uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole kufuatia mauaji Daraja la Salender, ataka uchunguzi ufanyike

    Salamu zake ni hizi: Natoa pole kwa Jeshi la Polisi na familia za Askari 3, na Askari 1 wa kampuni ya ulinzi ya SGA waliopoteza maisha baada ya mtu aliyekuwa na silaha kuwashambulia katika eneo la Salenda, Dar es Salaam. Mtu huyo amedhibitiwa na hali ni shwari. Nawaagiza Polisi kuchunguza kwa...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuchunguzwa kansa na magonjwa ya figo?

    Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini na Koo na pia nifanye kipimo Cha magonjwa ya Figo. Je, hiyo check-up ya mwili hufanywa kwa vipimo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, iko wapi taarifa ya Uchunguzi wa OCD wa Hai aliyesema Mbowe hatashinda Uchaguzi?

    Inasemekana kwamba aliyekuwa OCD wa Hai kipindi cha Uchaguzi ndiye amekuwa RPC wa Kinondoni na ndiye aliyemwambia Mbowe juzi walipomkamata kwa kumdhalilisha kwamba safari hii hachomoi watampiga na kesi ya Ugaidi. Kama hili ni kweli kamanda Sirro unawezaje kutuaminisha kwamba Jeshi la Polisi...
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania Siku saba za uchunguzi wa moto sokoni Kariakoo zinaanza kuhesabiwa lini?

  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kabla hamjamshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kamilisheni uchunguzi wa sumu aliyopewa Mangula

    Naliomba jeshi la polisi likamilishe uchunguzi wa nani alimpa Mangula Sumu na ni nani aliemshambulia Lisu kwa risasi ili wote wajumuishe kwenye mashtaka ya kuua viongozi na ugaidi kama mnavotaka kufanya Kwa Mbowe! Huku mtaani kuna tetesi zinazagaa kuwa Mama umesimamishwa Uongozi wako na Jeshi...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa uhalifu kuendelea mwaka mzima ni kula tu pesa za watu, utaratibu huu usitishwe

    Kuna mambo ambayo mahakama/polisi inabidi mubadilike Kuna dogo alimchoma mwenzie kisu akakaa mwaka ndani wakidai uchunguzi unaendelea. Hay mambo yanakatisha tamaa sana mahakamani, mfano mauaji ya kijana Goba. Huyu dada usishangae mwaka mzima aje hukumiwa huku ndugu wakidanganywa toa hiki toa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Polisi Tanzania hawana weledi wa kufanya Uchunguzi wa eneo la tukio la uhalifu (Crime Scene)

    Nikiri kwamba andiko hili limepata nguvu kutokana na mauaji yaliyofanyika katika Bar ya Lemax, Sinza, kama yalivyoletwa na Tusker Bariiiidi. Kupitia taarifa ya ITV, ukichunguza kwa umakini utagundua kuna mhanga wa hili tukio, mwili wake umelala kwenye kiti, ingawa polisi wapo wakirandaranda kila...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata. Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchunguzi wa pesa zilizotolewa BoT kupokelewa Juni 30, 2021

    Hii ni moja ya habari katika magazeti ya leo na pia iko mitandaoni, hivyo wacha tusubiri hiyo kesho kusikia kilichomo katika hiyo ripoti. Swali ni je, ripoti hiyo itajibu maswali watu waliyonayo au ndio itaongeza maswali na pengine kukatisha watu tamaa? Kuna mtu ukimuona amehudhuria...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi huru: Ifikapo 2060 Asilimia 60 watu Watakuwa Wachawi, 90% Watakuwa Washirikina

    IFIKAPO 2060; ASILIMIA 60 WATAKUWA WACHAWI, 90% WATAKUWA WASHIRIKINA TZ Na, Robert Heriel Hobby yangu ni udadisi, uchunguzi, utafiti na mambo yote yahusuyo upelelezi. Kwa namna hiyo kwangu kujua mambo mbalimbali ni ishu ya kawaida Sana. Hobby yangu hiyo Inategemea zaidi Kusoma vitabu...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: RC aagiza uchunguzi dhidi ya upotevu wa Tsh. Milioni 353

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel Luhumbi ameagiza uchunguzi dhidi ya upotevu wa Tsh. Milioni 353.2 zilizotekwa kwa ajili ya maendeleo ya Wilaya ya Sengerema lakini hazikutumika. RC amesema fedha hizo hazikufuata sheria za fedha za umma na hivyo zinaonekana ni sawa na wizi tu. Fedha hizo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unda tume huru ya kuchunguza madhila wanayopitia wananchi wa Tanga

    Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia taratibu zote katika utumishi wa umma. Mbaya zaidi alipokua ziarani Tanga alimtolea mfano Martin...
  13. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tuna waandishi wachunguzi na wachambuzi huru?

    Nimekuwa nikifuatilia ishu zinazoibuliwa mara nyingi labda na top leaders ndio inakuwa mijadala rasmi ya media. Mfano: leo gazeti la uhuru linazungumzia rushwa pale kariakoo, kuna gazeti moja nalo linazungumzia kuhusu aliyekua DC Hai. Yote ni baada ya viongozi kuibua taarifa wao ndio wanapatia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Alex Raphael aliyejifanya ni afisa wa TAKUKURU ashikiliwa na vyombo vya dola kwa uchunguzi

    Alex Raphael aliyejifanya afisa wa TAKUKURU anashikiliwa na vyombo vya dola kwa uchunguzi zaidi kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. Uchunguzi huu unaendelea wakati huu ambao huko Shinyanga mwalimu mmoja anashikiliwa na vyombo vya dola kwa kujifanya afisa wa JWT
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

    Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani yataka uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa wazi

    Marekani imelitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhakikisha awamu inayofuata katika Uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona inazingatia uwazi. Imesema awamu ya pili ya Utafiti huo lazima uzinduliwe ukizingatia uwazi, misingi ya kisayansi na vilevile uwape Wataalamu wa Kimataifa Uhuru wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu dhuluma dhidi ya Tundu Lissu ni wakati muafaka sasa uchunguzi huru ufanyike

    Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliotaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kufanyiwa uchunguzi wa jinai

    Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa New York imeanza uchunguzi wa jinai kwa Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Donald Trump. Mwanasheria Mkuu, Letitia James, amekuwa akichunguza kama uongo uliripotiwa kwenye thamani ya mali ili Kampuni ipate mikopo na faida za kiuchumi na kodi. Trump ambaye...
  19. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kaa kimya uchunguzwe, acha kuchonganisha mamlaka za nchi. Utaingia matatizoni

    Wakuu amani iwe juu yenu, Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari kwake kama ana masikio asikie, kama ana ubongo aelewe. Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia shutuma nyingi dhidi ya Sabaya zinaonesha zina ukakasi. Hongera Rais kwa kuruhusu uchunguzi juu yake

    Habari wakurugenzi..! Binafsi nimekuwa nikimfatilia sana mkuu wa wilaya wa Hai aliyepita ndugu Sabaya. Kiukweli nimefuatilia interview zake na pamoja na wale wanaomshutumu nyingi zinaonyesha zina ukakasi yaani zinaweza zikawa sio shutuma za kweli juu yake bali za kupika. Ukiangalia utaona...
Back
Top Bottom