uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Watu wengine huko wanalalamika kwanini Watanzania Mnajaza Viwanja vya CCM

    Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio wao Mkubwa katika Kampeni hizo " Wananchi wa Mkoa wa Singida, kila Wilaya nilipoingia wananchi ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi na Wagombea Chama cha ADC wafanyiwa Tambiko, Mara

    Wazee wa Kimila wa Kabila la Waikizu katika Kijiji cha Kumgongo Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamewakabidhi fimbo za kimila, Viongozi na Wagombea wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), ikiwa ni ishara ya kuwapatia baraka na kuwasimika kushika dola katika nafasi wanazogombea
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Rais Samia aliniambia suala la Lissu watalishughulikia bila kuingilia utaratibu wa mahakama

    Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia mambo mbalimbali aliyoyawasilisha kwake alipozungumza nae Ikulu Dodoma. Akijibu swali kuhusu majibu ya Rais Samia kama...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Kazi ya kwanza kufanya Kigoma Mjini ni kufuta barabara za vumbi, yasipotokea mnifukuze kama mbwa

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo amesema Moja ya ahadi zake kuu ni kufuta barabara za vumbi na kuboresha mazingira ya jimbo lake huku akisema anayoyaongea yasipotokea afukuzwe kama mbwa.
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Hafidh Ameir Mgombea mteule Ubunge Jimbo la Makunduchi awapatia Reflectors Maafisa Usafirishaji

    Maafisa usafirishaji maarufu kama Bodaboda leo wamempongeza mbunge mteule wa jimbo la Makunduchi lililopo Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Visiwani Zanzibar Wanu Hafidh Ameir kwa kuwapa reflector kwaajili ya usalama wanapofanya shughuli zao za usafirishaji Maafisa usafirishaji hao wametoa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Askari atakayewanyanyasa bodaboda na bajaji Kigoma Mjini atatafuta nyumba ya kwenda jimbo lingine

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo, leo ameanza rasmi kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025-2030. Uzinduzi wa kampeni hizo ulifanyika katika Viwanja vya Mwanga Community Center, ambapo Baba...
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Septemba 10, 2025, Jamhuri kujibu mapingamizi

    Kesi inayomkabili Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea tena leo Septemba 10, 2025, ikiwa ni siku ya Tatu mfululizo, ambapo upande wa Jamhuri utaendelea kujibu mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa ambaye anajitetea mwenyewe. Lissu aliweka mapingamizi kiwa Mahakama Kuu aina mamlaka ya kusikiliza...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo aulizwa swali na mwananchi, 'Kiingereza haujui utaelewaje mikataba?'

    Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi, Clayton Chipando (Baba Levo) uliofanyika Kigoma mjini, amamemuuliza swali mgombea huyo juu juu ya uelewa wake kwenye ligha ya Kingereza na atawezaje kujua usahihi wa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi: "Tutaacha yote, Tutakesha kumsubiri kipenzi chetu Samia

    "Tutaacha yote, Tutakesha kumsubiri kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan utumishi wake umeyagusa maisha yetu kwa namna ya kipekee kwa hakika OktobaTunatiki" sauti hizi za makundi mbalimbali zinazisikika Singida.
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Niacheni nikafanye uchawa lakini Kigoma ipate Maendeleo

    Akizungumza wakati akizindua Kampeni za Chama cha Mapinduzi Kigoma Mjini leo Septema 9, 2025, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini amehusisha kutajwa kuwa chawa lakini yeye atatumia nafasi hiyo endapo wananchi watamchagua kuwa Mbunge wa Jimbo hilo...
  11. Magema Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia na CCM wanaenda kushindana na nani kwenye sanduku la kura?

