uchumi

  1. Ushauri: Mtalaka anatishia kuvunja ndoa mpya ya rafiki yangu

    Habari wakuu! Kuna jamaa yangu amenipa kisa kilichomtokea nibaab-kubwa, na anaomba mawazo mbadala au kama yeye yuko sahihi pia aendelee. Mwaka juzi alikuwa mkoa wa Mara akifanya kazi kama msaidizi wa familia ya mama mwenye kampuni ya utalii. Huyo mama alimuamini ikafika hatua amemuelekeza...
  2. Uchumi wa Tanzania ulikua kwa 6.9% au zaidi kipindi cha mwaka 2017-2019

    - Mpaka napoongea saaahv Tanzania has a gdp of ~($70B)+, nyuma kidogo ya kenya wenye gdp ya ($100B)+, wakati magufuli anaingia madarakani tanzania ilikua na gdp ya $(45.68B), Benki ya tanzania pia ilirekodi ukuaji wa uchumi kwa asilimia 7...
  3. Rais Samia, kama uchumi umeyumba tangaza kupunguza mshahara wako pamoja na viongozi wako waandamizi na wabunge

    Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo madaraja mapya sijui kama nami nitakuwa mmoja wapo. Maana idadi ya wanaostahili kupanda madaraja ni wengi...
  4. Zanzibar: Rais Afanya Teuzi za Wakurugenzi wa Wizara ya Uchumi

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amefanya teuzi za wakurugenzi katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi pamoja na Taasisi zilizo chini yake Amemteua Dkt. Salum S. Hamed kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi, Dkt. Makame O. Makame kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uhifadhi wa Maeneo Baharini na...
  5. Asante Rais Samia aweka wazi takwimu za uporokaji wa ukuaji wa uchumi wazi, 6.9% to 4.7%, lakini sababu ni nyingi.

    Mama Samia kaingia na staili nzuri ya kuweka mambo wazi na si kuficha ficha kama ilivyokuwa kawaida ya mtangulizi wake. From word go mwaka 2016, uchumi wa Tanzania ulianza kutikiswa kwa matumizi mabaya ya maguvu ya kisheria ya serikali. Takwimu sa UONGO zilianza kutolewa na ikawa chini ya...
  6. J

    Je, kwa ukuaji wa uchumi wa 4.7% bado tuko kwenye uchumi wa kati au tumerudi kulekule? Kwako Dr Mwigullu!

    Ninajua kabla ya Corona uchumi wetu ulikuwa unakua kwa asilimia 6.9 lakini kufuatia anguko la uchumi wa dunia uliosababishwa na covid 19 uchumi wetu nao umeanguka na sasa unakua kwa 4.7% Ndio namuuliza Dr Mwigullu Nchemba, je bado tuko kwenye uchumi wa kati au anguko hili limepunguza per...
  7. Tanzania iliyopanda hadi uchumi wa kati kwa mwaka wa tano yashindwa kupandisha mishahara

    Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu. Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi. Kwa kupenda sifa kule kama angekua Ana hela asingeweza kukaa miaka mitano bila kuongeza mishahara ili asifiwe. Lakini yeye akaamua fungu lote la...
  8. Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Uchumi wa Tanzania umeshuka kutokana na Corona na ndiyo maana Mishahara inapigwa tu 'Danadana' Kupandishwa

    Ninachojua GENTAMYCINE kwanini Mishahara imekuwa ikipigwa tu 'danadana' Kupandishwa kwa Watumishi nchini tokea 2016 hadi tarehe 17 March, 2021 ni...... 1. Kukurupuka kuanzisha Miradi 2. Kuwekeza zaidi Chato 3. Kukomoa Matajiri wakubwa 4. Ufisadi mkubwa tu Serikalini 5. Kuharibu Mifumo ya Pesa...
  9. Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  10. Mungu wa uchumi mioyoni mwa wajasiriamali

    "Asubuhi panda mbegu zako ,Wala jioni usizuie mkono wako ,kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,Kama ni hii au hii ,au zote zitafaa sawasawa"mhubiri11:6 salute!! Waswahili walisema maisha ni hatua na Kila hatua DUA,wazungu wanasema "don't give up keep on grinding...
  11. Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

    Napendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
  12. Rais Samia, kuna Fursa ipo kwetu kwenye Uchumi wa Gesi, ichangamkie haraka

    Nakusalimu tena kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama yangu! Ni nadra sana Mimi Lord Denning kuandika nyuzi mbili humu ndani Ila leo imebidi nikuandikie humu maana nimegundua kuwa wewe ni mwanachama na mpenzi wa hili jukwaa! Nimeandika ushauri wangu kwako juu ya reformation...
  13. Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

    Mimi siongezi neno hapa Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
  14. Kwanini Waandishi maarufu wa vitabu Tanzania wengi wao bado uchumi haujakaa sawa?

    Nadhani ni wengi hapa tumewahi kununua vitabu katika safari zetu za elimu. Unakuta kuna kitabu flani karibu kila mwanafunzi alikuwa nacho. Ila sasa ukija kuangalia hali za maisha za hao waandishi unakuja kugundua vitabu hivyo haviwasaidii sana kiuchumi. WHAT IS THE PROBLEM?
  15. Mbunge: Watumishi wameifikisha Tanzania Uchumi wa Kati, tunasubiri nini kuwaongeza mishahara? Asema imeshusha utendaji

    Mbunge wa viti maalum Wafanyakazi, Janejelly James Ntate amesema watumishi wameweza kuifikisha Tanzania Uchumi wa Kati kabla ya wakati wake mwaka 2025. Akiwa kwenye vikao vya bajeti vinavyoendelea mjini Dodoma amesema watumishi walifanya hayo kwasababu serikali kupitia vyama vya watumishi...
  16. Mufti Zubeir: Kuna mijitu ilikuwa na kesi za Uhujumu Uchumi, huruma ya Magufuli ikawataka warudishe walizoiba

    Leo katika kongamano la viongozi wa dini ukumbi wa Chimwaga Dodoma, Mufti wa Tanzania, Abubakari Zuberi alipata nafasi ya kusema machache na mojawapo aliongelea wahujumu uchumi nyakati za uongozi wa Rais Magufuli. ''Wenyewe ni mashuhuda, kuna mijitu humu ilikuwa na kesi ya kuhujumu uchumi, kuna...
  17. Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

    Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya. Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile. Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali. Tuzalishe...
  18. Bomba la mafuta la Afrika Mashariki: Diplomasia ya uchumi ya urithi wa Hayati Magufuli na mapato ya Tsh 76.32bn kwa mwaka

    BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya...
  19. Judith Kapinga (Mbunge CCM): Kosa la Uhujumu Uchumi limerahisishwa sana nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha kuwashinikiza kukubali makosa

    Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana. Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa.
  20. Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na Serikali kuiba, kuhujumu uchumi na kupokea rushwa, maana salama yao ni kudra za Mwenyezi Mungu

    "Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue " Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine. Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…