uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. stakehigh

    Raisi ajaye tanzania: Sheria ni siasa zinafanyika mwaka wa uchaguzi tu, baada ya uchaguzi watu waonekane wanafanya kazi nothing more or less than that

    Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan anaielewa siasa ipigwe marufuku, kipindi cha magu alivooa amri ya siasa kipindi cha uchaguzi nchi...
  2. and 998 others

    Tume ya kuchunguza maandamano ya baada ya Uchaguzi iwahoji kina nani?

    Tume huru ya mchongo iwahoji Wadau gani?
  3. G

    Kwani dini yake ndo kuiba uchaguzi kupeleka watu mochori wakiwa hai, asichafue dini kwa matendo yake

    Tumeshajua wale mashehe waliopanga kukata watu vichwa waliruhusiwa nani Lakini kwani dini yake inaruhusu wizi wa kura Kwani DINI yake inaruhusu utekaji Kwani DINI yake ndo inaruhusu kuua Kwani DINI yake ILIMRUHUSU vijana wafanyiwe mambo ya sodoma Hadi wengine wamejinyonga Hapana tusikubali...
  4. R

    PostGE2025 RC Makame: Kilichofanyika Oktoba 29 kiliratibiwa kuharibu uchaguzi na kuipindua serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Jabiri Omari Makame amesema kile kilichofanyika wakati na baada ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025 kilikuwa ni fujo, vurugu na njama za kupangwa za kuharibu uchaguzi na kuiangusha Serikali ya Tanzania Amebainisha hayo wakati wa Kikao kazi na watumishi wa...
  5. M

    Tanzania ichague kusambaratika kwa ajili ya CCM, Vita vya Udini na Ugaidi, au ikubali katiba mpya na Tume ya Uchaguzi ili ipone

    Hiki ndiyo ninachokiona mimi,tukubali kuikumbatia CCM ambayo inafanya kila aina ya hila ili iendelee kubaki madarakani huku watu wachache wakinufaika na rasilimali za inchi kwa mgongo wa Amani, au tukubali kuingiza nchi kwenye machafuko yanayokuja mbele yetu kuanzia Udini,Utanganyika na...
  6. Lanlady

    Nadhani wa kulaumiwa au kushtakiwa ni tume ya uchaguzi

    Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika vituo vya kupigia kura. Na ni kweli mabox ya kura yaliharibiwa. Je, tume ilipaswa kufanya nini...
  7. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Hata wafuasi wa vyama vya upinzani walitupigia kura kwa sababu vyama vyao vilikimbia uchaguzi.

  8. Common Folk

    Rais Samia: Vurugu zilipangwa siku ya uchaguzi kwa sababu walishajua CCM inaenda kupata ushindi mkubwa.

  9. Common Folk

    M/Kiti Baraza la Wazee DSM: Sisi tunatambua kampeni za uchaguzi na upigaji kura vilienda vizuri sana.

  10. Kurunzi

    PostGE2025 Tume ya Uchunguzi isiache kuhoji waliosimamia Uchaguzi. Waliosimamia wapo tayari kutoa ushirikiano

    Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
  11. K

    Malalamiko ya Wananchi kuhusiana na Uongozi, Uchaguzi na Rasimali za Taifa

    Malalamiko ya Wananchi wa Taifa hili siku zote imekuwa kutokuwa na Haki katika chaguzi, uongozi mbovu wa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe wananchi Lakini huyu Shetani mla damu za watu mkatili anajidanya sikio la kufa hasikii na Wala hataki kumsikiliza wananchi wake yeye anachojua ni...
  12. DuaZaMama

    PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo. 1. Kuchunguza na kubaini chanzo...
  13. Damaso

    Bei ya Mamlaka: Vurugu za Uchaguzi na Falsafa ya Uongozi Barani Afrika

    Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
  14. KEKO JUU

    Rais wa Guinea-Bissau akamatwa siku tatu baada ya uchaguzi

    Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amekamatwa na watu wenye silaha leo, siku chache baada ya uchaguzi ambao mgombea mkuu wa upinzani aliondolewa. Milio ya risasi ilisika katika mji mkuu, ingawa utambulisho wa washambuliaji bado haujafahamika. Embaló na mpinzani wake, Fernando Dias...
  15. McLaren

    Hawa ndo watu maarufu wasiopendwa zaidi Tanzania kwa sasa, hata wakianguka Watanzania watawapita kama wanaaga marehemu

    Wakuu, Huu uzi ni kwa ajili ya reference tu. Siku mambo yakirudi kuwa normal watu wapate reference Hawa wasanii kwa sasa ni lazima wawe na security guards maana ni hawakubaliki kabisa mtaani. Huyu Queen Darleen ndo alikuwa ana-advocate Watanzania wavunjwe miguu a few days before Uchaguzi...
  16. M

    Salim Ahmed Salim na uchaguzi

    SALIM SALIM SOUNDS OFF ON ELECTIONS, POLITICAL MACHINATIONS, PROSPECTS FORVIOLENCE IN ZANZIBAR Date:2005 May 17, 13:28 (Tuesday) Original Classification: CONFIDENTIAL Classified by Charge d'Affaires Michael S. Owen United States Embassy, Dar es Salaam, Tanzania In a wide-ranging two-hour...
  17. secretarybird

    Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  18. Genius Man

    PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  19. R

    PostGE2025 Rais unda tume ya kuchunguza mauaji ya halaiki wakati wa uchaguzi na si uvunjifu wa amani

    Correct naming ni hiyo. Tusimpambe maiti kuwa amesinzia. Ni kuwa Mwanadamu amekufa.
  20. N

    PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
Back
Top Bottom