja...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwamba TEC wanamchukia sababu ni Mzanzibari na muislamu? Wamuache amalizie muda wake! Huku ufisadi na Nepotism ikifanyika

    Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki. Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize. Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukweli wasioutaka Mafisadi: TEC hawajaoverride madhehebu mengine bali Wanapinga uonevu na ufisadi

    Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi. TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu. Mfano Dp World kupewa usimamizi wa Bandari bila sababu ili kutengeneza mianya ya upigaji na kuwanufaisha warabu. Utekaji usio na...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwashinga nguvu CHADEMA kwa wanancho sababu alidhibiti ufisadi na kusimamia rasilimali za umma

    Ikumbukwe kuwa CHADEMA walishawahi kuwabana CCM juu ya kashifa nyingi za ufisadi kiasi kwamba watu wakaichukia CCM. CCM iliyokuwa chini ya Kikwete ilichukiwa kama mavi. Magufuli alipoingia madarakani akapambana na ufisadi. Akasimamia vyema rasilimali za umma wananchi wakampenda. Akaleta...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kesho Bila kukiri kuwa Watanzania wanachukizwa na ufisadi, upendeleo wa familia yake na Kitwete Rais Samia atuwa na wakati mgumu

    Nimepata taarifa mahala kuwa kesho atahutubia taifa akiwa anazungumza na wazee wa Dar es salaam. Kesho akiri hadharani kuwa ufisadi na upendeleo wa familia za makada wa CCM wanaojulikana ni tatizo kwa taifa letu. Hakuna mzizi wa tatizo utatatuliwa. Watu wana hasira sana. Wamejaa na hasira...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Matamko ya PM siku ya leo hii ni ushindi tosha kwa Gen-Z kwa D9 kutoka na kudai Tanganyika yao

    Naona Mwangaza na Asubuhi Njema kwa Taifa Letu siku ya TAREHE 09 DECEMBER 2025, Uhuru wa Tanganyika ukizaliwa upya vijana wa Kitanganyika wakiona nchi yao ikiwa Haina utekaji na Miili ya Wapendwa wao wakipewa waende wakawazike kwa heshima na Lissu akiachiwa huru na Uchaguzi ukirudiwa ukiwa huru...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa nini raisa Samia hakubali ukweli kuwa ufisadi na upendeleo wa familia yake na Kikwete ni tatizo kubwa?

    Kuna familia tatu hapa nchini zimegeuza hili taifa kuwa la kisultani. Hili suala linawakera na kuwaudhi watanzania. Hizo familia zinajulikana. Maandamano ya Oktoba 29 watu wengi wamepoteza mali sababu tu zilihisiwa kuwa mali za Ridhiwani Kikwete. Au wataoto wa hayati Mwinyi au Familia ya rais...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mmeua, mmeteka, Ufisadi, wizi, unyonyaji, MME dhurumu haki za watu kuishi. Kwa hiyo vijana waopinga aya ndo Mnataka tuwaone Wabaya?

    Serious mnataka hawa vijana ndo tuwaone wabaya wanaopinga haya mambo wizi, Ufisadi, Utekaji, mauaji, rushwa uduma mbovu kwenye office za Umma ubakaji demokrasia. Vijana waopambana kupinga haya ndo Mnataka tuwaone ndo wabaya?
  15. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kampuni ya Magmop ya Angela Kiziga imeingiza magari ya $ Milioni 19 ikiwemo Ferrari na Bugati ndani ya mwaka 1

    Naona hata nikongeza maneno yangu nitaharibu Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Sasa ni hivi ingieni kwenye page ya Hilda Newtown. Lazma utype jina la account yake zima kwenye search ndo account inakuja. Angalieni hiyo number ya simu ya Angela Kizigha. Sasa fanya kama...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ufisadi, upendeleo wa familia za wanaCCM na utekaji umeliharibu taifa ambalo hapo awali lilikuwa la amani

    Watanzania wamefumbuliwa macho. Keki ya taifa inaliwa na falimia kama kumi ambazo inasadikika Kikwete ndio kiongozi wao. Utekaji umeacha manug'uniko na doa kubwa. Mauaji ya juzi yatasababisha nchi isitawalike. Mapambano yanaendelea. Nchi inatakiwa kukombolewa
  17. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Sababu hasa ya maandamano ya "mwaka huu" ni maisha magumu na ufisadi

    Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa kawaida wakiishi maisha magumu. Waliona anasa hizo kama ishara ya ufisadi. Zamani wanepali wengi...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawataki kukubali kuwa upendeleo wa familia zao na ufisadi umesababisha vurugu?

    Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa. Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa. Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka. Ufisadi, kujipendelea, wizi wa mali za umma, kudharau wananchi na kuwaona wajinga ni balaa kwa taifa
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tumekataa kitu tunacho kiita kutunuku ufisadi tunataka vijana jeuri wenye nguvu na mashujaa tuikomboe nchi yetu tutakinikusha

    Tumekataa kitu tunacho kiita kutunuku ufisadi tunataka vijana jeuri wenye nguvu na mashujaa tuikomboe nchi yetu tutakinikusha. tunataka nchi yetu
  20. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Zama za Uonevu na ufisadi zimefika mwisho

    CCM lazima iwajibike ipasavyo! Wale wote waliotumia madaraka vibaya, waliokwapua mali ya umma au kuvunja haki za wananchi, watakabiliwa na sheria. Hakuna aliye juu ya sheria — kila mtu atajibu kwa matendo yake.” Kesi zitakazochunguzwa ni pamoja na: Kesi za ufisadi na matumizi mabaya ya fedha...
Back
Top Bottom