uchumi

  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Andiko la mabadiliko chanya katika jamii kwenye nyanja mbalimbali zikiwemo za elimu, uchumi, kilimo,utawala, afya, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi Tanzania

    Nianze kwa kutoa pongezi na shukrani za dhati kwa serikali ya awamu ya sita (6) ikiongozwa na Mh.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kupambana na hali ya uchumi wa nchi yetu kila siku. Ningependa kujikita katika sekta ya uchumi maana ndiyo inayopambaniwa sana kwa sasa ,Kama mwananchi mwenye...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo ya uchumi wa mtu binafsi katika kukuza uchumi wa nchi za Afrika

    Maendeleo ya mtu binafsi tu namaanisha hali ya kiuchumi ya watu Katika taifa, katika umiliki wa mali, elimu na siasa pia vitu hivi huchochea kwa kiasi kikubwa Maendeleo ya taifa kiujumla mtu mmoja mmoja katika taifa Wakiwa na uwezo mzuri wa kiuchumi Tunaweza kukuza uchumi wa nchi pia. Kwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya watoto katika familia hudumaza uchumi wa familia

    ''Penye miti mingi, hapana wanjenzi'' Kauli hii imekuwa dhahiri sana na yenye uhalisia ukizungumzia suala kuu la uchumi na maendeleo ya jamii hasa kuhusiana na idadi ya watoto na ustawi wa kila mtoto katika suala zima za elimu, afya na mahitaji mengine ya kimsingi. Tukiongelea suala la miti...
  5. JamiiForums Tanzania Peru: Polisi wavamia nyumba ya Rais ya Mapumziko kumsaka Shemeji yake anayetuhumiwa kwa uhujumu uchumi

    Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka. Yenifer anayetajwa kuishi nyumbani kwa Rais huyo ni mtu wa nne kuchunguzwa miongoni mwa watu wake wa...
  6. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kisasa

    Sera za kigeni, za mataifa mbalimbali ma kubwa kwa madogo kwa kuzingatia maitaji yao kiuchumi na kimaendeleo zimejikita katika, kutengeneza uhusiano mzuri kwenye uwanja wa mahusiano ya kimataifa, hili waweze kupata kiuraisi rasilimali ambazo hazipatikani kwa wingi au hazipo kabisa kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya sera ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha nchini na mwenendo wa ukuaji wa uchumi Tanzania

    Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi. Chini ya Rais Samia Suluhu ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Maneno yanavyoathiri uchumi wako

    Ipo nguvu katika maneno. Maneno yanaumba. Ukweli ni kwamba maneno yanauwezo mkubwa sana wa kuathiri maisha ya mtu iwe ni chanya+ au katika mwelekeo Hasi- kwa sababu Imani ya mtu katika jambo fulani huja kwa kusikia au tuseme miongoni mwa njia za kujifunzia ni kwa kusikia. Kama tunavyojifunza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Afya ya uchumi

    Habari yenu jamii, mko salama jamani, inaniuma namimi, twapotea hasirani, twakosa tiba kwanini, nchi ni yako namimi, leo nahitaji nipate, afya ya uchumi. watu wanahangaika, ajira zionekani, serikali kutoweka, fursa kazi hadharani, watu kazi wanataka, huishia wizi mtaani, kwanini ajira hazipo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi: Siri ya mafanikio ya kudumu

    Siri ya Mafanikio ya Kudumu Maisha ni vita. Hasa wakati uchumi ndio hoja kuu. Hivyo ni muhimu kuwa na nyenzo za ushindi. Nyenzo kuu itakayo kupa nafasi ya kupata ushindi, tena wa kudumu, ni kujitambua. Mapambano ya maisha ni endelevu na yenye kubadilika mara kwa mara. Kwa wale wanao jitambua...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania na Uganda ni marafiki

    Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha sera ya mambo ya nje ya Tanzania inakuwa yenye tija kwa uchumi na ustawi wa Taifa letu lakini pia katika kuimarisha umoja wa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyotekeleza kwa vitendo sera ya Diplomasia ya Uchumi

    Na Chacha Wangwe Jr Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha sera ya mambo ya nje ya Tanzania inakuwa yenye tija kwa uchumi na ustawi wa Taifa letu lakini pia...
  13. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume nyuma. Tukirudi miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na dhana kwa wanawake wengi kuwa wao hawawezi...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Michezo ya kamari inavyoathiri ukuaji wa uchumi kwa vijana

    Kamari ni mchezo wa kubahatisha unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo kuu la mchezo. Sheria za nchi mbalimbali zinatofautiana kuhusu uhalali wake. Asilimia kubwa ya washiriki hasa katika mchezo huo ni vijana ambao wanakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Africa, ni moja ya bara lenye rasilimali nyingi, licha ya kuwa na rasilimali nyingi Africa bado inatambulika kama bara lenye uchumi wa tatu. Moja ya sababu kubwa inayoifanya Africa ishindwe kukuwa kiuchumi ni kukosa muunganiko wa soko. Ukitizama mataifa yenye uchumi mkubwa duniani yote yanasifa...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania haijachelewa kuufikia uchumi wa Viwanda

    Tanzania Haijachelewa Kuufikia Uchumi wa Viwanda Tanzania ya Viwanda ni sera iliyopewa kipaombele sana na Raisi wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli akiamini kupitia uwekezaji na maendeleo ya viwanda ndio njia pekee itakayoiwezesha Tanzania kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi yatakayo...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Zanzibar Na uchumi wa buluu (Blue Economy)

    Zanzibar ianze na lipi kuelekea uchumi wa buluu wenye tija ? Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye Dira yake ya maendeleo ya mwaka 2050 miongoni mwa yaliyopewa kupaombele ni pamoja na sera ya uchumi wa buluu. Katika Dira ya maendeleo ya mwaka 2020 ambayo ilitekelezwa ndani ya miaka 20...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha na uchumi

    Uchumi na maisha Utangulizi Maisha ni kuzaliwa kukua kujifunza kuzeeka na hatimaye kufa. Sio kila mmoja wetu anapitia hatua hizi. Baadhi hufa kabla hata hawajaliwa. Wengine mara tu baada ya kuzaliwa. Kadhalika wengi huish kwa siku, wiki , miezi, miaka , muongo na hata karne. Maisha ni...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha na Uchumi

    Utangulizi Maisha ni kuzaliwa kukua kujifunza kuzeeka na hatimaye kufa. Sio kila mmoja wetu anapitia hatua hizi. Baadhi hufa kabla hata hawajaliwa. Wengine mara tu baada ya kuzaliwa. Kadhalika wengi huish kwa siku, wiki , miezi, miaka , muongo na hata karne. Maisha ni juhudi za moja kwa moja ...
  20. O

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jiwe La Msingi 5 (ukombozi wa fikra, elimu na uchumi)

    CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA. Utangulizi Siku za nyuma nikiwa kidato cha kwanza, katika Shule ya Sekondari Uluguru, tuliwahi kuwekewa mada ya kujadili kwa hoja. Mada hiyo ni maarufu kidogo miongoni mwa wanafunzi waliowahi kupitia elimu ya sekondari, ”Education is better...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…