udereva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Madereva 15 wafungiwa leseni za udereva Tanga

    Katika kudhibiti ajali za barabara Jeshi la polisi mkoa wa Tanga limewafungia leseni za udereva madereva 15 Kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi wakati akiongea na waandishi wa habari ambapo alisema kuwa jumla ya...
  2. little master

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kozi fupi ya udereva wa treni Chuo cha Reli (TIRTEC)

    Tangazo la nafasi ya kozi fupi ya udereva wa treni chuo cha reli (TANZANIA INSTITUTE OF RAIL TECHNOLOGY -TIRTEC). Nimeambatanisha tangazo husika.
  3. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa mabus au roli semi tella

    Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote kwa malipo yoyote sina tamaa Gari ambazo nazimudu pamoja na scania,schman, howo,faw, na zingine...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Vyeti vya Mafunzo ya Udereva kwa Viongozi wa CCM Zaidi ya 150

    MBUNGE RUHORO AKABIDHI VYETI VYA MAFUNZO YA UDEREVA KWA VIONGOZI WA CCM ZAIDI YA 150 Ngara; 2/12/2024 Kufuatia kukamirika kwa mafunzo ya Udereva yaliyo tolewa na Chuo cha Lake Zone Driving College kwa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi za Kata Wilayani Ngara Chini ya Uratibu wa CCM mkoa...
  5. airwing

    JamiiForums Tanzania Zipi ni taratibu na gharama za kurenew leseni ya udereva iliyopotea

    Habari wanajamvi. Nilikuwa nauliza utaratibu ukoje pamoja na gharama za Kulipia, Viambatana vya kuambatanisha, Ikiwa Una leseni ya udereva ambayo ukomo wake ni 2027 na imepotea.
  6. suck Kweyamba anatory

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya Udereva, nipo Dar es Salaam

    NAPATIKANA DAR es salaam , gongo la mboto. Kazi ya uendeshaji magari pia pikipiki nipo tayari. Asante
  7. Wakili

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwa wenye leseni za udereva

    Habari waungwana, Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D, Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata leseni Class C, sasa nilikua nimepata fununu kua vyuo vya veta vya serikali havitoi Class C mpaka NIT...
  8. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya udereva popote

    Habari nina kijana (wa kiume) anatafuta kazi ya udereva, Kumuendesha mtu, Kiongozi, Gari la shule, taasisi, kampuni n.k Kwa aliye na nafasi ya kazi please!
  9. cold water

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Udereva.

    Kwema ndgu zangu... Hii thread ya leo naomba kujuzwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya udereva hasa evening classes maana nna kibarua kinachoniweka mjini hivyo jioni ndio nina muda. Na pia jinsi ya kupata leseni ya udereva, dili nyingi zinanipita kwa kukosa leseni ya udereva. Natanguliza shukran...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kazi ya udereva bodaboda

    Habari wakuu, Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo ni mzoefu na natarajia nitakata mwezi ujao
  12. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Online driving license

    Story of change yangu ni; "Nashauri serikali ifikirie kuwa na utaratibu wa kuwa na online system ambayo Traffic anaweza kuona leseni ya dereva, hata dereva mwenyewe awe anaweza kuona leseni yake katika huo mfumo na hata akihitaji kurenew lesen yake online apate uwezo wa kufanya hvo kwa...
  13. Ibrahim hamadi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  14. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Magari ya Wanafunzi (SCHOOL BUS) yamekuwa na udereva mbovu na uvunjaji wa Sheria

    Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red. Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
  15. mercphason

    JamiiForums Tanzania Kwenye Usaili wa Udereva wa Serikali mambo hani huzingatiwa?

    Wakuu, naomba kujuzwa kwa anaejua usaili wa dereva wa serikali uwa mambi gani muhimu yanaulizwa na kuzingatiwa. Asante.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi na IHET waja na mifumo kudhibiti shule za udereva zisizokuwa na sifa nchini

    Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School Registration System ambao Utazitambua shule ambazo...
  17. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujifunza udereva na kupata cheti pamoja na leseni kwa ujumla

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya mafunzo ya kuendesha Magari japo haya mdogo kwanza lakini muhimu nijipatie cheti... Ningeomba kujua pia...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Dar, Likizo Msijiendeshe kwenda Mikoani mkidhani mumeiva kwa Udereva chondechonde!

    Salaam Wakuu, Naomba nikushauri wewe Dereva unaye endesha Gari Dar Es Salaam, Usije ukahisi umeiva kwa Udereva ukataka ujiendeshe kwenda Mkoani kula Sikukuu. Ni kweli Mungu amejalia umepata hilo Gari, lakini angalia lisigeuke Kaburi lako. Kwa barabara za Mikoani wewe ni Learner tu ukatae...
  19. Mr passion

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari, Mimi ni kijana umri miaka 27 mkazi wa Dar es Salaam, natafuta ajira ya udereva wa class A2,D Kwa magari madogo ya biashara ama binafsi. Tupeane ajira ndugu zangu kuukimbia umaskini.
  20. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya kutoa leseni za udereva angalieni watu mnaowapa hizo leseni

    Unakuta mtu yupo yupo tu lakini basics za barabarani hajui hata kidogo. Mtu ameblock barabara na wala haoni shida. Mtu amekukuta umepaki sehemu anakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka umuite! Mbaya zaidi wakati anapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock. Inaudhi sana.
Back
Top Bottom