Rais umefanya yote haya, kwanini unaogopa uchaguzi?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Unajenga Reli ya Kisasa/SGR
Unajenga Flyovers/Ubungo
Unanunua ndege kibao
Unajenga Barabara Njia 8
Unatoa Elimu bure
Unajenga Hostel UDSM
Unajenga Daraja Baharini!
Unajenga Ukuta Mererani
Unasema umefuta UFISADI
Unasema CHADEMA imekufa!
Unazuia Mikutano ya Hadhara 4 Years
Unasema Unapendwa na Wananchi

Inakuwaje uogope Uchaguzi mpaka utumie Ma-WEO, Ma-VEO, na Polisi wakati wewe umeleta maendeleo? #ChangeTanzania

Share zaidi
 
Pesa na mali haviwezi kuondoa haki kwa mtu, huyu hapendwi kwa kuwa hatendi haki yote afanyayo anajigamba akidhani ndio watu wanacho penda, kuna mwanamke mmoja Arusha mumu wake alikuwa anafanya kazi UN ICTR, wamejenga gorofa, wana magari mazuri ya kutembelea yule mama alijinyonga akafa, aliacha maswali mengi sana maana aliacha ujumbe asilaumiwe mtu, nimechoka na haya maisha. Mafukara tukabaki midomo wazi why? Haya maisha yake kila mtu alikuwa ana yatamani...Magu anatesa san.
 
Hakuna anyeogopa uchaguzi kwani ni nani katia mptra kwapani,fuateni sheria na taratibu,tatizo mnashinda sana mitandaoni kiasi mnasahau mnakuwa hamjui hata kujaza fomu.
 
Hakuna anyeogopa uchaguzi kwani ni nani katia mptra kwapani,fuateni sheria na taratibu,tatizo mnashinda sana mitandaoni kiasi mnasahau mnakuwa hamjui hata kujaza fomu.
1573679344507.jpeg
 
Back
Top Bottom