uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 REDET: Uchaguzi ulikuwa Huru na wa Haki

    Mtafiti Mkuu Tanzania kupitia taasisi ya Redet Prof Mukandara amesema uangalizi wa taasisi yake umegundua uchaguzi ulikuwa huru na wa haki. Prof Mukandara amesema 44% ya waangalizi wake wamesema uchaguzi ulikuwa huru na haki na haukuwa na hitilafu yoyote ile. Na 40% ya waangalizi wake wamesema...
  2. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa Uchaguzi, aliyepata ushindi wa kishindo wa asilimia 94.27 ya kura

    Katika uchaguzi wa rais uliofanyika Cote d'Ivoire siku ya Jumamosi, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi imemtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi kwa asilimia 94.27 ya kura zote zilizopigwa Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa uchaguzi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi watoa msimamo wa chama juu ya Uchaguzi Mkuu

    3 November 2020 Ofisi ya Makao Makuu Chama cha NCCR-MAGEUZI Dar- es Salaam, Tanzania #LIVE NCCR MAGEUZI WATOA MSIMAMO WA CHAMA JUU YA UCHAGUZI MKUU NCCR-MAGEUZI ina uthibitisho kuwa mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia matayarisho na maandalizi ya usimamizi wa uchaguzi ngazi za wakurugenzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwa Upinzani tunapojiandaa na Uchaguzi wa 2025

    Uchaguzi huu umekwisha na Upinzani unapaswa kucheza karata zake vizuri ili kuepusha majanga mengine mwaka 2025. Kelele za kutaka uchaguzi urudiwe hazitozaa matunda sasa ambapo hata maandamano tu ya kupinga Mbowe kupewa kesi nzito yamefail. Nini kifanyike 1. Wale Wapinzani wawili walioachiwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

    Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho. Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
  6. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika tupieni jicho Uchaguzi wa Marekani

    Leo ni siku ya Uchaguzi Mkuu Nchini Marekani ambapo Mwanasiasa Nguli Joe Biden atakuwa akichuana vikali na rais wa sasa wa Marekani Ndg. Donald Trump. Katika Uchaguzi huu wa mwaka huu Joe Biden anaonekana kuwa na nguvu zaidi ya Donald Trumpn kwani tafiti zinaonyesha kuwa uwezekano wa kushinda...
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2020 ni chanzo kizuri cha mapato kwa wanasheria mwaka 2021

    Kutokana na ukiukwaji mkubwa wa sheria, kanuni, na taratibu za Uchaguzi Mkuu 2020 zikizowaweka madarakani wezi wa kura kwa mbinu chafu zikiweko kura feki, wanasheria mkae mkao wa kula. Mna chanzo kizuri sana cha mapato baada ya wezi hawa kuapishwa. Ushahidi wa wizi huu upo kila kituo, kila...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na baadhi ya mambo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu. Pia wamesikitishwa na malalamiko ya upinzani kutopewa nafasi sawa pamoja na kuwa na nafasi finyu kwa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Mkuu Tanzania urudiwe

    Kama watumishi wa umma waliokuwa na vyeti feki walifutwa kazini hali kadhalika viongozi walioingia madarakani kwa kura feki waondolewe wote. Uchaguzi Mkuu urudiwe. Ulijaa wizi wa kura ngazi zote kuanzia Urais mpaka Udiwani.
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

    Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa. Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini uchaguzi wa Tanzania ni world news?

    Huwa najiuliza Tanzania yetu ni nchi ya kawaida na tupo kivyetuvyetu kutokana na utamaduni wetu ni very conservative na lugha yetu ya mambo yote haijulikani to the outside world lakini utashangaa namna tupo effective kwenye worlds headlines Kuna jambo la kawaida tu linaweza kutokea Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Mawakala wa vyama vya upinzani kusaini fomu za matokeo ni njia moja inayoashiria kwamba zoezi la sehemu husika lilifanyika vizuri

    Wana Jamvi, Nina furaha kubwa kuona kwamba kama watanzania, tumeweza kupokea matokeo yote kwa utulivu na ku kubaliana na hali tuliyo nayo sasa hivi. Kipindi ambacho mengine yana endelea, yakiwemo kuapishwa kwa viongozi, ni vyema ku angalia upande wa pili na ku sikiliza hoja za ambao hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu msaidie Trump ashinde uchaguzi kesho

    Mzuka wanaJF! Baba Muumba wa mbingu na nchi na mkambidhi President Donald Trump achaguliwe tena muhula wake wa pili. Silaha aliyoishika ni hatarii na ndio itamrudisha tena White House. Die hard Trump supporter!
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

    The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of Tanzania of serious electoral irregularities, violence and of deaths, particularly in Zanzibar...
  15. JamiiForums Tanzania Upinzani mmecheza karata nzuri kuhakikisha wote mnakamatwa na polisi ndani ya kipindi kifupi tu baada ya uchaguzi

    Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote waliokuja kuangalia na kuripoti ulivo kuwa walisema uko huru na haki. Lakin sasa kwa hali inavoendelea...
  16. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

    We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians. NB: Kwa wale...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Wasimamizi wa Vituo vya Uchaguzi dhambi mliyotenda itawamaliza pamoja na vizazi vyenu

    Niko hapa nimekutana na "jamaa" yangu aliyekua msimamizi mkuu wa kituo. Daah! Yani nna hasira kweli kweli! Hivi inakuaje mmekula kiapo tena kwa kushika biblia alafu unarudi kituoni mnafanya dhambi? Watendaji wa kata/vijiji inakuaje mnaamuru kura za upinzani ziharibiwe? Nyie wasimamizi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Maalim Seif kuingia kwenye GNU ni mkubwa iwapo tu Jumuiya ya Kimataifa itashindwa kurejesha uchaguzi mpya Tanzania

    Haya ni maoni yangu binafsi. Kwanza nianze kusema inaelekea baada ya robo karne ya vyama vingi, sasa kuna mwelekeo mpya duniani. Haiwezekani mfumo wa vyama vingi hadi Leo Afrika ndio sababu ya mauaji na chuki na kwamba walioleta vyama vingi wameshindwa kuweka nguzo imara ili kila taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Biden aongoza kwa point 10 katika hojaji iliyofanywa kabla ya uchaguzi

    Mgombea urais kwa kupitia chama cha Democratic nchini Marekani, Joe Biden, anaongoza kwa point 10 dhidi ya rais wa sasa wa nchi hiyo, Donald Trump. Hojaji iliyofanywa na Shirika la Habari la NBC na gazeti la Wall Street imeonyesha kuwa, idadi ya wapiga kura walioandikishwa kumuunga mkono Joe...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye uchaguzi ndani ya umoja wetu wa kufa na kuzikana vipo vituo vingi mawakala waligeuka wapiga kura wa mgombea mwenye nguvu

    Natamani hapa nilipo ningeletewa mashekhe,wachungaji,mapadre na waganga wakienyeji waniapishe ili nikisema uongo basi nguvu za kiroho za kokote baina yao zinihukumu. Hapa mtaani kwetu tuna chama chetu cha kufa na kuzikana na huwa tunagawana madaraka kila baada ya miaka mitano.Kwenye uchaguzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…