uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Mbembe: Rais Samia alitupeleka Wasanii Korea kujifunza, Oktoba tuka Tiki tu!

    Mwigizaji maarufu kama Mzee Mbembe, amesema, Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imewafanyia makubwa wasanii nchini ikiwemo kuwapa fursa ya kusafiri nchini Korea Kusini kujifunza zaidi kuhusu teknolojia mpya za uandaaji filamu na tamthilia pia kuhusu masoko na mbinu mpya...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao

    "Tume na mamlaka zote za umma zifanye kazi za umma, zifanye kazi kwa mujibu wa sheria, kama katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyowataka wafanye. Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao, hivyo hakuna sababu yoyote ile ya kutumia mamlaka ya umma kuviadhibu...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu wa Madereva Bodaboda: Sisi tuna amani chini ya uongozi wa Dkt. Samia, ndiyo maana mambo yanaenda

    Katibu wa Umoja wa Madereva Bodaboda Manyoni atoa tamko la kutunza Amani na Ushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 Katibu wa Umoja wa Madereva Bodaboda (Maafisa Usafirishaji) Wilaya ya Manyoni, Edward, amesisitiza kuwa madereva wa pikipiki wilayani humo wamejipanga kuhakikisha kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wa mama asemewe watinga Singida kuhamasisha vijana kushiriki uchaguzi mkuu

    Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Taifa, Ndg. Geofrey Kiliba ameendelea na ziara yake mkoani Singida ambapo alikutana na vijana maafisa usafirishaji katika wilaya ya Manyoni. Soma pia: Kampeni ya mama asemewe kuandaa kongamano kubwa la wanavyuo Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoa magari kwa wagombea ndiyo kunatumika kama kipimo cha usawa?

    Chama cha ACT Wazalendo kimefafanua sababu zilizopelekea kukataa kupokea gari maalum alilokuwa amekabidhiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Luhaga Mpina na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya makao makuu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Huwezi sikia mtu wa CCM akisema tukiwashe kwa fujo, wakisema tukiwashe ni King'amuzi cha Azam

    Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akiendelea na kampeni Kasulu Mjini, Kigoma leo Septemba 13, 2025), amesema chama chake hakina utamaduni wa vurugu. "Humsikii Mtu kwenye Chma Cha Mapinduzi (CCM), anasema tukiwashe, wakisema tukiwashe ni kile King'amuzi cha Azam, lakini sio tukiwashe...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Tunayo magari ya kutuwezesha kufanya kampeni nchi nzima, kwanini tuchukue gari la watanzania?

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) "suala la gari kama nilivyosema maelezo aliyoyatoa hapa Mwanasheria Mkuu ndio msimamo wa Chama chetu cha...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Omari Said Shabani: ACT Hatuwezi kuchukua gari wakati Watu wametakatisha fedha

    Akielezea uamuzi wa Chama chake kukataa gari kutoka kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kwa ajili ya Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omari Said Shabani ameeleza hawawezi kuchukua gari wakati kuna mambo hayajazingatia usawa katika mchakato...
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Nitashinda Urais kwa zaidi ya asilimia 70

    Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi Septemba 13, 2025 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupitishwa rasmi na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amesema kuwa anatarajia kuibuka mshindi kwa zaidi ya asilimia 70 katika uchaguzi unaotarajiwa...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud (OMO) azindua kampeni Pemba

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman leo September 13 anazindua kampeni zake katika uwanja wa Tibirinzi, Chake Chake, Pemba kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza katika mkutano huo, Othman Masoud Othman, amesema kuwa endapo...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ngonyani azindua kampeni za udiwani kata ya Forest, aahidi kuwainua wananchi

    Mgombea Udiwani Kata ya Forest jijini Mbeya kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Yassin Ngonyani amezindua Kampeni kwa kuweka vipaumbele vyake vya kusaidia makundi mbalimbali ya wafanyabiashara ndogondogo katika kuwainua kiuchumi ikiwemo kuwasaidia kupata mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri ya jiji...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Press Luhaga Mpina anazungumza na Wanahabari, leo Septemba 13, 2025

    Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Septemba 13, 2025 anatarajiwa kuzungumza na Waandishi wa Habari baada ya kurejesha fomu zake katika Ofisi ya Tume Jijini Dar es Salaam. Mkutano unafanyika Makao Makuu ya ACT Wazalendo – Magomeni. Pia soma ~ ACT yakataa gari...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Sasa kuna Uchaguzi, chaguo ni CCM iliyoshindwa kwa Miaka 60 au ACT ya mabadiliko

    Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe "Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu, huduma duni za Afya na watu 14M kudumbukia kwenye umasikini katika miaka 5 iliyopita ama ACTwazalendo...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT yakataa gari alilopewa Mpina na INEC

    Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban, amesema chama hicho kimeamua kutopokea gari na walinzi, kwa kuwa kipo vizuri, na badala yake, Tume itumie gari hilo kwa matumizi mengine. "Chama kimenielekeza nikwambie kwamba kwenye rasilimali ya gari tunashukuru tupo vizuri tunaomba...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dar: Mpina afika INEC kurudisha fomu yake ya Urais

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi ya Septemba 13, 2025 amefika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi(INEC) zilizopo Posta, jijini Dar es Salaam Kwa ajili ya kurudisha fomu yake ya kugombea Urais. Mpina akiwa na Mgombea Mwenza Bi. Fatma Fereji wamerejesha...
  16. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa Majeshi amshukuru Rais Samia kwa kuunga mkono uboreshaji wa miundo mbinu ya mafunzo Jeshini

    Wakuu! Ni mimi tu au nyie mmeona? Hivi sasa Polisi wameendelea kupokea vitu vingi sana, kama magari, kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi, jambo linaibua maswali mengi, kwanini sasa hivi? Je, ni kwa nia njema au kuna ajenda ya kisiasa nyuma yake? ==== Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa sheria CHADEMA: Jeshi La Polisi wamezuia dhamana ya Lucy Shayo

    Wakili Gaston Shundo Garubindi Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu: "Baada ya kukamilisha mahojiano kuhusu kosa la Kusambaza taarifa za uongo, Jeshi la Polisi wakasema wanakamilisha utaratibu wao lakini tumesubiri mpaka sasa usiku, mteja wetu hawajampatia dhamana"
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CCM Serengeti Aomba Rais Ajenge Uwanja wa Ndege na Barabara za Lami

    Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Serengeti, Mary Daniel Joseph, amemuomba Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, kufikisha kilio cha wananchi kwa Rais kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege na barabara za kiwango cha lami ili kuchochea maendeleo ya wilaya hiyo. “Mwenyekiti...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais TLP aahidi kuifuta Taasisi ya Mikopo ili wanafunzi wote wasome bure

    Mgombea urais kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, ameahidi kuifuta Taasisi ya Mikopo ili wanafunzi wote wasome bure, iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuiongoza nchi.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Nina uhakika wa kushinda kwa asilimia 87 hadi 90 ubunge Jimbo la Mwibara

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia Chama cha Act Wazalendo, Cyprian Musiba, ameeleza kuwa kuna njama zinazolengwa kumhujumu kwenye uchaguzi dhidi ya mpinzani wake, jambo ambalo amesisitiza kuwa hawawezi kukubali. “Nina uhakika wa kushinda kwa asilimia 87 hadi 90 kwa sababu huyo...
Back
Top Bottom