uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Its Tesha

    Mchinjita: Hakuna matokeo ya uchaguzi kwenye gazeti la serikali

    Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, amehoji ukimya wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kushindwa kuchapisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwenye Gazeti la Serikali, akidai kuwa muda wa kisheria wa kufanya hivyo umeshafika ukomo. Akizungumza jana...
  2. R

    Myanmar kuendelea kupiga kura katika uchaguzi uliotawaliwa na Jeshi

    Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
  3. Akilindogosana

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany). Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
  4. M

    Ushindi wa Tyrant of the Year kwa mtukufu, nao wizi kama alivyopola uchaguzi wa 2025!

    Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi? Trump, Rais wa Marekani anamshindaje kwa mfano kama sio wizi mwingine huu? Zipi sababu za mtukufu huyu kushinda Tyrant of the...
  5. NostradamusEstrademe

    Uchaguzi tata ambao ulivunja rekodi ya dunia ya GUINESS ambayo haijawahi vunjwa hadi sasa

    Uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927.Katika matokeo mshindi alikuwa bwana Charles D.B King wa chama cha True Whig, alichaguliwa kwa kipindi cha tatu baada ya kumshinda mpinzani wake bwana Thomas J.R.Faulkner wa chama cha watu yaani People's Party.Kabla ya hapo Faulkener alikuwa ni...
  6. R

    PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  7. U

    PostGE2025 Dkt Richard Mbunda: Takwimu za Matokeo ya uchaguzi wa 29/10 haziendani na takwimu za wapiga kura. Wahusika (INEC) wa kutengeneza uongo hawakuwa makini

    https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ Tutaelewana tu Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura... Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan wa CCM sawa na karibu nusu ya Watanzania Cha ajabu, huyu mshindi wa 98% anaogopa 2% ambao...
  8. Harvey Specter

    PostGE2025 Tanzania Yashtakiwa katika Mahakama Ya Afrika Mashariki Kwa Vurugu na Dosari za Uchaguzi wa Oktoba 2025

    Wanasheria Tito Magoti na Bob Chacha Wangwe kupitia Kesi Na. 59 ya mwaka 2025 wameishtaki Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), wakilalamikia vitendo vya ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi...
  9. Nyani Ngabu

    PostGE2025 Vusi Thembekwayo: Haiingii akilini ushinde uchaguzi kwa 97.6% halafu uogope maandamano ya watu!

    Huyu ni mchambuzi kutoka Afrika Kusini aliyekuwepo nchini baada ya “uchaguzi” wa Oktoba 29, 2025. Kwenye hii video anatoa maoni na uchambuzi wake juu ya kile kilichotokea na kile ambacho anahisi kinaweza kutokea. Kamchana Samia kidiplomasia kwa kusema kwamba ni upumbavu kwa upande mmoja kudai...
  10. R

    PostGE2025 Makame: Tanzania ni nchi ya demokrasia inayofuata mifumo ya vyama vingi kikatiba, haruhusiwi mtu yeyote kusema hakuna uchaguzi

    Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), akizungumza katika kipindi cha Medani za siasa amesema Tanzania ni nchi ya demokrasia inayofuata mifumo ya vyama vingi vya siasa kwa mujibu wa Katiba hivyo hakuna anayeweza kwenda kinyume nalo akisisitiza haruhusiwi mtu yeyote...
  11. Waufukweni

    Waziri Mkuu, Mwigulu: Walipanga kuchelewesha uchaguzi ili kuiingiza nchi vitani

    Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita. Akizungumza hivi karibuni na wananchi...
  12. The Magnifico

    Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya "Kipindi cha Uchaguzi" acheni kutusumbua na "SMS" za kila siku, ushahidi umejaa tele huko mitandaoni

    Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena? Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi! Acheni kutujazia simu buree!
  13. Allen Kilewella

    Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

    Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati. Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
  14. Mto wa mbu

    PostGE2025 Je, kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi MO29 ingekuwepo?

    Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea? Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini macho Cha uchaguzi. Matokeo yake kilichotokea tarehe 29 Kila mtu anakijua. Je chaguzi zijazo like...
  15. Wazolee

    Hakuna sababu ya kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga kuvuruga amani na uchaguzi

    Hakuna sababu ya kuunda tume kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga Kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi Kuvuruga uchaguzi Kuharibu biashara za watu Kuharibu miundombinu ya serikali Kuliletea Taifa letu sifa mbaya Unakaaje meza Moja na watu kama hao ambao hawana tofauti na wahaini...
  16. Genius Man

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  17. Genius Man

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  18. K

    PostGE2025 Wananchi Zanzibar wajitokeza uchaguzi mdogo Fuoni

    Wananchi wa Jimbo la Fuoni lililopo wilaya ya Magharibi B mkoa wa Mjini Mgaharibi, Zanzibar wameendelea kujitokeza kushiriki katika uchaguzi mdogo wa Mbunge katika jimbo hilo. Uchaguzi huo unafanyika hii leo Desemba 30, 2025 kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Abbas Ali...
  19. DuaZaMama

    GE2025 Uchaguzi mdogo Fuoni na Siha kufanyika leo

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele, leo Desemba 29, 2025 ametoa taarifa kuhusu uchaguzi mdogo wa ubunge unaotarajiwa kufanyika Desemba 30, 2025 katika Jimbo la Siha, Mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Bara) na Jimbo la Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi...
  20. Juuchini

    PostGE2025 Askofu Mihali awaasa Wakatoliki waliofanya Udanganyifu kwenye Uchaguzi wakatubu

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa. Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
Back
Top Bottom