lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,166
- 33,410
Huu ni Mtazamo wangu TU.
Katika vita zote kuna harakati kubwa mno nje na ndani ya uwanja vita,ambazo wanaopigana Kila mmoja hufanya ili kurahisisha kutaka kushinda vita.Harakati hizo ni Ujasusi.
Watu wengi wamekua wakitoa maneno mbalimbali ya dharau na mashaka juu ya uwezo wa Kijasusi wa Urusi.
Mashaka Yao ni kwamba Urusi ni dhaifu sana kwa ujasusi,kua iliidharau sana Ukraine na hivyo oparesheni imechukua mda mrefu.
Mtazamo wangu.
Namba hua hazidanganyi.
Kwa Mtazamo wangu Urusi ndio nchi yenye taasisi imara na Bora kabisa Dunia kwa Sasa na hata zamani.
Nasema hivi kwa sababu Jumuiya ya Ujasusi katika vita hii inapambana na umoja wa jumuiya za Ujasusi wa nchi za NATO zote na zaidi.
Kwa mfano kama NATO Ina nchi 30 basi ongeza na nchi kama Majasusi wa nchi rafiki wa NATO ambao sio Wanachama wa NATO.mfano Israel, Japan, Australia,Finland,Sweden n.k
Kwa hiyo utaona kwa Hali ya kawaida Majasusi wa nchi za west kama USA,UK,German,Franc,Canada,Poland, Turkey,Italy,Ukraine n.k ni moja ya majasusi Bora kabisa hapa duniani.
Sasa kwa Hali halisi tulitegemea kwa uwingi wao na ubora wao wangekua wameshafanya madhara makubwa sana kwa Russia,lakini wapi,na kinyume chake Urusi amefanikiwa kuwadhibiti kwa kiwango kikubwa sana.
Kama nilivyosema hapo juu kua namba haizdanganyi,Kijasusi Urusi Iko peke yake,lakini upande wa pili Kuna jumuiya za Kijasusi zaidi ya 30 lakini wote Urusi kawadhibiti.
Ukweli ni kwamba Ukraine ilishashindwa siku nyingi,lakini angalau bado inafurukuta kwa msaada wa Ujasusi kutoka nchi za Magharibi.
Ingawa kwa uchache lakini hata haya mafanikio madogo ya kupambana anayoyapata Ukraine ni kwa msaada wa Akina CIA ,MI6 na ujasusi wa nchi nyingine za NATO.
Watu wengi tunafahamu nguvu ya taarifa za Kijasusi katika medani za vita.
Ama ujasusi wa kijeshi,ama wa kiraia ama ujasusi wa vifaa,lakini una msaada mkubwa mno katika vita.
Mfano ukiondoa Marekani na Uingereza kuwa ziko vizuri katika ujasusi wa watu "human intelligence",lakini pia ziko juu sana katika ujasusi wa vifaa pia "Artificial Intelligence".
Na Hawa ndio wamekua mstari wa mbele kuwapa taarifa muhimu Ukraine juu ya mienendo na mipango ya majeshi ya Russia.
Lakini pamoja na msaada mkubwa mno Ukraine inaoupata kutoka jumuiya ya Ujasusi kutoka nchi zaidi ya 30 lakini majasusi wa Urusi peke yake wameweza kuwadhibiti majasusi wote wa NATO Hadi dakika hii.
Hivyo kwa Hali hii tunaweza kuona kua Urusi Kijasusi Iko imara kiasi Gani kwa uwezo wake wa kupambana na nchi zaidi ya 30 Kijasusi na yenyewe ikiwa peke yake.
Vita na vikwazo.
Kabla ya operation kuanza,west n Mashabiki wake walisema Urusi haiwezi kupigana hata kwa wiki moja kwa sababu ni maskini na Ina uchumi dhaifu au mdogo.
Nadhani pengine haya pia yalitokana na taarifa za majasusi wa NATO .
