Bila hata aibu anasimama na kujitapa nilipata 98% sababu CHADEMA ya Lissu haikushiriki uchaguzi!
Hata kama madaraka ya uraisi ni matamu ndio kwa uongo huu! Watu hawakujitokeza kabisa kupiga kula hata Mungu shahidi hiyo mil 31 ya wapiga kura inatoka wapi?
Haya watu wameuwawa kisa tu wameimba...
Chama hiki kilidai kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi katika majimbo 25 ya uwakilishi Zanzibar na kikitarajiwa kupiga pia yale ya Ubunge.
Huku pia kikiweka pose kuingia kwenye kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar.
Swali, je ni mpango maalum baina yao na kundi la Gasom & Zikamziki...
Wakuu,
Yaani kila kiongozi na chawa wao wakitoka utasikia "Wanataka kufanya vurugu", "Sio maandamano ni vurugu", "Wanahamasisha vurugu"..... yaani neno vurugu ndio linapigiwa promo!
Unaenda kukamata mtu eti anahamasisha vurugu Disemba 9, hapo mtu kasema nitashiriki maandamano au kuwaambia...
Rais najua umelala, Mimi sijalala kama kweli kwenye walioandamana Kuna walio kuwa na silaha, na wengine hawajui Kiswahili nchi haiko salama.
Rais wakati ukiwa kwenye kampeni kuna mengi Tanzania yalijili lakini binafsi siamini kama tulifika HATUA hii
Yaani silaha zilipitishwa mipakani kama...
Larry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi.
Amesema wameongeza maneno kwenye ripoti yao kuthibitisha kuwa CNN iliwatafuta serikali ya Tanzania...
BARUA YA WAZI KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
“Kwa ajili ya Ukweli, Amani, Maridhiano na Mustakabali wa Taifa”
Na: Steven Mmbogo - 24 Novemba 2025
Mheshimiwa Rais,
Ninakuandikia barua hii kwa unyenyekevu, kwa uwazi, na kwa heshima ya hadhi yako kama Mkuu wa Nchi, lakini pia kwa ujasiri...
Wakuu,
Yaani mpaka waandishibwa habari wenyewe aliowasifia kuwa na "Weledi" na "Maadili" walikuwa wakimuona fala😂🤣🤣, yaani vile waandiahi wanavyopigwa spana na wananchi unatoka kusema wamefanya kazi kwa weledi!
Wanasema picha zinaongea, na kweli ukiziangalia hizi picha unapata yote waliyokuwa...
Dada anayesimamia mochwari ya Mwananyamala hajulikani alipo, kutokana na video za maiti za waandamanaji kuvuja. Mdugu zake wananmtafuta mpaka sasa.
Mpaka mtu unashindwa kuelewa ni akili gani zinatumika huko serikalini! Kumkamata huyo dada, yule daktari aliyekuwa wa Mwanza inasaidia nini wakati...
Kuna kauli moja imeibuka baada ya kilichotokea kipindi cha uchaguzi: “Tutalinda amani kwa gharama yoyote.” Imeanza kutumika kama wito wa wajibu wa kitaifa wa kuhakikisha nchi haianguki kwenye machafuko. Lakini ukiichunguza kwa makini, unagundua jambo la kusikitisha, gharama ambayo wengi wako...
Rais Samia akizindua Tume Huru ya Uchunguzi ya Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi
https://www.youtube.com/live/pPI4FheVabM?si=j0ZyGRkWY0MtLpRm
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka akizungumza Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa uzinduzi wa Tume Huru ya...
Sio kukubali hawa wahuni kuwa matendo yao yanaweza kuwa makubaliano kuwa sisi ni wapole na wapenda amani.
Watu wamekufa vifo vibaya sana tena kama vina amri toka juu.
Kuna mtu alipigwa risasi ila alipopelekwa hospitli kutibiwa tarehee 30 usiku alichukuliwa na mpaka sasa hatujui yupo wapi na...
1. Kwa kuwafunga wapinzani wako wasishiriki uchaguzi.
2. Watu wanaokukosoa kutekwa. Hupendi kukosolewa.
Job Ndugai aliposema mambo ambayo yalionekana yanakukosoa wewe, ukamfukuza uspika.
Dokta Slaa aliposema mambo ambayo yalionekana kama yanaukosoa utawala wako, ukamvua ubalozi.
Humphrey...
Ghafla tumeanza kusikia Yada Yada za maneno mapya kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, Eti "Kuna foreign Element" zinataka kuleta machafuko," "Watu waliovuruga OKtba29 si Watanzania," "Tutafanya demokrasia yetu bila shinikizo la mtu yeyote," "Kuna waasi wa M23 wanaandaliwa kuvuka mpaka," na...
Habari wakuu
Jana usiku baada ya Mange Kimambi kutuma video ikionesha maiti za waandamanaji zikiwa zimerundikwa kama mikungu ya ndizi hapo Mortuary ya Mwananyamala hospital,
Wizara ya Afya kupitia page zao WALIKANUSHA eti ni FEKI.
Kitu ambacho kiliibua hasira kali na watu kuanza kushambulia...
Kwa mujibu wa chanzo hiko hapo ni mortuary ya mwananyamala.
Ni maelezo ya namna gani yanaweza kukubalika juu ya tukio kama hili? HAKUNA.
==============
Ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa...
Ila Samia anazidi kuongezea watu hasira tu, kwahiyo wazazi wao walitoa polisi nje kuua watoto wao?
Ndio anahalalisha yaliyotokea kwa kusema mkubwa hakosei?
Rais Samia kasema kama wao wazazi wangefanya waliyofanya vijana (maandamano) basi nchi hii isingekuwa na neema.
Amewaambia vijana...
Rais samia amewashukuru wananchi kushiriki vilivvyo kwenye uchaguzi kuanzia kujiandisha pamoja na kujityokeza kwa wingi kupiga kura na kuchagua vviongozi wanaowataka.
Rais Samia ameongeza kwa kusema wananchi wamethibitisha kushiriki uchaguzi ndio njia ya kubadilisha viongozi wasioridhika nao...
Yaani sasa hivi kila ukiingia mtandaoni unapigana na hisia zako usije kupata presha kwa hasira!
Aaaaaa! Wazee kabisa ambao vijana wanategemea muwe na busara kushauri mambo vizuri mnajitokeza kuongea upuuzi bila soni hata kidogo usoni!
Pia soma PostGE2025 - BAKWATA na taasisi za kiislamu...
Maseneta wawili wa Marekani, Jim Risch na Jeanne Shaheen, wametoa shutuma kali dhidi ya serikali ya Tanzania wakidai kuwa matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 29 yalipangwa kabla ya wananchi kupiga kura.
Katika taarifa yao ya pamoja, viongozi hao wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti wamesema...
Hamna Jambo la Sirini litabakia kua Sirini !!.
Mbinu Yao walitumia, imewekwa Wazi Sasa !!.
Watekaji na Wauaji walipenyeza Mamuluki wao wachome Vituo vya Mafuta na Ma Bus ili kuhalalisha Matumizi ya Risasi za Moto Kwa Watanzania .
Ni Mamuluki hao hao walotumwa na Watekaji walivamia Na Kuchoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.