uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mashabiki wa Simba wagoma kumshangilia Rais Samia akitoa salam katika tukio la Simba day

    Suala la mashabiki wa Simba kuzomea wakati Rais akitoa salam katika tukio la Simba day Watanzania wameamka hawapo hapa kupumbazwa, watu wanataka haki katika sura mbalimbali Yaani tukio la leo limezidi hata maandano ambayo polisi huzuia Kwa nguvu kubwa, Sasa ni dhahiri ujumbe umefika kuwa...
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa Belarus 2020 unataka kuwa na ufanano na uchaguzi wa Tanzania 2025

    Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko amekuwa madarakani tangu 1994. Katika Uchaguzi wa 2020 aliona kabisa angeweza kuondolewa madarakani kutokana na kukubalika kwa mpinzani wake Syarhei Tsikhanouski. Syarhei Tsikhanouski alikamatwa na kufungwa siku mbili baada ya kutangaza nia yake ya kugombea...
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Rais ana kinga ya kushtakiwa sio ya kuwa shahidi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa mpaka September 11, 2025 ambapo Tundu Lissu atakuja kwa ajili kukamilisha kutoa mjumuisho baada ya Jamhuri kueleza hoja zao kuhusu mapingamizi yaliyowekwa. Ikumbukwe Lissu katika hoja zao anadai kwamba baadhi ya mashahidi wake ambao aliwataja...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Biteko: Kumchagua Samia ni kuchagua maendeleo

    “Nataka niwahakikishie mkinichagua tutaongeza wodi na zahanati, tunataka watu wa Namonge na Busonzo waishi kama Watanzania wa daraja la juu, Tutahakisha tunaongeza shule, kuna vijiji havikuwa na shule na tumejenga shule mpya. Tumekuja hapa kuomba kura ili tumchague Rais Samia kwa vile ni...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi ruzuku za Mbolea, chanjo za mifugo

    Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa Igunga mkoani Tabora leo, Jumatano Septemba 10, 2025, ametoa wito kwa wafugaji wa mkoa huo kupeleka mifugo yao kwenye chanjo na utambuzi ili kuiweka Tanzania katika viwango vinavyokubalika kimataifa katika soko la mifugo...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu: Pesa za UVIKO 19 Rais alizifanyia Maendeleo

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amesema wakati wa janga la UVIKO-19 Rais Samia Suluhu alitumia fedha za kujikimu na janga hilo kufanya miradi mbalimbali ya maendeleo.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: CCM tunataka ushindi wa heshima tuwazibe midomo wale wengine

    Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewaomba wananchi na wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la upigaji wa kura Oktoba 29, 2025 ili kukiwezesha chama hicho kupata ushindi wa heshima na wa kishindo. Dkt...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kujenga kituo kikubwa cha mabasi na soko la kisasa Igunga

    Akiwa Igunga Mkoani Tabora kwenye muendelezo wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Kituo kikuu cha Mabasi Igunga pamoja na soko kuu la Igunga ikiwa atachaguliwa kuongoza tena Tanzania kwa kipindi kingine cha...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 NLD yarejesha fomu ya kuisaka Ikulu Zanzibar

    Mtiania urais wa Zanzibar kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD) Mfaume Khamis Hassan akikabidhi fomu za kuomba uteuzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi ofisi za tume hiyo, Maisara Unguja Zanzibar leo Septemba 10, 2025. Picha na Jesse Mikofu
  10. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia Aahidi Fursa kwa Vijana Singida Kupitia Mradi wa Bomba

    Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, unaopita Singida, utakuwa chanzo kikubwa cha ajira kwa vijana wa eneo hilo na Watanzania kwa ujumla. Mradi huu wa kimkakati, ujulikanao kama East African Crude...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Kishoa: Najilaumu kuchelewa nilikuwa wapi kujiunga CCM

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Kishoa, amesema anajilaumu kuchelewa kujiunga na CCM baada ya kutumia muda mrefu akiwa Chama cha CHADEMA. Akihutubia leo Septemba 10 kwenye mkutano wa kampeni wilayani Iramba, Kishoa amesema CCM ni chama kikubwa...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshahara wa Mbunge wa darasa la 7 ni mara tatu ya mshahara wa mwenye PhD, maamuzi ni yako!

    Amkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na kuandika na uwe mtanzania halali lakini ukiupata ubunge mshahara wako si chini ya milion 18 kwa mwezi...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sasa CCM kipi kimewazuia kuzitimiza hizo ahadi zenu kipindi kilichopita mnakuja kuziahidi leo?

    Kwa utashi tu wa kawaida, hizo ahadi mnazozitoa sasa hivi kipi kimewazuia kuzitimiza kipindi cha uongozi wenu kilichopita? Mnaanza kuahidi siku 100 za mwanzo baada ya kupita uchaguzi mtatoa ajira 7,000, sasa hizo ajira kipi kimewazuia kuzitoa kipindi kilichopita au kwanini msizitoa hata sasa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Tutashughulikia kero kwa wakati

    Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama tawala, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa Serikali ijayo itaimarisha mfumo wa mawasiliano kati ya Wananchi na viongozi ili kuhakikisha kero na mahitaji ya msingi ya Wananchi yanashughulikiwa kwa haraka na kwa ufanisi. Akihutubia mkutano wa...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Nitaimaliza kabisa kero ya maji Singida

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuimarisha sekta za maji na nishati endapo atapewa ridhaa kuendelea kuongoza nchi. Chanzo: ITV "Kwa upande wa maji tumefanya lakini bado tunajua kuna maeneo ambayo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babalevo kuwawakilisha wananchi katika bunge la Taifa kiingereza hakina nafasi kwa sasa!!

    Wote wanaoona kiingereza ni kigezo/kikwazo kwa Babalevo kwenda bungeni hawana hoja kwani bungeni kuna wakalimani wa lugha mbalimbali lakini hata hivyo sidhani kama wabunge wa urusi,china,korea,japani,nk wanajadili mambo yao kwa kiingereza?
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu: Rais amevunja rekodi fedha za maendeleo mikoani

    "Tangu uingie uongozi wako [Rais Samia], fedha zimekwenda mikoani kwa wingi ambao haujawahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru. Hicho ni kipimo kwamba nchi inaongozwa na kiongozi mwadilifu ambaye anatumia vyema rasilimali za taifa hili." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge kigoma Mjini (CCM), Baba Levo asema aliishia darasa la saba ila ataanza QT mwakani (2026)

    Wakuu naona wabunge wengi huwa na CV za kuunga unga sana kumbe wengi huwa wanaeenda kusoma wakiingia bungeni, mwisho wanapita tu kimchongomchongo mara unasikia ana PhD. == Katika mahojiano na Charles William kwenye kipindi cha One on One, mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Kigoma Mjini Baba Levo...
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 KISHOA: Najilaumu nilichelewa wapi kujiunga CCM

    MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Kishoa, amesema anajilaumu kuchelewa kujiunga na CCM baada ya kutumia muda mrefu akiwa Chama cha CHADEMA. Soma pia: Aliyekuwa diwani wa CCM kata ya Themi, lobora ahamia CHAUMMA Agosti 16 Chanzo: Daily News...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais CHAUMMA amnadi mgombea udiwani ACT Wazalendo

    Katika hali isiyotarajiwa na ya kuvutia katika medani ya siasa za upinzani nchini, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu, amemnadi hadharani mgombea udiwani wa chama cha ACT-Wazalendo, Charles Machemba, katika Kijiji cha Kata...
Back
Top Bottom