Mbali na kuwa na uchumi mdogo kwa maoni Yao poa wakamuongezea Urusi vikwazo vya kiuchumi na vikwazo vingine vuipya ambavyo havijawahi kutokea mahali popote Duniani ili kuidhoofisha haraka Urusi ambayo wao wanaiona Ina uchumi mdogo ili iwe rahisi kuishinda kijeshi kwa kuendelea kuipa msaada Ukraine wowote inao utaka.
Lakini kinyume chake ni kuwa matokea yamekua kinyume na mataeajio Yao,hapa pengine huenda majasusi wao walipiga hesabu zao vibaya.
Kwani vikwazo vianawaumiza zaidi wao kuliko Urusi.
Ukweli ni kwamba Sio kua vikwazo havimuumizi Urusi,lakini vinawaumiza na wao pia,Tena zaidi.
Hapa pia inawezekana nguvu ya Ujasusi wa Urusi huenda ilifanya kazi yake vizuri.
Pengine ilishauri kuwa tuyawekewa vikwazo vyote na kwa sababu hiyo tutengeneze namna Bora ya kukabiliana na vikwazo.
Ndio maana utaona Kila siku Ruble inapanda thamani ,pia kuhakikisha madhara ya vikwazo yanawaumiza na wao zaidi.
Majeshi.
Dunia kwa miaka mingi haikua inajua nguvu za kijeshi za Urusi.watu wengi wanajua kuwa Marekani ndio nchi pekee yenye Nguvu,italaloamua hakuna wa kupinga.
Kibaya zaidi muungano wao wa NATO kua ndio muungano wa kijeshi mkubwa zaidi wa kijeshi hapa Duniani ambao hakuna wa kuuzuia wala kushindana nao.
Kwamba ndio muungano wa kijeshi wa nchi matajiri zaidi duniani.
Sasa ajabu jingine Tena ni kwamba kwa Mtazamo wa watu wengi ni kwamba Urusi hawezi kukabiliana na umoja huu wa matajiri.
Lakini pia kinyume chake ni kua Wameonesha kutokua tayari kukabiliana moja kwa moja kijeshi dhidi ya Urusi ambayo propaganda za west zinaitangaza kama masikini.
Lakini ukweli sio masikini, na Sasa Dunia imejua kua Urusi sio masikini ,Bali ni taifa linalotegemewa na Ulaya yote.
NATO,USA ama UK ama France kwa nyakati tofauti zimekua na tabia ya kujiingiza kijeshi kuzipiga nchi nyingine kwa madai ama sababu mbalimbali.
Kwa uwezo wa kijeshi ambao tunaambiwa wanao nchi za west hasa USA na NATO na kwa jinsi wanavyoonekana,kuwa na jazba,hasira,ghadhabu na kukerwa na Op ya Urusi dhidi ya Ukraine na kwa desturi Yao tulitegemea tuone wameingiza majeshi kukabiliana na Urusi ambayo walituaminisha kuwa ni dhaifu dhidi Yao kijeshi,uchumi mdogo na haiwezi kupigana kwa wiki moja,ilibkuipiga Urusi na kumaliza huu mdororo wa uchumi.
Kinyume chake wameiogopa Urusi.
Waliweza kufanya hivyo kwa nchi nyingine hawajafanya kwa Urusi.
Tusubiri labda wanasubiri kwanza Urusi idhoofike.
Baada ya vita hii mambo mengi sana yatabadirika.
Kama Kuna nchi zimeanza kufanya biashara kwa kutumia sarafu zao ama za nchi nyingine badala ya Dola Hali hii sio nzuri kwa USA.
Finland na Sweden huenda wakajiunga na NATO,huenda Urusi ikapeleka silaha Kali Cuba, Venezuela,mexico au nchi nyingine za Latin au south Amerika.
Kama Urusi akishinda vita Kuna nchi zitaachana na utegemezi kwa USA ,na huenda. Urusi ikapata wafuasi wengi zaidi kwa uwazi kwa kua na uhakika wa ulinzi na uhuru wa kujiamlia mambo Yao.
Huu Mtazamo binafsi.