Baada ya vyama vya upinzani kususia kushiriki uchaguzi kwa ngazi ya serikali za mitaa, tumeshuhudia makundi mbalimbali hapa nchini yakitoa matamko ya kuungana na serikali na mengine wakipinga uchaguzi huo kutokana na rafu za CCM.
Mwishoni mwa juma, kanisa katoliki kupitia TEC walitoa msimamo wao kuungana na serkali na kuhamasisha waumini wao washiriki uchaguzi.
Pia sisi waislamu tunaomba tujue, msimamo wa masheikh wetu ni upi kuhusiana na uchaguzi huu, je wanaunga juhudi za mkulu na serikali yake?
BAKWATA na mashehe wote tunaomba mtutangazie tujue na sisi.
Chifyono