Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa New York imeanza uchunguzi wa jinai kwa Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Donald Trump. Mwanasheria Mkuu, Letitia James, amekuwa akichunguza kama uongo uliripotiwa kwenye thamani ya mali ili Kampuni ipate mikopo na faida za kiuchumi na kodi.
Trump ambaye...