uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka Sentensi hii ya Mwenyekiti wa chama huwa nawaashangaa wanaoamini watakuwa wabunge katika uchaguzi ujao

    Mwenyekiti wenu alitamka maneno kadhaa akiashiria kuwa ili mtia Nia yeyote kupitishwa kuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi itategemea siku hiyo ameamkaje" Sasa kwa sentence hiyo nawashangaa wale ambao wametangaza Nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho lakini wao moja...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna dalili zote kuwa endapo kutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi, umoja wa Upinzani unaweza kuchukua nchi Oktoba 2020

    Wote ambao mmekuwa mkifutilia rallies za vyama vya upinzani (hapa "upinzani" strictly ninamaanisha ACT & Chadema) hapana shaka mtaafikiana nami kuwa mwamko wa wananchi ku support kambi hii ni mkubwa sana pamoja na uwepo wa vitisho kutoka vyombo vya dola. Imagine kusingekuwa na ukandamizaji huo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tathmini: Hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu 2020

    Kuelekeaa uchaguzi mkuu 2020, kama mtanzania wa leo, nimekuwa pia nikifuatilia harakati hizi na kwa nionavyo huu hapa ndiyo ulio ukweli mchungu: Pana watu wamejivika kuwa washauri wa upande wa upinzani kuwaasa hatari kuhusu uwezekano wa kwenda na Membe. Ukiangalia ushauri wao na maonyo yao...
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Majimbo manne ya uchaguzi yafutwa na kubakiza Majimbo 50

    Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18. Haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe kufanya jambo hilo au imetumwa ili kuwaokoa watu fulani na wala hakuna sababu zozote za maana...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020: Watanzania mnaokaa nje ya nchi acheni uzembe, rudini kuchagua Rais na viongozi wengine

    Dada na kaka zangu mlio nchi za nje, mtapoteza haki yenu ya kuchagua viongozi hadi lini, jitahidini mrudi nyumbani Tanzania October hii mpige kura ili muache kulalamika kwa kuchaguliwa viongozi msiowataka. Mkija msitusahau kuja na zawadi ya Pizza na baga,pia mje na wajomba na shangazi wetu...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

    Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu. Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote. === Aliingia...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni haki tena ni vema Rais Magufuli akapita bila kupingwa uchaguzi mkuu 2020

    Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli. Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chonde chonde upinzani, uchaguzi huu msiazime wagombea

    Mwaka 2015 Chadema iliazima mgombea kutoka chama tawala ikitarajia kushinda kwa kishindo, matokeo yake wote tunayafahamu waliangukia pua. Baadaye mgombea huyo aliwatelekeza na kurudi nyumbani kwake, wakashindwa kumchafua kama wanavyofanya kwa watu wengine wanaokihama chama hicho kwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020: Nimeanza ziara binafsi mikoa mbalimbali Tanzania Bara. Nitawaambieni hali halisi

    Wapendwa wangu wa JF nawasalimu nyote. Kuanzia makada wenzangu wa CCM na watadi wetu wa jadi CHADEMA na wapinzani wote kwa ujumla, nawapa taarifa. Mimi Mzee Tupatupa wa Lumumba, kwa gharama zangu mwenyewe na safari zangu binafsi, leo nimeanza safari za mikoa mbalimbali hapa nchini kuangalia...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio watakuwa wasimamizi wa uchaguzi 2020

    Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu? How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika? Tusikilize majibu #ChangeTanzania
  12. JamiiForums Tanzania Malawi: Kiongozi wa upinzani, Lazarus Chakwera ashinda Uchaguzi

    Maelezo ya picha Mwanga wa siasa ya Lazarus Chakwera ulifufuliwa baada ya mahakama kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera ameshinda duru ya pili ya uchguzi wa urais, maafisa wanasema. Alimshinda rain aliyekuwa rais wa nchi hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?

    Membe anahoji: "Je Tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi bila kuwa na tume huru? Tume huru ya Uchaguzi ndugu zangu, maana yake ni kwamba uwe na Tume katika ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ambayo ina watu wa aina zote. Wa dini zote, vyama vyote, aina zote za Elimu, Wanasiasa Maarufu bila kujali...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mambo yatakayoishangaza dunia Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo; 1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kula ruzuku peke yake bila kuvigawia vyama shirika uchaguzi wa 2015 Msajili abadili kanuni na kuweka masharti magumu!

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 vyama vitakavyotaka kushirikiana ni lazima viingie mkataba wa kisheria na kuweka wazi maeneo ya ushirikiano wao. Msajili msaidizi mh Nyahuza amesema uchaguzi wa mwaka 2015 uliacha vidonda baada ya chama kimoja kilichoungwa mkono kupitia UKAWA kuvisahau...
  16. JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu nchini Malawi?

    Siku ya Jumanne ya terehe 23/06/2020 Wananchi nchini Malawi, walipiga kura katika uchaguzi wa marudio, baada ya yale ya awali yaliyompa ushindi Rais aliyeko madarakani, Peter Mutharika, kutenguliwa na Mahakama ya kikatiba nchini humo. Tukumbuke kuwa Peter Mutharika alitangazwa na Tume ya Taifa...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi, CHADEMA sasa wafika pabaya. CHADEMA waanza kuwindwa kama wahalifu (Video)

    Inaonekana ukiwa mwana CHADEME kwa sasa ni zaidi ya gaidi. Hapa wana CHAEMA walikuwa wanaenda kumlaki Mbunge wao anayerejea kuja kutoa shukrani za uaminifu kwao sasa inaonekana wezuiwa. Swali, mbona kwa CCM haya ni ya kawaida? Hivi ni moja ya vitu vinavyomfanya Rais Magufuli kuonekana kuendesha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nyalandu kwa Interview hii umepoteza uhalali wa kumkabili Dkt. Magufuli kwenye uchaguzi wa Oktoba 2020

    Nimesikiliza mahojiano baina ya Mtia nia wa kugombea uraisi wa Chadema ndugu Nyalandu na kituo cha redio cha wasafi. Nyalandu ameulizwa swali kuhusu Twiga waliokuwa wakitoroshwa nje ya nchi kwa kupandishwa ndege. Katika majibu yake Nyalandu anaonyesha kujibu huku akimrefer raisi Magufuli kama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nani hufanya fujo wakati wa Uchaguzi?

    Hivi majuzi IGP Sirro alikaririwa akitoa onyo kali kwa wale watakaoleta fujo katika uchaguzi mkuu ujao. Onyo kama hili limekuwa likitolewa pia kwa nyakati mbali mbali na viongozi waandamizi wa serikali. Binafsi nimepiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1970, na baada ya hapo nimekuwa nikipiga kura...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, utabiri wa Mwalimu Nyerere kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM kuanza kutokea katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM. Kutokana na kujitokeza kwa mwanasiasa, Bernard Membe kudai kuwa amepania kuchukua fomu ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…