Ufahamu: A Journal of African Studies is a graduate-student run, peer-reviewed academic journal published at the University of California, Los Angeles (UCLA). It was established by the UCLA African Activist Association in 1970 and named after the Swahili word for comprehension, understanding, or being. The journal is published three times a year and is available from the University of California's eScholarship website. It is "the longest running ... graduate student journal in the United States."Ufahamu is published in English, with occasional poetry or articles in African and European languages. It is indexed in the MLA International Bibliography, Africa-Wide Information, and Historical Abstracts.
Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
Katika kukumbushana hapo kabla nilisema haya.....
https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/
Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza; tunafuja mali ili kwa macho tuonekane tupo vizuri kuliko uhalisia....
Wakati hatuna ambulance za...
Katika maisha ya sasa yenye kelele nyingi, teknolojia kila mahali, shughuli zisizoisha, majukumu, watu, uraibu wa vileo na addictions ni rahisi kupotea ndani ya harakati bila kujitambua.
Kila mwezi, jitahidi kutenga siku moja hata kwa masaa 12 ya kuwa peke yako.
Nenda unakojua bila simu, bila...
Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha tangu 2 Machi 2025.
It seems kwamba Diva alienda hospitali baada ya bima kuisha na alipokosa...
Wengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo.
1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi, wahindi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM. Kweli mhindi...
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona
Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
afya ya akili
akili
binadamu
ccm
chadema
characters
elimu
facts
jamii forums
jitambue
marco seth
mental
mijadala
mind
new posts
no reform no election
psychology
samiah
tabia
tanzania
trending
ufahamu
ukichaa
Unatafuta mfumo bora wa kidigitali wa kusimamia shule yako?
AcademiazSoft ni jibu sahihi kwa shule za kisasa zinazotaka uwazi, ufanisi na taarifa sahihi kwa wakati.
Tunatoa:
✅ Usimamizi wa wanafunzi (registration, attendance, discipline)
✅ Taarifa za kitaaluma – Matokeo, Report Cards...
Tofauti kati ya Hekima, ufahamu na maarifa, ni ipi?
1. Naomba kujua tofauti Kati ya Hekima , Ufahamu na Maarifa.
2. Jinsi gani vitu hivyo vinavyohusiana?
Katika kitabu cha Mithali 2:6 “Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu”;
Lakini pia Mambo ya Nyakati...
JE, UKWELI NI NINI?
—Mtakatifu Augustine (au labda mtu mwingine kabisa…)
Vipi kama simba huyo amefungwa?
Vipi kama ukweli wa kweli, ule usiohudumia taasisi, dini, au mifumo ya mamlaka, umefukiwa makusudi chini ya maelfu ya nusu-ukweli uliopambwa?
Vipi kama ukweli haujawahi kuwa juu ya...
Kuna watu wanajua X na Y zipo kwenye elimu tu kumbe tunazo kwenye maisha tunazitumia kila siku mfano kujua upana wa chochote kwa nini unatumia kujua urefu na upana.
Ushawahi kuulizwa graph yako imeshuka kazini au uchumi unakwendaje basi utakuta X na Y.
kama unabisha muulize dalali wa nyumba
Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako unaenda pale tunapo lala, kama usingizi ni kupumzika mbona akili yako hutengeneza sehemu,mazungumzo...
Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana
Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020.
Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi tuliwachagua au walipitishwa tu na Ccm?.
Kwa kutumia Dola.?
Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA.
Anaulizwa atoe tafsiri ya neno
"No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara...
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "tundu lissu hatoki" mnatoa tu maneno yenu bure unajua nimeshangaa sana na wanauwezo mdogo sana wa ufahamu inasikitisha.
Nimesikitishwa kwa hilo kwasababu yoyote anayeshabikia mtu asiye na hatia na kumsingizia mambo ya uongo huku yeye ndio mbaya muuwaji...
Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu.
Katika mafundisho ya dini na mila nyingi:
Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni viwango vya uumbaji na uhai wa kiroho.
Mbingu ya saba ni ya juu zaidi, iliyojaa mwanga, hekima, na...
Naweza kujua majukumu ya mkuu wa shirika kwenye jimbo? Mfano mkuu wa shirika la Waagustino ndani ya jimbo B. Na mahusiano au muingiliano wake na askofu wa jimbo hilo B.
Mkuu wa Shirika anawajibika vipi kwa askofu?
Anaamka mtu na pombe zake kichwani na kutamka eti, tuna Rais katili sana, nacheeka sana, wanasahau ya kwamba, hata mikutano yao ilizuiliwa, wengine walipasuliwa mifupa, wengine walikimbia nchi mazima, wengine waliwekwa kwenye viroba, kweli shukurani ya punda ni mateke, eti wanasahau kabisa, ya...
Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽,
Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
Kichwa: Piramidi ya Kuwezeshwa: Safari ya Binadamu Kupitia Ngazi za Ufunuo wa Dhamira
---
Wazo la Siri Kuhusu Binadamu:
Muundo huu wa kifalsafa unaonyesha ukweli wa kale kuhusu uwepo wa binadamu na ukuaji wa kiroho. Piramidi inaonesha mfumo wa tabaka — wa kijamii na wa ndani ya nafsi. Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.