uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

    Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka. Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iagize waliopita mgambo waanze mazoezi nchi nzima ili wawe tayari kuwapiga watanzania watakaoharibu uchaguzi serikali za mitaa

    Nashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani. Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
  3. JamiiForums Tanzania Serikali imetangaza kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepale licha ya malalamiko mengi kutaka usifanyike

    Waziri Mkuu akoleza uchaguzi serikali za mitaa Mwananchi, Ijumaa, November 15 2019, Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa Hakuna kulala uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepape. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kauli ya Waziri Mkuu wa Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Walijitoa uchaguzi wa serikali za mitaa Kuishtakiwa?

    Tangia mwanzoni kulikuwepo na sintofahamu kwa wagombea wa upinzani kutotendewa haki. Jambo hili lilijitokeza pia kwenye kura za maoni ndani ya ccm ambapo uongozi wa juu ulimweka mtu waliomtaka na si yule aliyependekezwa na wananchi/wapiga kura wake. Kitendo hicho kilifanya zoezi la...
  5. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya wamfagilia Magufuli

    WABUNGE wa Kenya wamemfagilia Rais John Magufuli, kutokana na kusimamia vizuri mapato na matumizi na ujenzi wa miradi, ambayo thamani ya fedha inaonekana katika utekelezaji wake nchini. Wakizungumza katika ziara nchini ya kujifunza namna Mfuko wa Jimbo unavyofanya kazi na kutembelea miradi...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2019 :Watendaji Wa Kata Wapokea Maagizo Toka Juu, Hakuna kupokea Barua Za Kujitoa Za Wagombea Wa Upinzani.

    Taarifa zinasema kuwa watendaji wa kata kote nchini wameendelea kupokea maagizo toka juu, kwamba wasipokea barua za kujitoa wapinzani wote kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Huo ni mwendelezo wa hujuma kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November mwaka huu. Wapinzani wapata...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Siasa ya kujitoa: Hata CCM ilitakiwa kujitangaza kuwa imejitoa kwenye uchaguzi

    Jamii yoyote huongoza Kwa misingi ya Sheria na Sheria ya uchaguzi inasema Chama KAZI yake ni kuteuwa wagombea pekeyake . Vyama vyote vimefanya hivyo ni muda wa CCM kutangaza kujitoa ili WAIACHIE mifumo ifanye KAZI yake... KAZI kwako Polepole
  8. JamiiForums Tanzania Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kutokulipwa posho yao, (is it a reverse reaction?)

    Nawasalimu kupitia ,Newton's third law of motion which states that, "To every action there is an equal action but opposite in direction" Kuna taarifa zimeanza kuvuma kuwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi hawatapata chochote maana kazi waliyokuwa wametumwa kuifanya imefikia tamati,yaani the game...
  9. JamiiForums Tanzania Wapinzani wamekimbia aibu ya kushindwa uchaguzi s/mtaa

    Hapa ndio naonaga vyama vya upinzani ni vyakupigia dili tu. Sasa kuna sababu gani ya kukimbia uchaguzi ambayo utamweleza mgombea wa chama chako akakuelewa l baada ya kuwekeza kwa muda miaka yote hiyo. Jamani viongozi wa vyama vya upinzani ebu weken huruma mbele kwanza wafikilieni na hawa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Wapinzani Chukueni Tahadhari, Njama Walizopanga CCM Kuelekea Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa 2019

    Chama cha mapinduzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi huu, kimepanga yafuatayo baada ya mipango ya awali kufeli, mipango iliyohusisha maelekezo kwa Watendaji wa kata, makatibu tawala wa wilaya, maafisa usalama wa taifa wa wilaya na waziri waziri mwenye dhamana wa Tamisemi. Sina haja...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai alalamikia uamuzi wa Halmashauri Kuu kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa. Amedai kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais umefanya yote haya, kwanini unaogopa uchaguzi?

    Unajenga Reli ya Kisasa/SGR Unajenga Flyovers/Ubungo Unanunua ndege kibao Unajenga Barabara Njia 8 Unatoa Elimu bure Unajenga Hostel UDSM Unajenga Daraja Baharini! Unajenga Ukuta Mererani Unasema umefuta UFISADI Unasema CHADEMA imekufa! Unazuia Mikutano ya Hadhara 4 Years Unasema Unapendwa na...
  13. JamiiForums Tanzania NLD nayo yajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha upinzani cha NLD nchini Tanzania kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa nchini humo utakaofanyika Novemba 24, 2019. NLD inaungana na vyama vingine sita kususia uchaguzi huo. Vyama hivyo ni; Chadema, ACT- Wazalendo, UPDP, CUF, Chaumma pamoja na NCCR-Mageuzi. Taarifa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Polepole amshukia Hashim Rungwe Sipunda kama mwewe, ashangaa wamejitoa wapi wakati hawakuwemo kwenye uchaguzi

    Mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amesema anamshangaa sana mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda kwa kudai chama chake kimejitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Polepole amesema CHAUMMA hakikuwepo kwenye uchaguzi kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja wa chama hicho...
  15. JamiiForums Tanzania Wasanii jitambueni msitumike kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24

    Wasalaam, Nimesikia tangazo kutoka radioni linalomuhusu msanii wa bongo fleva Joe Makini Mwamba wa Kaskazini akihamasisha wananchi kupigia kura CCM Nov 24 kabla hata kampeni hazijaanza nikajiuliza amepewa shilingi ngapi na itamsaidie nini? Katika uchaguzi huu ambao mshindi ameshajulikana watu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru mbona uko kimya kwa hili la uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana! Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean! Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ambaye amekwazwa na shughuli za uchaguzi akalalamike kwenye Bunge au Mahakama za Afrika Mashariki – Naibu Waziri wa Katiba na Sheria

    Serikali imewataka watu ambao hawaridhiki na mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, bado wanayo fursa ya kufungua kesi kwenye Mahakama za Afrika Mashariki au kushtaki katika Bunge la Afrika Mashariki. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro leo...
  18. JamiiForums Tanzania Uchaguzi umeua upendo wa Watanzania kwa Selemani Jafo (Character assassination)

    Najiuliza, je ni mpango maridhawa wa baadhi ya wanao muogopa? Maana majina yaliyokuwa yanahusishwa na kumrithi JPM ni huyu bwana. Mh Majaliwa na Mh Lukuuvi hawa wajanja wawili kukiwa na jambo la kuboronga sana huwa wanakaa kimya si kwa bahati mbaya wanacheza bila kuharibu taswira yao kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru

    Ibara ya 74 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inatamka kwamba, “Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa na Rais: (a) Jaji wa Mahakama Kuu au Jaji wa Mahakama ya Rufani, ambaye atakuwa mwenyekiti; (b)...
  20. JamiiForums Tanzania UPDP nayo yajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Hayo yamebainishwa leo na Mh Fahmi Dovutwa alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ambapo amewaagiza wagombea wote wa chama hicho nchi nzima kutoshiriki uchafu huo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…