Sakata la Mchungaji Ezekiel: Polisi wataka kumshikilia kwa siku 30 zaidi kwa ajili ya Uchunguzi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,611
KENYA: Zaidi ya Watu 100 wameondolewa katika kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge kukamatwa mapema Aprili 27, 2023

Paul Mackezie anatuhumiwa kwa mauaji ya Waumini wake baada ya Miili 109 kufukuliwa katika eneo la Shakahola lilipo Kanisa lake la Good News International Church, ambapo takribani Watu 320 wameripotiwa kupotea

Polisi wamesema kuna taarifa za kuaminika zinazomhusisha Ezekiel Odero na miili inayofukuliwa katika Msitu wa Shakahola

..........

Police now seek to detain Pastor Ezekiel Odero for 30 more days

Police now seek to detain Pastor Ezekiel Odero for 30 more days

Police now want to be allowed to detain Pastor Ezekiel Odero for 30 more days to complete investigations against him.

The New Life Prayer Centre and Church pastor was arrested on Thursday and police say that there is credible information linking him to the bodies exhumed at the Shakahola land in Malindi, Kilifi County.

They added that there are several followers of his ministry whom they believe have met their death in their quest for divine intervention.
also read

In a miscellaneous application on Friday, the police said intelligence information has established several deaths within the precincts of New Life Prayer Centre and Church and were reported at Kilifi Police Station between last year and this year.

Pastor Ezekiel is being investigated over several offences including fraud, money laundering, murder, aiding suicide, radicalisation, crimes against humanity, and child cruelty.

“Police have collected several burial permits that were issued to several individuals whose names and telephones numbers have been disclosed in these records,” read court papers.

“However, the investigators hold reasonable apprehension that the respondents may interfere with the individuals regarded as potential witnesses before getting to the bottom of the questions whether the dead bodies were indeed released to kin for interment or buried at Shakahola under suspicious circumstances.”

Over 100 people were evacuated from the controversial preacher’s church at Mavueni after his arrest on Thursday.

Chanzo: Citizen Digital
 
Mungu atupe Maarifa Bongo isijetokea hii Hawa matapeli wanaodai wamewahi kwenda Mbinguni au kutokewa na Kristo mfufuka wadhibitiwe na kuonywa vikali wasizidishe urefu wa Kamba tutakuja kuuana
 
Mi naomba kuuliza, mwanzo kabisa wa hili tukio polisi wa huko Kenya walijuaje hili suala kwamba kuna watu wanafunga huko msituni, ni muumini alipiga simu au ilikuaje?
 
Nchi fulani nao wangeanza operation ya kuzungukia makanisa wayachunguze wsisubirie mpaka balaa kubwa likatokea

Ova
Hiyo nchi fulani kuliwahi kutokea vifo vingi watu waliaminishwa kukanyaga mafuta kunatatua changamoto zao.

Lakini muhusika hakuchukulia hatua yoyote
 
Tumechelewa sana kama kuna tatizo. Naomba niseme kuwa tunaongizwa sana na matukio na siyo dalili za matukio. Sijui hatuna kabisa warning mechanism au hatujifunzi kabisa kutokana na historia. Kwani kibwetere alifanyje? Na tujlijifunza Nini?
I dare to say that we are so reactive...
.........................................
Who point who?...
Msafi nani?
 
Mi naomba kuuliza, mwanzo kabisa wa hili tukio polisi wa huko Kenya walijuaje hili suala kwamba kuna watu wanafunga huko msituni, ni muumini alipiga simu au ilikuaje?
Kuna mtoto alifanikiwa kutoroka, ndiye aliyetoa taarifa
 
Back
Top Bottom