Chakushangaza:
#CHAKUSHANGAZA
📣📣📣📣📣📣📣
🗣️Wengi ukiwauliza uchawi ni nini watakuwa na tafsiri tofauti tofauti lakini hauna maana moja ya kuuelezea,
🫵uchawi umebeba maana nzima ya kuumbwa binadamu na ulimwengu kwa ujumla na ndio lango kuu linalotumika kuwaunganisha binadamu,mungu,majini,na hata...