uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa Kuungua Masoko huwa hayawekwi wazi?

    Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo. Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi. Ukimya wa serikali unasababishwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

    Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume. Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao. Source: East Africa tv Maendeleo hayana vyama!
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi huu umenishangaza Sana!

    Kwema Wakuu! Nimefanya uchunguzi mdogo nao ni huu; "Wale wanaoonekana ni wajinga ndio wanawatawala werevu. Wale wanaoonekana waovu ndio waliobarikiwa kimaisha. Wale wanaoonekana wahuni na Malaya ndio wanaoimudu ndoa. Wale wanaoonekana wengi ndio wanaotawaliwa na waliowachache. Wale wenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nape aanzishe haraka uchunguzi wa sakata la uvamizi Clouds Media

    Kama kawaida tunaanzia tulipoishia wakati uke kawaida Nape hua habakizi kiporo; naomba sasa aanzishe uchunguzi wa majambazi waliovamia clouds media na silaha za kivita haraka. Maana ile ingesababisha mauaji ya waandishi wa habari ingekuaje? Katika sakata lile sisi wananchi wala hatukuridhika...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Tume ya ushindani kuchunguza udhamini wa GSM ligi kuu

    Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiitaka kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni ya GSM kwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania kama hautaathiri ushindani wa soka nchini. Wadau hao wamewasilisha malalamiko yao kwa maandishi ndani ya tume hiyo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia angeamua kuanzisha uchunguzi wa tukio la Lissu kupigwa risasi, sukuma gang wangekuwa na hali gani? Shukurani kamsitiri

    Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake! Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje? Je, si wangelala na...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Tume uchunguzi wa moto soko la Kariakoo

    Salama Watanzania wazalendo, hapa nahitaji tujiulize matukio ya moto kwenye masoko ni ya kujirudiarudia kuna maswali je, ni njia ya watu kupiga pesa kwenye ujenzi. Tume iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto imebaki na majibu kimya kwenye makabati hawaoni umuhimu kutoa majibu hayo, inaundwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Nape Kuhusu Uchunguzi wa Akaunti ya Deni la Taifa

    Hoja ya Mhe. Nape (MB) Bungeni kuhusu kukaguliwa akaunti ya deni la taifa sina shida na hoja na anazo haki zote kwa mujibu wa Katiba, sheria na kanuni za Bunge, isipokuwa nachelea kuamini kwamba uzito wa hoja hii unaweza kutambuka wigo wa mhimili wa Bunge na kuleta shida kwenye mhimili wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

    Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwangasa: Kila mtu ana haki ya faragha, hadi pale mamlaka za uchunguzi zinapohitaji taarifa

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi. Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo. Katika...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ex wako anapokuwekea FBI wakuchunguze, anakua na maana gani?

    Habari wapendwa? Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?
  13. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Kilimanjaro: Uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomhusu Ole Sabaya unaendelea vizuri

    Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes, amesema kuwa uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazo muhusu aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya unaendelea vizuri katika Mkoa wa Kilimanjaro. "Kesi za mshitakiwa huyu (Sabaya) zimekuwa zikienda mfululizo hivyo kesi nyingine...
  14. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Wataka uchunguzi ufanyike

    Ni katika kujiuliza tu ndugu zangu. Maseneta wa jimbo la Oregon Marekani, Kim Thatcher na Dennis Linthicum, wamewasilisha ombi la kutaka kuitishwa kwa baraza la uchunguzi (Grand Jury) ili kuchunguza kile wanachoita: “CDC’s Willful Misconduct to Hyperinflate COVID-19 Data Following Federal Law...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Lebanon: Umoja wa Mataifa waombwa kusimamia uchunguzi wa mlipuko wa Beirut

    Ndugu wa Wahanga wa mlipuko uliotokea Beirut Agosti 2020, walionusurika tukio hilo pamoja na Mashirika ya Haki za Binadamu wametaka kufanyika uchunguzi huru chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa (UN). Wamesema Uchunguzi wa ndani umekuwa unakwamishwa mara mwa mara na umeshindwa kufikia vigezo...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wananchi bado tunaomba uchunguzi mkali mradi wa stiglers/SGR, huko ndiko kuna vikampuni vya mzee na vifaranga wake waliopeana tenda

    Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike! Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili Mh. Samia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

    Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO. Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini. Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa Hamza washangazwa na uchunguzi wa Polisi

    Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi. Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi ulilenga kumkuta Hamza Mohammed Gaidi

    Kamanda Wambura ametoa taarifa yake kuhusiana na uchunguzi wa kadhia ya Hamza kuwa alikuwa ni gaidi. Halipo jipya kwenye taarifa hiyo kwani ni wazi kuwa kilichofanyika ni kuhalalisha tu ambacho polisi kama sehemu ya kadhia wangekitaka. Ikumbukwe pia kamanda Sirro alishahoji hata uhalali wa...
  20. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Kilichonivutia kwa uchunguzi wa polisi juu ya Hamza

    Kwa mara ya Kwanza polisi wetu wameweza kuchunguza kwa haraka zaidi na kwa muda mfupi mno na kupataa majibu mengi juu ya gaidi Hamza. Kuwa alijifunza Ugaidi mtandaoni, aliishi kwa Siri na kuwa alikuwa ni gaidi wa kidini, Imani kali. Polisi wetu wameweza kufanya uchunguzi huku gaidi Hamza akiwa...
Back
Top Bottom