CHADEMA itaongozwa na wanachadema wenyewe tunawatakia uchaguzi mwema

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Kiukweli Chadema itaongozwa na wanachadema wenyewe kama ilivyo UDP ya mzee Cheyo, TLP ya Mrema, Nccr ya Mbatia na Chauma ya mzee Rungwe ambavyo vinaongozwa na wanachama wa vyama husika.

Ya ngoswe mwachie ngoswe.

Sherehe siyo yako kiherehere na masufuria na masinia cha nini?

Kwa niaba yangu mwenyewe na wanalumumba tunawatakia makamanda uchaguzi mwema!
Siasa siyo uadui

Maendeleo hayana vyama!
 
Naunga mkono hoja, ila pia kwa vile Chadema kinaendeshwa na fedha za ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama, hizo ni fedha zetu, hivyo sisi wananchi pia tuna haki ya kutoa maoni yetu yoyote kukihusu Chadema kwasababu ya kodi zetu.

Kuhusu upinzani Tanzania, tuligundua hili

Na kwa Uchanguzi wa leo, tumewashauri

Tunawatakia uchaguzi mwema.
P
 
Hatimaye Sungura akasema "Sizitaki Mbichi Hizi"
 
Mbona uchafuzi uliopita haukutoa ushauri kwa CCM?
Naunga mkono hoja, ila pia kwa vile Chadema kinaendeshwa na fedha za ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama, hizo ni fedha zetu, hivyo sisi wananchi pia tuna haki ya kutoa maoni yetu yoyote kukihusu Chadema kwasababu ya kodi zetu.

Kuhusu upinzani Tanzania, tuligundua hili

Na kwa Uchanguzi wa leo, tumewashauri

Tunawatakia uchaguzi mwema.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona uchaguzi uliopita haukutoa ushauri kwa CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile JF kuna wakati mabandiko yanapanda mengi kwa kasi kama umeme, hivyo inawezekana mabandiko haya yalikupita
Kwanza nilianza na ombi maalum kwa watu maalum

Kisha baada tuu ya Chadema kujitoa, nikatuma ombi maalum kwa rais Magufuli ambalo lilikubaliwa ile kesho yake tuu

Na baada ya ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwa CCM uchaguzi wa serikali za mitaa pia nikatoa pongezi zangu kwa CCM kwa ushindi huo na kutoa angalizo kwa wapinzani kuwa wembe uliotumika kuwanyoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni wembe huo huo utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi Mkuu wa 2020.
P.
 
Naunga mkono hoja, ila pia kwa vile Chadema kinaendeshwa na fedha za ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama, hizo ni fedha zetu, hivyo sisi wananchi pia tuna haki ya kutoa maoni yetu yoyote kukihusu Chadema kwasababu ya kodi zetu.

Kuhusu upinzani Tanzania, tuligundua hili

Na kwa Uchanguzi wa leo, tumewashauri

Tunawatakia uchaguzi mwema.
P
Tangu lini wewe ukaitakia mema cdm

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, ila pia kwa vile Chadema kinaendeshwa na fedha za ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama, hizo ni fedha zetu, hivyo sisi wananchi pia tuna haki ya kutoa maoni yetu yoyote kukihusu Chadema kwasababu ya kodi zetu.

Kuhusu upinzani Tanzania, tuligundua hili

Na kwa Uchanguzi wa leo, tumewashauri

Tunawatakia uchaguzi mwema.
P
Uko sahihi......la tusiwasahau na akina Cheyo wa UDP kuwapa ushauri!
 
Ushauri unatolewa only to those who matters most, umeishawahi sio tuu kumsikia Msajili wa vyama akizungumzia uchaguzi wa viongozi wa UDP, TLP or vile vyama vingine 21?. Mzee Cheyo, Mrema, Rungwe kina Dovutwa doesn't matter much.
Chadema matters a lot.
P
 
Kiukweli Chadema itaongozwa na wanachadema wenyewe kama ilivyo UDP ya mzee Cheyo, TLP ya Mrema, Nccr ya Mbatia na Chauma ya mzee Rungwe ambavyo vinaongozwa na wanachama wa vyama husika.

Ya ngoswe mwachie ngoswe.

Sherehe siyo yako kiherehere na masufuria na masinia cha nini?

Kwa niaba yangu mwenyewe na wanalumumba tunawatakia makamanda uchaguzi mwema!
Siasa siyo uadui

Maendeleo hayana vyama!
Hongera sana,leo ndyo umekuwa binadamu kamili...endelea kuwa na moyo huo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom