Kuanzishiwa uchungu wa uzazi

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Mjamzito ataanzishiwa uchungu (Induced labour) ikiwa kutakua na hatari iliyothibitishwa kwa mama au mtoto, au kwa wote wawili.

Baadhi ya sababu za kuanzishiwa uchungu ni pamoja na Matatizo ya shinikizo la damu wakati wa ujauzito, kupitiliza siku ya kujingua kati ya wiki 41 na 42, ugonjwa wa kisukari wa mjamzito na mtoto kuchoka kupita kiasi.

Hatari ya kifo wakati wa kujifungua huanza kuongezeka katika mimba zinazoendelea zaidi ya wiki 42.

POSTA.jpg
 
Back
Top Bottom