Polepole amshukia Hashim Rungwe Sipunda kama mwewe, ashangaa wamejitoa wapi wakati hawakuwemo kwenye uchaguzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
23,863
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
23,863 2,000
Mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amesema anamshangaa sana mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda kwa kudai chama chake kimejitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Polepole amesema CHAUMMA hakikuwepo kwenye uchaguzi kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja wa chama hicho aliyechukua fomu za kugombea.

Kadhalika chama hicho hakikupata kura hata moja katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Pia CHAUMMA hawana ofisi Mikoani, Wilayani wala kwenye Kata sasa wanajitoa kutokea wapi?......ameuliza na kushangaa ndugu Polepole.

Chanzo: Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Mromboo

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
1,651
Points
2,000

Mromboo

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
1,651 2,000
Mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amesema anamshangaa sana mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Spunda kwa kudai chama chake kimejitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Polepole amesema CHAUMMA hakikuwepo kwenye uchaguzi kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja wa chama hicho aliyechukua fomu za kugombea.

Kadhalika chama hicho hakikupata kura hata moja katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Pia CHAUMMA hawana ofisi Mikoani, Wilayani wala kwenye Kata sasa wanajitoa kutokea wapi?......ameuliza na kushangaa ndugu Polepole.

Source Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo amekuja kuzungumzia mambo ya ccm au wapinzani? Aeleze mikakati ya chama chake aache kujitia aibu.
 
Forum statistics

Threads 1,363,986
Members 520,596
Posts 33,303,219
Top