Baba Levo Hutoboi; Zitto Anapiga Jaramba kula Mema ya ...

Baba Levo Hutoboi; Zitto Anapiga Jaramba kula Mema ya ...

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,265
Reaction score
25,539
Mahakama huru.
Maridhiano chanya.
Wanaharakati Magaidi.
Maridhiano siyo udhaifu.

Hapo kaa kinjagu bwana mdogo, unaenda kuwa picha nzuri kwa mahakama.

Mwisho wenzako wanakucheka 😂!.



1000385425.jpg
 
Mungu ni wa ajabu, wanaweza kupindua matokeo alafu wakarudia uchaguzi Mhe. Chipando akawabwaga tena. Usiogope Mungu atasomama nawe.
 
Mahakama huru.
Maridhiano chanya.
Wanaharakati Magaidi.
Maridhiano siyo udhaifu.

Hapo kaa kinjagu bwana mdogo, unaenda kuwa picha nzuri kwa mahakama.

Mwisho wenzako wanakucheka 😂!.



View attachment 3626316
Nchi ya ajabu sana hii!
Huyu mpumbavu anakuwaje mbunge Sasa?
Anaacha kuongea issues anaongelea kutapeliwa na Malaya na taifa linamshangilia???
 
Hii ni kweli kwakua ni sehemu y maliziano ya ACT zanzibar na bara!! Msaka tonge anarudi bungeni na kupewa kua kiongozi w kambi ya upinzani.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom