A
Anonymous
Guest
Chuo cha ujenzi- ICoT chini ya wizazra ya ujenzi mkoani morogoro kinachotoa coz ya udereva kimekuwa kikiendesha coz hiyo kwa utapeli na kinyume na utaratibu.
Wapo wanafunzi wa mwez wa 11, 12 , 2025 na mwez wa 1, 2026 ambao wengine wamekamilisha masomo( week 5) bila kufanyiwa mitihni na ivyo kukosa vyeti na leseni, na wengn awajapata mafunzo kabisa ikiwa tayr wanalipia ada ya mafunzo.
Uongozi wa chuo umeshindwa kutoa suluhu ya changamoto hii kwa kipindi chote ichi, wazazi, walezi na wanafunzi wanaomba msaada wa ngazi za juu (mkoa/kitaifa) ili haki ya vijana hawa ipatikn na waendelee kujenga taifa kwa udereva.