uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zacht

    JamiiForums Tanzania Putin ameagiza Wagner wafanyiwe uchunguzi

    Putin anaendelea kumtafuta mchawi wake huku ikiwa tayari ametangaza kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wa Wagner kwa uhaini walioufanya. Hivi sasa ameagiza mamlaka husika kuanza kuwafanyia uchunguzi Wagner group kwenye matumizi yao ya pesa. Kwa kuangalia hela walizo lipwa na matumizi yao
  2. R

    JamiiForums Tanzania Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

    Waandishi wa habari undercover wanajifanya kuwa majambazi wenye dola bilioni moja za pesa chafu zinazohitaji kusafishwa. Wanapata upenyo kwa wanachama wa Afrika wa Gold Mafia na kurekodi mikutano ya siri na viongozi wa uhalifu. Balozi Mkubwa wa Afrika anatoa huduma ya kutakatisha pesa chafu...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

    😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi Swahili times - “Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.” Habari zaidi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Asilimia kubwa ya wadada wa kiislam ni wazuri/warembo kuliko wa upande wa pili

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Sexless unit imebainika pasipo shaka kuwa asilimia kubwa ya wadada wa kiislam ni warembo mno kuliko wale wa upande wa pili. Hata wewe mwanaJF fanya utafiti binafsi mtaani kwako kisha lete majibu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji katika Uchunguzi , Tanzania na Afrika

    Utangulizi: Uwajibikaji ni msingi muhimu katika jamii yoyote iliyo na utendaji mzuri, ikilenga kuwafanya watu na taasisi kubeba jukumu la vitendo na maamuzi yao. Katika muktadha wa jamii na uongozi wa Kiafrika, uwajibikaji una jukumu muhimu katika kukuza utawala bora, kuimarisha imani, na...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania CAG aagiza ukaguzi wa uchunguzi mji wa Babati

    Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere ameagiza kuanzisha ukaguzi wa uchunguzi kwenye Halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara, ambayo kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 imepata hati yenye mashaka. Kichere ametoa agizo hilo kwenye kikao cha baraza la madiwani wa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Rushwa na Uhujumu Uchumi asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Rais #BolaTinubu amechukua uamuzi huo dhidi ya Abdulrasheed Bawa ili kuruhusu uchunguzi kuhusu kashfa za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi zinazomkabili zifanyiwe kazi na mamlaka zilizoteuliwa. Ingawa ni kawaida kwa #Nigeria kumuondoa kwa muda Kiongozi wa Tume hiyo kila utawala mpya...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Nusura: Maswali ya kujiuliza kwenye Ripoti ya Tume ya Uchunguzi

    Ripoti ya THBUB inasema April 27 asubuhi Nusura alisafiri kwa basi la Manning Nice kutoka Dodoma hadi Babati. Kisha akapanda Coaster hadi Arusha, kabla ya kumalizia safari kwa basi la Ibra Line hadi Moshi. Lakini taarifa ya VC UDOM (Soma hapa Chuo Kikuu cha Dodoma chatoa taarifa kufuatia kifo...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu yatoa ripoti ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, chasema hakuna uhusiano na ajali ya Waziri Dkt. Festo Dugange

    Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda kwa sukari na upungufu wa damu. Kifo cha Nusura kilihusishwa na ajali ya gari iliyomhusu Dkt. Festo...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tume yatua Kilimanjaro uchunguzi kifo tata cha Nusura

    Moshi. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB) imebisha hodi mkoani Kilimanjaro kufanya uchunguzi huru juu ya kiini cha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah. Taarifa zilizopatikana jana zilisema tume hiyo iliwasili katika Mji wa Himo Mei 26 mwaka huu...
  11. monakule

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Sengerema achunguzwe

    Kwa wahusika, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni ndani ya siku 45 tu. Hadi sasa mwenyekiti huyo hajulikani alipo na karani wake amepokea hela bila...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Upinzani wataka uchunguzi wa Nyumba za Mawaziri kutokana na gharama kubwa za Maboresho

    Chama Kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance (DA) kimeomba mamlaka ya kupambana na Rushwa na Ufisadi kuchunguza mikataba inayodaiwa kuwa na gharama kubwa kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za Mawaziri zinazotajwa kuwa za anasa Ni baada ya Serikali kubainisha kuwa kati ya 2019 na 2022...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

    Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum. Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uandishi wa habari za uchunguzi Kama kichocheo Cha utawala Bora Tanzania

    Picha na mtandao Habari za uchunguzi tunaweza kueleza kuwa ni zile habari ambazo mwandishi hufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo fulani, na kuja na ripoti inayojitosheleza kuhusu jambo hilo pamoja na ushahidi. Uandishi huu hukusudia kufichua maovu au uhalifu uliofichwa kwa makusudi na kuufua...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kufanya uchunguzi wa kifo cha Mwanafunzi wa UDOM

    Katika kipindi cha karibu wiki mbili, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeona katika vyombo vya habari taarifa ya ajali ya gari iliyomhusu Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange iliyotokea katika Jiji la Dodoma na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Kuitwa kwenye mafunzo ya Uchunguzi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anapenda kuwatangazia watu wote walioomba nafasi 320 za ajira ndani ya TAKUKURU kwamba...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sakata la Mchungaji Ezekiel: Polisi wataka kumshikilia kwa siku 30 zaidi kwa ajili ya Uchunguzi

    KENYA: Zaidi ya Watu 100 wameondolewa katika kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge kukamatwa mapema Aprili 27, 2023 Paul Mackezie anatuhumiwa kwa mauaji ya Waumini wake baada ya Miili...
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi TBS wana kazi gani mpaka wasubiri bidhaa zilete madhara ndio waanze uchunguzi au ni Rushwa tu?

    Inafika mahala hii nchi inakera Sana, tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji wa bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza NIMRI kufanya uchunguzi wa Madhara ya Energy Drinks

    Agizo la Waziri linafuatia chapisho la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) lililoeleza mwananchi mwenye miaka 28 aliyekunywa chupa 5 za Kinywaji hicho na baada ya saa 4 akaanza kupata maumivu Kifuani kwa muda saa 8 mfululizo. Baada ya kupelekwa Hospitali na kufanya vipimo, alibainika...
Back
Top Bottom