uchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chinga One

    JamiiForums Tanzania TANZIA Director Nisher afariki dunia

    Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023. Familia ya Dr...
  2. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Atheists wameanza kuwa na uchungu na misimamo yao

    Hivi kwanini Hawa atheists wa JF wamekuwa na uchungu sana pindi mtu unapozungumzia uwepo wa Mungu na jambo jengine linalohusiana na Imani? Yaani wanautetea huo u-atheism wao kwamba kama hukuufuata basi Kuna adhabu itakukuta. Mambo yamebadilika sasa yaani wao ndio wanaongea Kwa uchungu kuliko...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Walio na uchungu wa ardhi ya Waarabu wa Palestina, kumbukeni pia DRC watu 6.9m wamefukuzwa kwenye ardhi yao

    Huku tukiendelea kuandamana na kuwa na uchungu wa mnyang'anyano wa aidhi baina Waarabu na Wayahudi, hebu pia tuweni na kauchungu fulani hivi kwa Waafrika wenzetu karibia milioni 7 hapo DRC wamefukuzwa kutoka kwenye ardhi zao...... ============================= The conflict between M23 rebels...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kasumba ya kuna uchungu wa mzazi kwa mtoto aliyemzaa haina ukweli

    KASUMBA YA KUNA UCHUNGU WA MZAZI KWA MTOTO ALIYEMZAA HAINA UKWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza ikawa Tata. Pengine ikazua mfuragano wa kutoleana hoja. Ni vizuri kila mmoja atoe hoja zake Kwa utulivu kutetea upande wake. Kuna dhana au tuseme Kasumba iliyoenea Duniani...
  5. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kuanzishiwa uchungu wa uzazi

    Mjamzito ataanzishiwa uchungu (Induced labour) ikiwa kutakua na hatari iliyothibitishwa kwa mama au mtoto, au kwa wote wawili. Baadhi ya sababu za kuanzishiwa uchungu ni pamoja na Matatizo ya shinikizo la damu wakati wa ujauzito, kupitiliza siku ya kujingua kati ya wiki 41 na 42, ugonjwa wa...
  6. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

    Jina lingine huitwa ''Ulevi wa kifo'' haya ni 'maumivu ya kifo' au mafuriko ya mauti. Hakika Kila nafsi itataabika wakati wa mauti yake. Kwetu sisi waislamu tunazo dalili ambazo humpata mtu siku 40 kabla ya kufa kwake. Nafsi zetu ipo siku zitalipwa adhabu ya udhalili kwa sababu zilikuwa...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poo kabisa 😀😀😀😀😀
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poa kabisa 😀😀😀😀😀
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Hata kama tuna uchungu na bandari ndiyo tumfokee Rais?

    Akina Nshala na ushindi wa Pyrrhic Ezekiel Kamwaga Wakili Rugemeleza Nshala. Picha kwa hisani ya Katiba TV Na Ezekiel Kamwaga MARA nyingi huwa nafanya rejea kupitia maandishi ya hayati Profesa Samuel Huntington wa Marekani. Katika kitabu chake cha mwaka 1993, The Third Wave...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa bandari utavunjwa kwa pande mbili kuridhia, tutawahonga kipi waarabu watukubalie kuondoka kwa hiari?

    20.3. The termination of the agreement requires prior consent from both State Parties, and such consent should not be unreasonably withheld. Hapo ni kwamba hata huko mbele tukihitaji bandari yetu basi NI LAZIMA waarabu nao wakubali kwa hiari kuiacha bandari. Mkataba hauwezi kuvunjwa...
  11. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Kati ya raia wa kawaida na utawala wa CCM ni kundi gani lina uchungu kwa maslahi ya Taifa?

    Tukirudi nyuma kuna mikataba mingi mibovu serikali ilijikita nayo mwisho wa cku ikaja kuonekana hasara kwa Taifa. Na katika hiyo waliokua wanapiga kelele kupinga mikataba hiyo mibovu kwa minajili italiingiza Taifa kweny hasara ni upinzani baadhi na wananchi wa kawaida kbs, sasa swali langu ni...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wenye uchungu na nchi hii hatutahama CHADEMA. Mamluki walionunuliwa na Mbowe kwa maridhiano uchwara na CCM watahama ovyo

    Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga. Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwamba wabunge walipitisha bajeti ya kulisha Vura USA na Leo wanajifanya Wana uchungu na upotevu wa Fedha za umma? Stupid

    Fedha yakuhudumia vyura iliwasilishwa Bunge la bajeti na ikapitishwa Kwa kishindo na wabunge tena Kwa sifa kedekede. Leo TANESCO wamefanya matumizi wabunge wale wale waliopitisha hizo fedha wanashangaa na kujifanya Wana uchungu.....huu ni uzuzu. Kama walikuwa Wana uchungu wangekataa...
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Moyo wangu umejaa simanzi na uchungu! Nchi inaliwa sana hii

    TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani. Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia onesha pia Uchungu wako katika Sekta ya Ardhi kwani Wanyonge wanadhulumiwa mno

    Mheshimiwa Rais kama kuna Sekta ambayo kwa sasa inatajwa na Dhambi ya Kudhulumu Watanzania Wanyonge basi ni ya Ardhi. Na kama kuna Mkoa ambao unaongoza kwa Watanzania Wanyonge Kudhulumiwa Ardhi yao ni Mkoa wa Dar es Salaam. Na kama kuna Mkuu wa Mkoa ambaye anapewa Lawana ya Kutetea Wapora...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu una uchungu na Taifa lako. Unaumia linavyoibiwa ila Mbowe ameungana na wanaoliibia

    Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu. Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo. Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi. Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
  17. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Nani ana uchungu na elimu yetu?

    Kupitia wizara zake za Wizara ya Elimu na TAMISEMI.....Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania imeonesha nia na juhudi kubwa za kuwekeza katika ujenzi wa madarasa mapya na pia kuongeza shule mpya ikiwa ni pamoja na ukarabati wa majengo kwa shule kongwe zenye uchakavu. Ongezeko la miundo...
  18. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa uongo hii ndio tofauti ya leba ya uongo na leba ya kweli

    Maumivu ya uongo, uchungu wa Leba ya uongo (false labor, spurious labor). Leba ya uwongo inapatikana zaidi kwenye mimba ya kwanza kuliko kwa wanawake walio wahi kuzaa awali. Kawaida huonekana kabla ya kuanza kwa uchungu wa kweli wa leba, kwa wiki 1 au 2 kwa mimba ya kwanza na kwa siku chache kwa...
  19. winnerian

    JamiiForums Tanzania Akauliza kwani hauna uchungu na nchi yako kupoteza pesa nyingi hivi?

    Jibu: kwani wao hawaibi? Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wenye PhD feki wana manufaa na uchungu kwa nchi yetu, basi tunawataka waongoze nchi yetu

    Wahasimu wa Hayati JPM wanaendelea kutuaminisha kuwa, JPM hakuwa Mtanzania pia PhD yake ilikuwa feki. Licha ya hayo yote, wanaungana na wengi kuduwaa jinsi PhD feki ilivyo tofauti na PhD original. PhD original tulizonazo hapa Tanzania, hazitusaidii na hazijawahi kutatua matatizo yetu kama...
Back
Top Bottom