uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanafunzi wa Idete Sekondari wawaomba Vijana wamchague Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu

    Wanafunzi wa Kidato cha Tano kutoka Shule ya Sekondari Idete wamewaomba wanafunzi wenzao waliofikisha umri wa kupiga kura kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Wameonyesha furaha yao wakimtaja Dkt. Samia kama kiongozi anayewapa hamasa ya kukazana kimasomo ili...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mabango ya Kigwangalla, ya kumnadi rais Samia yapigwa stop Nzega Tabora

    Katika hali isiyo ya kawaida, sintofahamu iliibuka Septemba 10, 2025 wakati wa siku ya kwanza ya kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora zilizofanyika Wilayani Nzega, baada ya mabango yaliyokuwa yakimnadi mgombea huyo kuondolewa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Kazi inaanza kwenda kuzitafuta kura, baada ya Mahakama Kuu kuamuru Mpina ana haki ya kurejesha fomu ya urais

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mara baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma kuamuru kuwa Luhaga Mpina ana haki ya kurejesha fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, safari ya kusaka kura inaanza rasmi. Akizungumza leo Septemba 11...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Faiza Ally awachana wasanii kisa kuposti mambo ya CCM, adai wamepoteza heshima kwa njaa ya muda mfupi

    "Wasanii mmeshuka sana aisee yaani hata wale ambao walikua wana heshima kidogo na nyie mmegeuka machawa but why ? Jamani njaa ya miezi michache isitoe heshima yako ya miaka yote" — Faiza Ally
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU yaonya Wagombea wanaotoa ahadi za uongo kwenye Kampeni, yaeleza ni rushwa ya kisiasa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa, imetangaza msimamo mkali dhidi ya wagombea wa nafasi za kisiasa wanaojihusisha na utoaji wa ahadi za uongo wakati wa kampeni, wakisema kwamba tabia hiyo si tu ya kupotosha umma, bali ni aina ya rushwa ya kisiasa inayodhoofisha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa kada wa CHADEMA adai alifanya usaliti kuhamia CHAUMMA

    Bw. Bismass Shillah aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadae kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ametangaza kurejea rasmi CHADEMA kwa kile alichodai kuwa amegundua alifanya usaliti kwa kuangalia tamaa yake ya ubunge. Ameyasema hayo leo Septemba 11, 2025...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina ashinda kesi kuenguliwa kuwa mgombea Urais

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho. Kesi...
  8. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC mmepuyanga kwenye kesi ya Mpina na sasa hamna uhalali wowote kuendelea na zoezi lenu la uchaguzi

    Kwa maneno ya Jaji aliyesikiliza shauri hili mjini Dodoma leo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilimnyima haki ya msingi ya kusikilizwa Mheshimiwa Luhaga Mpina, jambo ambalo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 13(6)(a), inayotamka wazi kuwa “Wakati haki ya mtu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatma ya Mpina kugombea Urais yangojewa, uamuzi kutolewa leo Septemba 11, 2025

    Kesi ya ACT Wazalendo na Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi inayohusu kuzuiliwa kwa Bwana Mpina kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itatolewa hukumu leo saa 8:00 Mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakulima wa Tumbaku kulipwa madai yao

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakulima wa Tumbaku nchini kuwa Serikali iko kwenye hatua za mwisho kuhakikisha madai yao ya muda mrefu yanalipwa. Soma pia: Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Dunia Inashangaa Rais Samia kufanya vizuri zaidi ya wanaume

    “Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye
  12. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mgombea Urais Zanzibar wa ACT Wazalendo, Othman Massoud Othman amekosa fomu ya uteuzi kwa Kutokidhi Vigezo vya kuwa Mgombea

    Wakuu habari, Msaada hapa kwa ufafanuzi hii habari ni kama ACT Wazalendo huu mwaka wakubali tu kushindwa yaani siyo Bara wala Visiwani kote ngoma droo
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape Nnauye: Samia ndiyo mgombea original, wengine photocopy

    Mgombe Ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Moses Nnauye amewasisitiza wananchi wa jimbo la Kilwa Kaskazini kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili kumchagua mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan sambamba na Mbunge na Madiwani wake kutokana na kile...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu chini ya ulinzi mkali afikishwa Mahakamani

    Siku ya nne mfululizo, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea kusikiliza mapingamizi ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa mwenyewe Leo, Alhamisi Septemba 11.2025 Mahakama inaendelea kusikiliza...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Samia ndiye mgombea original, wengine wasindikizaji

    Mgombe Ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Moses Nnauye amewasisitiza wananchi wa jimbo la Kilwa Kaskazini kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili kumchagua mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan sambamba na Mbunge na Madiwani wake kutokana na kile...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Kigoma Mjini (CCM), Baba Levo akijibu swali la Mwandishi wa habari 'Nani alikuambia Wabunge wanalipwa Mil. 18 kwa mwezi?'

    Mgombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando (Baba Levo) akiwa kwenye Mahojiano katika kipindi cha one on one Wasafi TV aliulizwa swali na mwandishi wa habari Charles William akirejelea kauli ya Baba Levo kuwa Wabunge wanalipwa Milioni 18 kwa mwezi Soma pia...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole unapomshauri Samia aseme nini kwenye kampeni, unatuona sisi Watanzania ni mazuzu?

    Ndugu Humphrey Polepole akizungumza na jamii kupitia Social Media siku chache zilizopita, amemtaka Rais Samia kuzungumzia masuala ya Wanyonge, Ujamaa, haki na kadhalika kwenye kampeni zake kuelekea uchafunzi mkuu hapo 29 Oktoba 2025. Pamoja na mambo mengine, mimi ninakubaliana na baadhi ya hoja...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Nitatumia milioni 80, kushinda ubunge jimbo la Kigoma mjini

    Ukomo wa matumizi ya fedha kwenye kampeni za ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini ni shilingi milioni 82, lakini mimi nitatumia milioni 80
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdulkareem Atiki: Mama Samia ni muumini mkubwa wa demokrasia

    “Mama Samia ni muumini mkubwa wa demokrasia- Abdulkareem Atiki Mchambuzi wa Diplomasia na Siasa nchini.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazee wa Nzega: Rais Samia amefanya yalishindikana kwa miaka 30 iliyopita

    Baadhi ya wazee wa mji wa Nzega Mkoani Tabora wameeleza namna walivyoshangazwa na maendeleo yaliyofanya na mgombea urais kupitia CCM Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha uongozi wake uliogusa kila sekta ikiwemo ujenzi wa madarasa,upatikanaji wa maji safi na salama kwa bei nafuu...
Back
Top Bottom