uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Israel: Mahakama yaamuru Bunge lifanye uchaguzi wa Spika mpya bila kisingizio cha Corona

    Mahakama ya juu nchini Israel imeamuru spika wa bunge aandae uchaguzi wa mrithi wake kufikia Jumatano ijayo, amri inayoongeza mkwamo uliopo kati ya wapinzani na wanaomuunga mkono waziri mkuu Benjamin Netanyahu. Spika wa sasa Yuli Edelstein wa chama cha Likud cha Netanyahu alikuwa amepuuzilia...
  2. JamiiForums Tanzania Membe anaweza saidia sana katika mchakato wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Vyama vya siasa vinavyo jitambua ambavyo vimeanzisha mchakato wa kudai Tume Huru ya uchaguzi vinaweza kucheza vizuri karata kama watamtumia Bernard Membe. Namshauri Membe kutojiunga na chama chochote cha siasa ili kile anachokiamini kiweze kufanikiwa, apigane hii vita akiwa kama mwanaharakati...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

    Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi . Mungu ibariki Chadema
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchaguzi Tanzania kusogezwa mbele

    Zilizovuja ni kuwa Meko amecopy kwa dikteka mwenzake Museveni kusogeza uchaguzi mbele. Ila tunawakumbusha mataga, tutadai tume huru mpaka itakapopatikana
  5. JamiiForums Tanzania Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli (kulia) USULI Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa waraka wa Kwarezima ya 2020. Katika makala hii nafupisha, kutafsiri na kutumia hoja yao yenye madokezo makuu saba, katika kuonyesha kwamba Tanzania inayo Katiba...
  6. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Naomba Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 hili liwe Baraza la Mawaziri

    Naomba uchaguzi Mkuu mwaka 2020 ili liwe baraza la Mawaziri kwa maoni yangu, lakini pia unaweza kukosoa na kupendekeza manaibu wao. Rais - Lissu (Chadema) Waziri Mkuu - Juma Assad (Hana chama) Makamo wa Rais - Bernard Membe (Hana chama) Uchukuzi na Mawasiliano Bashe (CCM) Waziri wa Mambo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar yatazamwa kwa umakini kuelekea Uchaguzi Mkuu

    As Tanzania prepares for a general election this year, Zanzibar, a hotbed of opposition politics, seems to be receiving attention from both development partners and the government in Dar es Salaam. Last week, President John Magufuli held a closed-door meeting with three Zanzibari opposition...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Nyakati: Mbatia, Prof Lipumba, Maalim Seif na Mrema watarejea CCM kabla ya Uchaguzi Mkuu. CHADEMA itabaki kwa mzee Mtei

    Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi. Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo? Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

    Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge. Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba. Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kipanya: uhusiano wa karibu uliopo kati ya Corona Virus na Tume Huru ya Uchaguzi

  11. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa 2020, Kukumbuka shuka kumekucha, is it too little too late kwa CHADEMA or better late than never?

    Wanabodi, Unapotoa ushauri fulani ukapuuzwa, katika ushauri huo ukashauri the right thing to do na matokeo ya kutofuatwa kwa ushauri huo, halafu baada ya kupata matokeo, sasa ndio wanaamka, wanakumbuka shuka kumekucha, na sasa ndio kuanza kujipanga, japo ni kwa kuchelewa lakini ile kujitambua...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajutia kupokea waliokatwa CCM na kudai haitapokea tena katika uchaguzi mkuu

    Chadema yajutia kupokea waliokatwa majina CCM CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinajutia uamuzi kiliochukua wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kuchukua wale waliokatwa kutoka CCM ambao sasa wamerejea katika chama chao cha zamani. Akizungumza ofisi za Makao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama wapinzani wanaohamia CCM wanaahidiwa kugombea, Je CCM asilia hawatagombea uchaguzi ujao?

    Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia Chama Cha Mapinduzi ili kuweza kuona kama wanaweza kurudi bungeni. Nimekuwa nikijiuliza Sana hili swali kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli heshimu maamuzi ya wananchi kupitia sanduku la kura kwenye Uchaguzi Mkuu mwishoni mwa mwaka huu

    Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na haki, lakini maneno na vitendo vya viongozi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Mkuu mwaka huu unawatesa sana CCM

    Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani. CCM wanateseka hasa kuhusu idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura hasa ukizingatia kua uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi itumike nguvu ya ziada ya wakuu wa wilaya kutisha wanachi kwenda kupiga kura na kutishia kuwakataa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Uchaguzi mkuu utakuwa Huru na Haki kama ilivyokuwa miaka yote Jumuiya ya kimataifa msiwe na wasiwasi

    Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameihakikishia Jumuiya ya kimataifa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki hivyo wasiwe na wasiwasi. Prof Kabudi amesema bunge limeboresha sheria ya vyama vya siasa ili kuondoa malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wanasiasa. Kabudi...
  18. JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara ya Tume ya Uchaguzi?

    Salam wana JF Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wananchi, wanasiasa, viongozi wa dini, taasisi mbalimbali pamoja na baadhi ya Viongozi wastaafu kutaka iundwe Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, 2020. Upande wa pili kumeibuka kundi linalopinga uwepo wa Tume Huru ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi tunaomba ufafanuzi kwenye hili

    Huyu mtu mmoja kwanini ana vitambulisho viwili ?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hofu ya uchaguzi ujao: Nadharia kuu ya hama hama ya wapinzani maslahi

    Habari iwe nanyi wakuu! Kwanza niseme wazi kuwa hakuna jambo kubwa katika maisha kama kujitambua, kutambua utu na thamani yako. Mtu anayejitambua na kutambua utu wake hata akiwa na njaa kiasi gani hawezi kula chakula kilichopakwa mate na mtu aliyeshiba. Kama atafanikiwa kukishika atakirusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…