    Ni huzuni🙄 Kuelekea uchaguzi mkuu October 2025 na kampeni zinazoendelea,unaona Samia na CCM wanaenda kushindana na nani kwenye sanduku la kura?... . Binafsi ni swali linalotia huzuni hasa ukiwa mdau wa demokrasia ya kweli! Lakni kupitia swali hili napata maswali madogo madogo ambayo nimekosa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mattembe: Rais Samia atapata kura nyingi na kumwagika kwa mambo makubwa aliyoyafanya

    Mgombea ubunge viti maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Mkoa wa Singida Asharose Mattembe amesema katika Mkoa wa Singida kura za mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan zitajaa na kumwagika kwa mambo makubwa aliyoyafanya. Amesema hayo leo Septemba 9, 2025 kwenye kampeni za CCM mkoani...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale: Mimi sina Mpinzani Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Wapinzani hawaiwezi CCM

    "Katika jimbo la Morogoro Kusini Mashariki mimi ni mgombea pekee,wapinzani wamechimba,hii ni breaking news,mwenyewe nimeijua leo,wamechimba hawaiwezi CCM.Mimi shughuli yangu ni kumtafutia kura Mh. Rais Samia” Hamisi Shaban Taletale- Mgombea wa kiti cha Ubunge Jimbo la Morogoro Mashariki Kusini
  14. Candela

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna haja wabunge wawe na elimu angalau diploma

    Wadau hii nchi ipo hapa ilipo kwa sababu viongozi wa kisiasa wengi ni vilaza. Mtu kama Shilole anakuwa mbunge kwa akili gani? Mtu kama baba Levo akiwa mbunge anaweza kuongoza watu lakini sio kukaa kusoma vifungu vya kimataifa vya mikataba. Kiukweli inabidi mabadiliko yafanyike lazima tuwe na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkituchagua kila mtu Tanzania atakuwa na umeme

    "Vijiji vyote vya Wilaya hii 101 vina umeme na tunaendelea na kazi ya kuunganisha Vitongoji. Mbele tunakokwenda mkitupa ridhaa tunakwenda kumaliza kazi yote Tanzania nzima kila mtu awe na umeme…kwa upande wa elimu, mbali na yaliyofanyika tutaendelea na sera yetu ya elimu bila malipo pamoja na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Elibariki Kingu: Kuna Watu wanakuzodoa Mama, eti CCM imekosea kukuteua, nampa Polepole taarifa tulisema tunakuhitaji

    Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu amefunguka kuwa "Kuna watu wanakuzodoa, eti CCM imekosea kukuteua, nampa Polepole taarifa CCM, tulisema tunakuhitaji"
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Samia ameondoa hofu kwa wafanyabiashara

    Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa Kilimanjaro kumpa kura za kishindo mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ifikapo Oktoba 29, akisema ameweka mazingira bora kwa wafanyabiashara nchini. Akizungumza jana Jumatatu...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Msipopiga kura ahadi tunazotoa zitakuwa bure

    Wito wangu kwa viongozi wa maeneo mbalimbali, na hasa viongozi wa matawi na mashina, kuhakikisha kila mtu kwenye eneo lake ametoka kwenda kupiga kura. Tukifanya hivyo, tutasema ahadi tunazozitoa zote zitafanya kazi. Tukilala majumbani, wengine wakatoa watu wao kwenda kupiga kura, ahadi zetu...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Nitawaboreshea usikivu wa TBC Taifa hapa Singida ili iweze kusikika vizuri

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha usikivu wa Redio ya Taifa (TBC Taifa) ili wananchi waweze kupata habari zenye ukweli na uhakika.
  20. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 BBC wamedharau kabisa Uchaguzi wa Tanzania

    Hii ni fedhea, aibu na kuporomoka Kwa ukuaji wa Demokrasia. Kwa kuwa ni Uchaguzi wa maigizo ata media zinalipoti kiutani utani. By the way Kuna international observers mwaka huu? Mto wa Mbu Mahakama kuu-DSM --- Bila shaka wanahistoria wanaendelea kukusanya takwimu za namna uchaguzi mkuu wa...
Back
Top Bottom