uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid Mohammed: CCM haina uwezo wa kushinda uchaguzi ulio huru Zanzibar

    ..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
  2. JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro ameharibu uchaguzi wa ndani kwa kuchukua fomu za wagombea wa Kata zote kabla hazijajadiliwa

    Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022, tena ukizingatia kuwa tangu uteuliwe kuwa Katibu mkuu wa CCM huu ndio uchaguzi wako wa kwanza, nenda Jimbo la Hai ukajifunze somo la uchaguzi wa CCM kutoka kwa Katibu wa CCM wa wilaya ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Madikteta wote walishinda uchaguzi wa kidemokrasia lakini hawakuwa na maono

    Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima, Bungeni leo Juni 21, 2022 "Inapotokea utawala mmoja unamaliza na kuingia utawala mwingine, na kwa sababu mtazamo wa utawala uliopita ni tofauti na unaokuja, inabidi viongozi wengi sana wabadilike kwa sababu inaonekana kwamba maono mapya yanaingia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mke unakuwa ni mgumu sana

    Nimekua kwenye mahusiano na mdada mmoja tangu 2009, kipindi hicho bado watoto wadogo kabisa ndo t umejuana then tukawa tunawasiliana tu kwa simu Na kuna miaka tunapotezana, mwaka 2021 tukaonana baada ya miaka kama 8 hivi na mzigo ndo nikapewa kwa mara ya 1 tangu tumejuana, yeye anaishi Dar mm...
  5. JamiiForums Tanzania Utafutaji wa kura maeneo kame, Kenya unavyochochea mgogoro wa Loliondo

    Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na shida zao. Ukimya huu wa Tanzania hata kwa Dunia ni nchi ambayo iliamua kutochagua upande wowote hata...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada katika uchaguzi wa fani

    Habari wapambanaji Naombeni mwenye uelewa kati ya fani hizi mbili ni ipi bora Kwa wakati wetu huu kuisoma Procurement and supply management Marketing
  7. JamiiForums Tanzania Historia ni mwalimu: Augustino Mrema alivyowika na Kashfa ya Loliondo uchaguzi mkuu wa mwaka 1995

    HISTORIA NI MWALIMU; MH AUGUSTINO LYATONGA MREMA ALIVYOWIKA NA KASHFA YA LOLIONDO UCHAGUZI MKUU WA URAIS MWAKA 1995. Leo 10:15 hrs 12/06/2022 Issue ya Wamasai Ngorongoro imemuibua Tundu Lissu na kashfa ya Loliondo,kwanza kabisa suala la kashfa ya Loliondo lilikuwa ni zito sana, shukrani kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Hello great thinkers... Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu. Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais. Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote) Mimi naona...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe kuwa Tume ya Uchaguzi na Wakurugenzi ni watu, wakidhibitiwa 2025 hili genge linalowadharau Watanzania halishindi uchaguzi kwa namna yoyote

    CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau. Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana. Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Mtandao wa Tiktok washutumiwa kwa uchochezi kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Katika utafiti uliofanywa na Odanga Madung, mtafiti kutoka Taasisi ya Mozilla, ulibaini kuwa watumiaji wa TikTok nchini Kenya wanaonyeshwa video ambazo ni za matusi, zinazochochea vurugu au habari za uwongo za kisiasa Inaelezwa kuwa zaidi ya video 130 zilizohusishwa na akaunti 33 zilitazamwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

    BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan, Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money"...
  12. JamiiForums Tanzania Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

    Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka. Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekufa, vimelala au vinasubiri Uchaguzi Mkuu?

    Vyama vya upinzani vimekufa au vimelala au vinasubiri uchaguzi mkuu utangazwe? Ndio wazuke na kudai tume huru na Katiba mpya, ile kasi imeenda wapi? Mwisho wa siku mtaambiwa siku hazitoshi kwani uchaguzi unakaribia. Tunahitaji muamko sio mgawanyiko katika madai husika ya Tume huru ya uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu uchaguzi Bunge la Afrika Mashariki

    Wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamu kuhusiana na uchaguzi bunge la Afrika Mashariki, mwaka wa uchaguzi ni lini? Je, kuna utaratibu gani kuchukua fomu mpaka kugombea? Natanguliza shukrani.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

    TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao. Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

    Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri. Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020? Kama alikuwa anakubalika kwannini...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

    Sikiliza mahojiano yake kuhusu Mawakili kupunguziwa gharama, asema ni uamuzi wa kukurupuka
  18. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Mkuu Kenya 2022 Kwanini Wakikuyu?

    Wagombea wa vyama vikubwa kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya 2022 wameweka wagombea-wenza (Running mates) toka kabila kubwa la Wakikuyu. Aidha, mgombea-mwenza wa Kenya Kwanza Mhe. Rigathi George Gachagua amepatikana na tuhuma za kufisadisha $65ml sawa na Euro 53ml. Hii inawezakuwa kikwazo kwake kama...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wabunge wa EALA 2022

    Nashauri upatikanaji wa Wabunge wa EALA Tz tuzingatie umakini, haki na weledi. Tukiendekeza tabia za wajumbe tumepata hasara. Sasa hivi desturi ya dunia hii ni kunyang'anyana fursa. Kama tutapeleka Wabunge wasio na sifa za weledi hakika tutapoteza. Sasa hivi baada ya uchaguzi wa Kenya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mtizamo wako kuhusu Rais Samia ulingoni na Tundu Lissu uchaguzi 2025

    Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi. KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…