Kati ya raia wa kawaida na utawala wa CCM ni kundi gani lina uchungu kwa maslahi ya Taifa?

Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,177
7,699
Tukirudi nyuma kuna mikataba mingi mibovu serikali ilijikita nayo mwisho wa cku ikaja kuonekana hasara kwa Taifa. Na katika hiyo waliokua wanapiga kelele kupinga mikataba hiyo mibovu kwa minajili italiingiza Taifa kweny hasara ni upinzani baadhi na wananchi wa kawaida kbs, sasa swali langu ni hili....

Kwa uhalisia kabisa bila kuweka itikadi za vyama mbele ni kundi gan kati ya hayo lina uchungu na Taifa letu? Na kwann linapokuja suala la kupitisha miswada bungeni hasa ya ubinafsishaji au uuzaji wa sekta yoyote ni watanzania wa kawaida na wapinzani ndio hua wanaona mapungufu ya kimkataba?

Je. CCM kwann hua hawaoni hayo mapungufu? Je, nia yao hua ni ipi juu ya maslahi ya Taifa? Wakuu tafadhali tujadili hili kwa mapana ili hata yule asie kua na uelewa angalau aelewe.. kada zote za vyama tulete hoja hasa ndugu zangu wanaccm hili linahitaji majibu yenu sana!!
 
useless
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    28.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom